ChawaWaMama
JF-Expert Member
- Jan 16, 2023
- 1,716
- 3,177
GTs,
Kwenye mambo ya mikataba Rais Dkt Samia siyo mwanasheria ana wasaidizi wake na tena kuna Professor wa Sheria Professor Kabudi alimteua ndiyo kigogo wa mikataba yote. Hata huu wa Bandari alaumiwe Professor Kabudi mwenye kazi yake.
Maana tumewavumilia tumechoka na ngonjera zenu mara ohh mara lile. Muacheni Rais wetu Dkt Samia afanye kazi. Suala la bandari lina manufaa makubwa kwa nchi yetu na vizazi vijavyo.
Nawasilisha