Hii Skendo ya Bandari mbona imekaa kimtego sana?

Zemanda

JF-Expert Member
Jan 10, 2021
5,707
11,961
Habari,

Hili suala la bandari yetu pendwa ya Dar es salaam kupewa waarabu mbona kama imekaa kimtego sana aiseee.

Unajua tukumbuke kulikuwa na VuguVugu la kuamsha moto wa katika before 2025 na raia tulikuwa kama vipi tumeshaanza kujaza hasira vifuani na kukamia kuwa liwalo na liwe ikibidi uchaguzi usifanyike bila katiba mpya.

Haya ni maswali najiuliza binafsi;

1. Haiwezekani CCM wanatuchekecha ili tuhamishe ajenda kutoka katiba mpya tuanze kujadili maswala ya Bandari halafu mwisho wa siku before 2025 wanaizima hii issue ya bandari tunashtukia uchaguzi wa huu hapa of which itamaanisha hakuna muda wa kutosha kuandaa katiba?!

2. Hivi haiwezekani kuwa CCM wameshaona kuwa kiama chao ni katiba na wameona ngoja waibue hili sakata la bandari ili raia wahamishie masikio kule bandarini. Maana hawa jamaa ni wapuuzi sana hawashindwi kuwalipa watu mamilioni ili kuwa waigizaji katika hili. Hebu tazama mfano mange kimambi mbona ghafla bin vuuup anaanza mshambulia huyu mama tena kwa kujifanya anamsifu magufuri?

3. Hivi haiwezekani kuwa huyu mama na genge lake la CCM chama nuksi na kansa ya taifa wanatengeneza na kupika hili sakata ili baadae tena aje kujifanya anaokoa jahazi kwa kucancel huu mkataba na kujifanya shujaa wataifa kwa kusikiliza raia wakati yeye ndie muanzisha kelele tena anazizima. Yaani anavaa kinyago anazima taa anatutandika mijeledi halafu anakitoa kinyago kisha anawasha taa kutupa pole?

Maana picha ninaloliona hapa ni hili sakata litaenda kwa muda fulani then utasikia basi mama yetu msikivu ameona aweke raia na maslahi yao mbele amefuta mkataba na waarabu.

Halafu hawa hawa chawa, akina Zitto, mange kimambi, na vichwa panzi wengine wataanza kumsifu kuwa shujaa wa raia na kuamua kuwasikiliza ili impe mailage ya uchaguzi ujao. Kumbuka huu ndio mchezo wa CCM , kutengeneza tatizo kisha wao tena kujifanya wanalitatua.

4. Ni coincidence saa hii kila mtu kila kiongozi malumbano ya hoja yamehamia kwenye issue ya bandari na sio katiba mpya?

CCM wanajua wakiruhusu mjadala wa katiba mpya watakuwa wamejipiga risasi ya kichwa kwa mikono yao wenyewe jambo ambalo hawapo tayari kwa gharama yoyote kufanya. Hilo la bandari dawa yake si kubishana na kuzozana na hawa mafisadi wa miaka 60+ dawa ni kutengeneza katiba yetu imara ili chaguzi iwatoe kabisa katika mfumo then haya ya bandari nani atatuzuia.

Kiburi cha CCM ni mfumo mbovu ambao unalindwa na katiba hii isiyotetea raia kwa sasa bali imewapa jeuri hawa Mumiani wasio na utu.

Ndugu zanguni wakati wengine wanajadili hili la bandari sisi wengine tuendelee na lile la katiba maana halina ukomo.

CCM wanatuchezea michezo ya sekondari hapa. Sisi ni watu wazima hebu hili sasa tulivalie njuga. Tupo zaidi ya watu milioni 60. Kwann wote tujadili bandari na tunaacha kiporo cha katiba. Hili la bandari liende sambamba na la katiba.

Tuseme hili la bandari lituongezee kuona umuhimu wa kuikaza katiba tuwakamate pumbu hawa jamaa. Ikibidi uchaguzi uahirishwe. Ufanyike hata huko 2028 au twende hadi 2030 bila rais ili tutengeneze katiba kali ambayo itaanza fanya kazi na tumalizane na hawa mumiani once and for all.
 
Hapana bandar kwanza katiba linakuja ila hili la bandar tukiliacha tumekwisha mazima
 
Mbona una weweseka wee bar vichaa?
 
Master mind wa hii project
Rohosiotamu, mkataa kupumzika. Hawa kina msukule wa darasa la saba waliohongwa nyumba umangani Ni vidagaa tu Wala hawaoni kesho au consequences za nchi Yao kuuzwa,.
Mimi nashangaa Sana, MTU ana kila kitu, nyumba, magari, mke, uhakika wa kula Hadi vitukuu lkn bado anatafuta pesa kwa mabavu. Kwanini watu msitulie ?
Cc mrangi
 
Habari,

Hili suala la bandari yetu pendwa ya Dar es salaam kupewa waarabu mbona kama imekaa kimtego sana aiseee.

Unajua tukumbuke kulikuwa na VuguVugu la kuamsha moto wa katika before 2025 na raia tulikuwa kama vipi tumeshaanza kujaza hasira vifuani na kukamia kuwa liwalo na liwe ikibidi uchaguzi usifanyike bila katiba mpya.

Haya ni maswali najiuliza binafsi;

1. Haiwezekani CCM wanatuchekecha ili tuhamishe ajenda kutoka katiba mpya tuanze kujadili maswala ya Bandari halafu mwisho wa siku before 2025 wanaizima hii issue ya bandari tunashtukia uchaguzi wa huu hapa of which itamaanisha hakuna muda wa kutosha kuandaa katiba?!

2. Hivi haiwezekani kuwa CCM wameshaona kuwa kiama chao ni katiba na wameona ngoja waibue hili sakata la bandari ili raia wahamishie masikio kule bandarini. Maana hawa jamaa ni wapuuzi sana hawashindwi kuwalipa watu mamilioni ili kuwa waigizaji katika hili. Hebu tazama mfano mange kimambi mbona ghafla bin vuuup anaanza mshambulia huyu mama tena kwa kujifanya anamsifu magufuri?

3. Hivi haiwezekani kuwa huyu mama na genge lake la CCM chama nuksi na kansa ya taifa wanatengeneza na kupika hili sakata ili baadae tena aje kujifanya anaokoa jahazi kwa kucancel huu mkataba na kujifanya shujaa wataifa kwa kusikiliza raia wakati yeye ndie muanzisha kelele tena anazizima. Yaani anavaa kinyago anazima taa anatutandika mijeledi halafu anakitoa kinyago kisha anawasha taa kutupa pole?

Maana picha ninaloliona hapa ni hili sakata litaenda kwa muda fulani then utasikia basi mama yetu msikivu ameona aweke raia na maslahi yao mbele amefuta mkataba na waarabu.

Halafu hawa hawa chawa, akina Zitto, mange kimambi, na vichwa panzi wengine wataanza kumsifu kuwa shujaa wa raia na kuamua kuwasikiliza ili impe mailage ya uchaguzi ujao. Kumbuka huu ndio mchezo wa CCM , kutengeneza tatizo kisha wao tena kujifanya wanalitatua.

4. Ni coincidence saa hii kila mtu kila kiongozi malumbano ya hoja yamehamia kwenye issue ya bandari na sio katiba mpya?

CCM wanajua wakiruhusu mjadala wa katiba mpya watakuwa wamejipiga risasi ya kichwa kwa mikono yao wenyewe jambo ambalo hawapo tayari kwa gharama yoyote kufanya. Hilo la bandari dawa yake si kubishana na kuzozana na hawa mafisadi wa miaka 60+ dawa ni kutengeneza katiba yetu imara ili chaguzi iwatoe kabisa katika mfumo then haya ya bandari nani atatuzuia.

Kiburi cha CCM ni mfumo mbovu ambao unalindwa na katiba hii isiyotetea raia kwa sasa bali imewapa jeuri hawa Mumiani wasio na utu.

Ndugu zanguni wakati wengine wanajadili hili la bandari sisi wengine tuendelee na lile la katiba maana halina ukomo.

CCM wanatuchezea michezo ya sekondari hapa. Sisi ni watu wazima hebu hili sasa tulivalie njuga. Tupo zaidi ya watu milioni 60. Kwann wote tujadili bandari na tunaacha kiporo cha katiba. Hili la bandari liende sambamba na la katiba.

Tuseme hili la bandari lituongezee kuona umuhimu wa kuikaza katiba tuwakamate pumbu hawa jamaa. Ikibidi uchaguzi uahirishwe. Ufanyike hata huko 2028 au twende hadi 2030 bila rais ili tutengeneze katiba kali ambayo itaanza fanya kazi na tumalizane na hawa mumiani once and for all.
Hii kitu ni Matokeo ku fukia Utawala bora.....

Ukivunja kioo Huwezi kujitizama....mbuyu ulianza kama
 
Pumba.
 
Back
Top Bottom