Dkt. Slaa: Spika hajui sheria, kesi ya akina Halima Mdee haihusiani kabisa na wao kuwepo bungeni

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,004
142,036
Balozi Mstaafu Dr Slaa amesema Spika Tulia ameamua tu kuwahifadhi bungeni Akina Halima Mdee na wenzake 18 lakini kiukweli Kesi yao haihusiani kabisa na Wao kuwepo bungeni.

Dr Slaa amesema ile Kesi Akina Halima Mdee na wenzake 18 wameomba tu wapewe nafasi ya kwenda kusikilizwa sasa hiyo inahusiana nini na Wao kuwepo bungeni? Amehoji Dr Slaa.

Source: Mwanzo tv
 
Huo ndio ukweli tangu awamu ya 5.
Natamani siku moja wahusika wote wa uhuni na ufisadi washtakiwe na kufilisiwa kwa ufisadi, wizi, uzembe na uhujumu uchumi
 
Kwani huwezi kutoa hoja bila kusema hajui SHERIA? Kwani anayejua sheria yukoje?
Jana umesikia Mkuu wa Mkoa amepinga MAAMUZI ya Jaji? Huyo naye hajui SHERIA ?
Ukiona umetafsiri tofauti SHERIA haimaanishi unajua SHERIA kuliko aliyetofautiana nawe.
 
Balozi Mstaafu Dr Slaa amesema Spika Tulia ameamua tu kuwahifadhi bungeni Akina Halima Mdee na wenzake 18 lakini kiukweli Kesi yao haihusiani kabisa na Wao kuwepo bungeni.

Dr Slaa amesema ile Kesi Akina Halima Mdee na wenzake 18 wameomba tu wapewe nafasi ya kwenda kusikilizwa sasa hiyo inahusiana nini na Wao kuwepo bungeni? Amehoji Dr Slaa.

Source: Mwanzo tv
Mh 🤔 kwan walinda c washatoaga tamko kua wale ni wabunge halali wa CDM? Wakidai Mbowe anakula pesa kupitia wao? Tafadhali walinda legacy mkiongozwa na Johnthebaptist toeni tamko!!
 
Balozi Mstaafu Dr Slaa amesema Spika Tulia ameamua tu kuwahifadhi bungeni Akina Halima Mdee na wenzake 18 lakini kiukweli Kesi yao haihusiani kabisa na Wao kuwepo bungeni.

Dr Slaa amesema ile Kesi Akina Halima Mdee na wenzake 18 wameomba tu wapewe nafasi ya kwenda kusikilizwa sasa hiyo inahusiana nini na Wao kuwepo bungeni? Amehoji Dr Slaa.

Source: Mwanzo tv
Dr. Slaa yupo sahihi sana.

Kati ya watu wanafiki kabisa nchi hii ambao wananchi wanatakiwa kuchukua tahadhari kubwa dhidi yao, wa kwanza ni huyo spika Tulia. Huyu hakuna anachokisimamia bali maslahi yake tu. Ndiyo maana kila mara amekuwa mtu wa kutaka kumvisha Rais udikteta akiamini kuwa kwa kufanya hivyo maslahi yake yatalindwa.

Mara nyingi tumesikia kauli zake za kipuuzi kama vile, Bunge lipo kwaajili ya kumtumikia Rais (yaani badala ya kutumikia Jamhuri, anasema eti bunge lipo kwaajili ya kumtumikia Rais). Karibuni tena akatamka kuwa mihimili yote ni mali ya Rais, eti hata biblia inasema mamlaka zote zipo kwaajili ya mfalme. Yote hiyo ni kutaka kumpotosha Rais, na kumfanya Rais awe dikteta, asiheshimu misingi ya utawala bora. Na akiwa dikteta, anaamini kuwa Rais atatoa tu maagizo kuwa Tulia awe mbunge na awe spika, na ikafanyika.

Kwa vile ubunge wake aliupata bila ya kucjaguliwa na wananchi anataka aendelee kuwa mbunge kwa njia hizo hizo. Aliwakumbatia akina Mdee ili kutekeleza maelekezo ya Rais wa wakati huo, hivyo hawezi kuwaondoa kwa kutumia sheria, anataka mpaka apewe maelekezo na Rais.
 
Nyie kila spika ni mbaya kwenu wapumbavu nyie, kisa mtu hayuko upande wenu, kwa hizi akili sijui dola mtaipata lini

Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
 
Balozi Mstaafu Dr Slaa amesema Spika Tulia ameamua tu kuwahifadhi bungeni Akina Halima Mdee na wenzake 18 lakini kiukweli Kesi yao haihusiani kabisa na Wao kuwepo bungeni.

Dr Slaa amesema ile Kesi Akina Halima Mdee na wenzake 18 wameomba tu wapewe nafasi ya kwenda kusikilizwa sasa hiyo inahusiana nini na Wao kuwepo bungeni? Amehoji Dr Slaa.

Source: Mwanzo tv
Hii ni point ya kwanza kasema huyu babu tangu alipoasi chadema.
 
Balozi Mstaafu Dr Slaa amesema Spika Tulia ameamua tu kuwahifadhi bungeni Akina Halima Mdee na wenzake 18 lakini kiukweli Kesi yao haihusiani kabisa na Wao kuwepo bungeni.

Dr Slaa amesema ile Kesi Akina Halima Mdee na wenzake 18 wameomba tu wapewe nafasi ya kwenda kusikilizwa sasa hiyo inahusiana nini na Wao kuwepo bungeni? Amehoji Dr Slaa.

Source: Mwanzo tv
Unaripoti kana kwamba tumemsikiliza wote..

Unapoamua kuripoti kitu halisi (fact), basi ripoti kwa uhalisi na ukamilifu wake!!

Unge highlight hivi na Kisha kuweka mazungumzo yote Kwa mfumo wa video au voice notes ili Kila mtu afuatilie mwenyewe mwanzo mwisho, tungesema you're very professional...

Lakini kwa kuwa hujaweka voice note au video clip akisema hayo, basi wewe ungeripoti kwa ukamilifu kila alichosema ili hata ambao hatukusikiliza maongezi yake tupate picha kamili..

Hapa wewe umeripoti kile cha upande mmoja na cha utashi wako unachotaka watu wakijue kuhusu Dr Slaa. Hii inaitwa "Umeamua kumtumia Dr Slaa ili ku - suit propaganda zako.."

This is very unprofessional kwa mwandishi wa habari wa gazeti la "Uhuru na Mzalendo" kama wewe!!...... Hii haifai..!

Mathalani; kama sababu siyo hiyo (ya kesi iliyoko mahakamani) inayowafanya wawepo bungeni; kumbe ingekuwa ipi sasa ambayo ingempa Spika uhalali kisheria na kikatiba kuwa - retain hao wabunge?

Je, Unataka kutuambia kuwa Dr Slaa aliishia hapohapo ulichoripoti wewe?

No way..!!
 
Unaripoti kana kwamba tumemsikiliza wote..

Unapoamua kuripoti kitu halisi (fact), basi ripoti kwa uhalisi na ukamilifu wake!!

Unge highlight hivi na Kisha kuweka mazungumzo yote Kwa mfumo wa video au voice notes ili Kila mtu afuatilie mwenyewe mwanzo mwisho, tungesema you're very professional...

Lakini kwa kuwa hujaweka voice note au video clip akisema hayo, basi wewe ungeripoti kwa ukamilifu kila alichosema ili hata ambao hatukusikiliza maongezi yake tupate picha kamili..

Hapa wewe umeripoti vitu nusu tu na cha upande mmoja tu Kwa utashi wako wa kile alichokisema. Hii inaitwa "Umeamua kumtumia Dr Slaa ili ku - suit propaganda zako.."

Back
Top Bottom