Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,591
- 31,128
Huyu sio mbunge mimi simsikilizi, mnajifanya kumpa nafasi kupumbaza demokrasia na kupoza makali
Mahuligani nyie
Mahuligani nyie
Incorrigible people,/figures ,😠Huyu sio mbunge mimi simsikilizi, mnajifanya kumpa nafasi kupumbaza demokrasia na kupoza makali
Mahuligani nyie
Kama mbunge ,kwani wewe dada mdee unamuona Leo bungeniHuyu sio mbunge mimi simsikilizi, mnajifanya kumpa nafasi kupumbaza demokrasia na kupoza makali
Mahuligani nyie
Huyu sio mbunge mimi simsikilizi, mnajifanya kumpa nafasi kupumbaza demokrasia na kupoza makali
Mahuligani nyie
Hama nchi kabisa mkuu usije ukafa na stress!Huyu sio mbunge mimi simsikilizi, mnajifanya kumpa nafasi kupumbaza demokrasia na kupoza makali
Mahuligani nyie
Atokelewe nje na kufukuzwaAnyways.....
Unataka ofisi au mamlaka ya Bunge liingilie ugomvi wa Mdee na chama chake...[emoji848]
Taarifa tatu za chapchap mda ukaisha kumamae [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], haya nimahuliganiKashapanick
Wamemchanganya kidogo tu wakampiga taarifa
😂😂 Nimemsamehe Halima Mdee kwa yote aiseeHalima akili kubwa
Spika amejikuta anafanya kazi ya Jensiter Muhagama na Majaliwa kutetea Mkataba badala ya kusimamia Mjadala
yaani Refa wa Fainali anakuwa kocha wa timu mojawapo inayocheza
hii style ya kuomba muongozo ili kumtoa kwny reli Mzungumzaji huwa inanikera sana sana Wallah
Issue ipo programmed kitambo sanaTaarifa tatu za chapchap mda ukaisha kumamae [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], haya nimahuligani
Kanuni za Bunge zinamlinda...😂
CCM OyeeeeHalima akili kubwa
Spika amejikuta anafanya kazi ya Jensiter Muhagama na Majaliwa kutetea Mkataba badala ya kusimamia Mjadala
kumbe TPA wanaachiwa kazi ya kusimamia boti za Bakhresa tu na Wavuvi wa uduvi kule vijibweni
nimemsikiliza Halima Hames Mdee japo kazuiwa kuendelea kuzungunza nimejiridhisha pasi na shaka kuwa Mkataba wa Berlin wa 1884 umehuishwa Dubai mwaka huu.
yaani Refa wa Fainali anakuwa kocha wa timu mojawapo inayocheza
hii style ya kuomba muongozo ili kumtoa kwny reli Mzungumzaji huwa inanikera sana sana Wallah
akili kubwa kwa kuongea kwa sauti au? maana anaulizwa anachokisema kumeandikwa wapi kwenye huo mkataba anabaki kujingatangataHalima akili kubwa
Spika amejikuta anafanya kazi ya Jensiter Muhagama na Majaliwa kutetea Mkataba badala ya kusimamia Mjadala
kumbe TPA wanaachiwa kazi ya kusimamia boti za Bakhresa tu na Wavuvi wa uduvi kule vijibweni
nimemsikiliza Halima Hames Mdee japo kazuiwa kuendelea kuzungunza nimejiridhisha pasi na shaka kuwa Mkataba wa Berlin wa 1884 umehuishwa Dubai mwaka huu.
yaani Refa wa Fainali anakuwa kocha wa timu mojawapo inayocheza
hii style ya kuomba muongozo ili kumtoa kwny reli Mzungumzaji huwa inanikera sana sana Wallah
Mods watengue kanuni za Jf turuhusiwe kutukana angalau kwa leo …nafsi inakereketa sana na sikuwa kujua extent ninayipenda Nchi yangu kama leo[emoji23][emoji23] Nimemsamehe Halima Mdee kwa yote aisee
Spika uzalendo ukamshinda[emoji2956][emoji2956]