Wabunge jadilini huo mkataba sio Mbowe! Mnatuangusha!

MTAZAMO

Platinum Member
Joined
Feb 8, 2011
Posts
20,167
Reaction score
35,733
Mbona mnahamisha hoja za mjadala juu ya huo mkataba mnajadili kauli ya Mbowe? Huo mkataba utajadiliwa kwa kina kweli?

Tafadhali jadilini mkataba, acheni sifa kwa watu huu si muda wake. Tunataka tusikie mjadala juu ya contents za mkataba.

Kinachoendelea sasa ni siasa badala ya mjadala wa kina juu ya mkataba wenyewe. Mnatumia muda mwingi kumnanga Mbowe kuliko kilichomo kwenye mkataba.

Mbowe hatalaumiwa juu ya huu mkataba na matokeo yake bali nyinyi mliopewa nafasi ya kibunge.
 
Naomba moderator msichanganye huu uzi waheshimiwa wabunge wanisome!

Kuna wana ccm kama kina kulwa jilala wanafikiria adui wa taifa ni mbowe na wenzake.
 
Wapuuzi sana, hiyo maana yake Samia ameshatuuza, hao vikaragosi wake sasa wanampongeza tu, sadly enough wengine ni wabara.

Mbowe yupo sahihi, hapo wasuhangaike kujipotezea muda, bora waondoke huko bungeni wakalale tu, kazi yao ya kuiunga mkono kazi za shetani wameshamaliza.
 
Ni bunge kibogoyo. La chama kimoja lililo asisiwa na dictator uchwara ili atawqle milele
 
Naomba moderator msichanganye huu uzi waheshimiwa wabunge wanisome!

Mbona mnahamisha hoja za mjadala juu ya huo mkataba mnajadili kauli ya Mbowe? Huo mkataba utajadiliwa kwa kina kweli?

Tafadhali jadilini mkataba, acheni sifa kwa watu huu si muda wake. Tunataka tusikie mjadala juu ya contents za mkataba.

Kinachoendelea sasa ni siasa badala ya mjadala wa kina juu ya mkataba wenyewe. Mnatumia muda mwingi kumnanga Mbowe kuliko kilichomo kwenye mkataba.

Mbowe hatalaumiwa juu ya huu mkataba na matokeo yake bali nyinyi mliopewa nafasi ya kibunge.
Kule bungeni kuna watu wanajiita wabunge ila hakuna watu wanaofanya kazi za kibunge ambao ndo wabunge halisi.
 
Hapa matumaini yapo kwa wabunge wa Chadema na Mpina. Tumesikia sana wanaunga mkono, tunataka mawazo kinzani.
 
Naomba moderator msichanganye huu uzi waheshimiwa wabunge wanisome!

Mbona mnahamisha hoja za mjadala juu ya huo mkataba mnajadili kauli ya Mbowe? Huo mkataba utajadiliwa kwa kina kweli?

Tafadhali jadilini mkataba, acheni sifa kwa watu huu si muda wake. Tunataka tusikie mjadala juu ya contents za mkataba.

Kinachoendelea sasa ni siasa badala ya mjadala wa kina juu ya mkataba wenyewe. Mnatumia muda mwingi kumnanga Mbowe kuliko kilichomo kwenye mkataba.

Mbowe hatalaumiwa juu ya huu mkataba na matokeo yake bali nyinyi mliopewa nafasi ya kibunge.
Inasikitisha kweli yaani Hadi aibu

Sent from my CPH2217 using JamiiForums mobile app
 
Naomba moderator msichanganye huu uzi waheshimiwa wabunge wanisome!

Mbona mnahamisha hoja za mjadala juu ya huo mkataba mnajadili kauli ya Mbowe? Huo mkataba utajadiliwa kwa kina kweli?

Tafadhali jadilini mkataba, acheni sifa kwa watu huu si muda wake. Tunataka tusikie mjadala juu ya contents za mkataba.

Kinachoendelea sasa ni siasa badala ya mjadala wa kina juu ya mkataba wenyewe. Mnatumia muda mwingi kumnanga Mbowe kuliko kilichomo kwenye mkataba.

Mbowe hatalaumiwa juu ya huu mkataba na matokeo yake bali nyinyi mliopewa nafasi ya kibunge.
Hoja ya Mbowe ni Moto
 
Yaan kabisaa unategemea wabunge wa ccm wawe na michango ya maana kuhusu hii issue ya bandari? ni mikataba au makubaliano yapi walikuwa na cha maana saaaana cha kuisaidia nchi?
 
Back
Top Bottom