Hamad Rashid wa ADC amuonya Freeman Mbowe wa Chadema aache Udini na Ukabila Kwenye Mkataba wa Bandari!

Mzee Hamad Rashid wa ADC amewataka wananchi kukemea maneno ya Udini na Ukabila ya Mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe

Hamad ameonya kauli za Mbowe zisiachwe ziendelee zitatugawa

Source: Bongo 5
 
Attachments

  • CF016D3B-08C2-412A-A4CD-8D5DFE711E1C.jpeg
    CF016D3B-08C2-412A-A4CD-8D5DFE711E1C.jpeg
    123.1 KB · Views: 1
  • 83D078BC-8A9E-4B35-A0AD-C2BC115F7CDF.jpeg
    83D078BC-8A9E-4B35-A0AD-C2BC115F7CDF.jpeg
    94.1 KB · Views: 1
Wakiishiwa hoja wanakimbilia udini na ukabila lakini bandari zetu hazina dini, ndo maana zinasafirisha nyama ya kitimoto. Hatuwezi mchekea mtu anagawa bandari zote kuanzia Dar mpaka zile za lake Tanganyika, bandari za ziwa Nyasa mpaka zile za Ziwa Victoria. Halafu eti tumchekee, haiwezekani.
 
Mzee Hamad Rashid wa ADC amewataka wananchi kukemea maneno ya Udini na Ukabila ya Mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe

Hamad ameonya kauli za Mbowe zisiachwe ziendelee zitatugawa

Source: Bongo 5
Hili sakata nilisema kwenye uzi wa mshenzi mmoja jana kuwa CCM na Samia itaenda chomokea kwa waislam. 2010 JK maji yalipofika shingoni alikimbilia msikitini kuokoa roho yake ndivyo Samia atafanya. Viongozi wote wa upinzani wanaotokea viambaza vya kwa mtoro.. manyema n.k kwenye hili watazamia misikitini na Samia.... dalili zi wazi.
 
Muungano mtamu sana.

wazenji kamafieni hapo hapo, hakikisheni walau robo ya Tanganyika iwe yenu.

Kenge husikia mpaka apigwe chuma kichwani damu zitoke masikioni .

Watanganyika si huwa mnalazimisha muungano, sasa ni wakati wa kuufurahia zaidi😁😁
 
View attachment 2650252
View attachment 2650257
Msikilize JPM kwanza hayo mengine mtaongea baadae
Sawa masharti mengi ya ajabu kweli lakini sisi mbona hatuwezi hata kufanya kazi kwa uadilifu na usanifu kama wanavyofanya wengine na kuwa na bandari yenye hadhi kimataifa inayoingiza hela na kupaisha uchumi?

Aliowaacha bado wanaingiza makontaina ya electrical goods na kuyaandika diapers
 
Aliowaacha bado wanaingiza makontaina ya electrical goods na kuyaanndika diapers
😄😄
 
Sawa masharti mengi ya ajabu kweli lakini sisi mbona hatuwezi hata kufanya kazi kwa uadilifu na usanifu kama wanavyofanya wengine na kuwa na bandari yenye hadhi kimataifa inayoingiza hela na kupaisha uchumi?

Aliowaacha bado wanaingiza makontaina ya electrical goods na kuyaandika diapers
Usiseme"sisi" ni CCM wanaopeana kuanzia u-DC, DED, DAS, RAS, Bodi mbalimbali, TRA, Bandari n.k. Sasa hivi wameshajichimbia mizizi kiasi kwamba hadi mkuu anashindwa kuwagusa. Pili ni lile kundi la walamba asali ambalo limejaa team PWANI. Hawa ndugu kwa asili yao hawapendi mambo magumu na mwarabu alishawajulia kwa hiyo tumepigwa labda tusubiri maandano.
 
Mzee Hamad Rashid wa ADC amewataka wananchi kukemea maneno ya Udini na Ukabila ya Mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe

Hamad ameonya kauli za Mbowe zisiachwe ziendelee zitatugawa

Source: Bongo 5

-----

View attachment 2650268
hivi, tuseme ukweli, ukijadili Tanganyika hawa jamaa huwa wanaingiza "udini", hivi wapi mbowe ameongelea udini? au wao ndio udini umewajaa wanauwaza muda wote? mbowe hajaongelea udini, wao wanasema aache udini, upi? halafu, wazanzibar waongelee uzanzibar wao, Watanganyika wakiongelea utanganyika basi ni wadini, huu si ujinga huu? kwanza amekuja kupiga kiberiti zaidi, angeongea mtanganyika tungemuelewe, mzanzibari tena mwingine anakuja kujifanya anawafundisha watanganyika? kwani yeye bandari yake hata moja inataka kupewa mwarabu? ana uchungu gani na TAnganyika huyu?
 
Back
Top Bottom