Tetesi: Inadaiwa Joram Mbyella, mwanachama wa CHADEMA amekamatwa na watu wasiojulikana

kimbendengu

JF-Expert Member
Jun 7, 2013
6,086
10,406
Leo majira ya Saa Tisa za Tanzania kijana mmoja aitwaye Joram Mbyella, na mwanachama wa chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) amekamatwa na watu wasiojulikana huko nyumbani kwake Kinondoni.

Screenshot 2023-06-20 at 16-43-11 Maria Sarungi Tsehai on Twitter.png


 
Kwamba wameacha wakamata kina Mbowe waje kuwakamata watu wasio na lolote
 
Back
Top Bottom