CHADEMA na CCM wameungana kupinga suala la bandari kubinafsishwa?

Sexless

JF-Expert Member
Mar 11, 2017
21,563
50,410
Wezi na wanufaika wa wizi bandarini walio ndani ya CCM tayari washajitikeza na kubwabwaja kwa kujificha kwenye mwavuli wa uzalendo. Eti wanasema kubinafsisha bandari siyo uzalendo!!! Haa??!!! Hayana haya majizi haya.

Kwahiyo wao wanavyoiba hapo bandarini ndiyo uzalendo?

Kinachonishangaza ni ukimya wa viongozi wa chadema ktk kuwakemea wezi hawa wanaojivisha joho la uzalendo na kupiga uamuzi bora wa kubinafsisha bandari. Ni dhahiri kuwa kuna wezi wa bandari yetu wako pia ndani ya chadema. Chadema toeni tamko ili tujue rangi zenu.

Mnaunga mkono maamuzi yenye heri ya mama au mnaunga mkono maamuzi ya wezi ya kupinga ubinafsishaji wa bandari?
 
Mnaunga mkono maamuzi yenye heri ya mama au mnaunga mkono maamuzi ya wezi ya kupinga ubinafsishaji wa bandari??
Maamuzi yenye heri ya kuuza bandari milele?kweli umechanganyikiwa.ila nimeshajua wewe ni mnufaika wa ufisadi.
 
Wewe unatepinga bandari kubinafsisha ni mnufaika wa wizi unaoendelea bandarini. Yaani mtu mmoja anachote milioni 200 kwa siku moja halafu tuendelee kuwaangalia tu?? Haiwezekani.
 
Hapana. Wezi weusi ni wabaya sana. Wanatuchelewesha
 
Wezi na wanufaika wa wizi bandarini walio ndani ya CCM tayari washajitikeza na kubwabwaja kwa kujificha kwenye mwavuli wa uzalendo. Eti wanasema kubinafsisha bandari siyo uzalendo!!! Haa??!!! Hayana haya majizi haya.

Kwahiyo wao wanavyoiba hapo bandarini ndiyo uzalendo?

Kinachonishangaza ni ukimya wa viongozi wa chadema ktk kuwakemea wezi hawa wanaojivisha joho la uzalendo na kupiga uamuzi bora wa kubinafsisha bandari. Ni dhahiri kuwa kuna wezi wa bandari yetu wako pia ndani ya chadema. Chadema toeni tamko ili tujue rangi zenu.

Mnaunga mkono maamuzi yenye heri ya mama au mnaunga mkono maamuzi ya wezi ya kupinga ubinafsishaji wa bandari?
Sijakuelewa.Unaeleza kuhusu nini?
 
Sidhani Mbowe alijipa muda wa kufikiria kabla ya kutoa tamko lile la Utanganyika na Uzanzibari
Tatizo la Mwenyekiti huyu anajaribu kupita kiasi kuwa relevant Baada ya hoja zake za mikutano ya hadhara na katiba mpya kufanyiwa kazi, sasa anatafuta jipya.
Kwa kukosa maono sahihi ya vyama shindani majizi ya CCM yataendelea kututawala sio hiyo miaka mia bali milele.
 
Mbowe amepatia sana. Amepiga kwenye mshono ndiyo raha ya Vita. Bandari za Bara haziwezi kuuzwa na Wageni kisa Muungano
 
Wezi na wanufaika wa wizi bandarini walio ndani ya CCM tayari washajitikeza na kubwabwaja kwa kujificha kwenye mwavuli wa uzalendo. Eti wanasema kubinafsisha bandari siyo uzalendo!!! Haa??!!! Hayana haya majizi haya.

Kwahiyo wao wanavyoiba hapo bandarini ndiyo uzalendo?

Kinachonishangaza ni ukimya wa viongozi wa chadema ktk kuwakemea wezi hawa wanaojivisha joho la uzalendo na kupiga uamuzi bora wa kubinafsisha bandari. Ni dhahiri kuwa kuna wezi wa bandari yetu wako pia ndani ya chadema. Chadema toeni tamko ili tujue rangi zenu.

Mnaunga mkono maamuzi yenye heri ya mama au mnaunga mkono maamuzi ya wezi ya kupinga ubinafsishaji wa bandari?
mashoga ya bungeni yameambukiza ushoga kwenye ccm yote hadi akili zimetepeta.
 
Wezi na wanufaika wa wizi bandarini walio ndani ya CCM tayari washajitikeza na kubwabwaja kwa kujificha kwenye mwavuli wa uzalendo. Eti wanasema kubinafsisha bandari siyo uzalendo!!! Haa??!!! Hayana haya majizi haya.

Kwahiyo wao wanavyoiba hapo bandarini ndiyo uzalendo?

Kinachonishangaza ni ukimya wa viongozi wa chadema ktk kuwakemea wezi hawa wanaojivisha joho la uzalendo na kupiga uamuzi bora wa kubinafsisha bandari. Ni dhahiri kuwa kuna wezi wa bandari yetu wako pia ndani ya chadema. Chadema toeni tamko ili tujue rangi zenu.

Mnaunga mkono maamuzi yenye heri ya mama au mnaunga mkono maamuzi ya wezi ya kupinga ubinafsishaji wa bandari?
Leta na Kesi zilizoko Mahakamani zikionyesha waliiba,
 
Kinachopingwa sio ubinafsishaji ni mkataba usio na maslahi kwa taifa
 
Wewe unatepinga bandari kubinafsisha ni mnufaika wa wizi unaoendelea bandarini. Yaani mtu mmoja anachote milioni 200 kwa siku moja halafu tuendelee kuwaangalia tu?? Haiwezekani.
Kuna shida gani hiyo mtu kukamatwa, nakuhukumiwa miaka 100 na Kaz ngumu.
 
Back
Top Bottom