Kwenye ukurasa wa Wikipedia unaotoa wasifu wa Rostam Aziz (Rostam Aziz - Wikipedia) unaonyesha moja ya sehemu za biashara na uwekezaji wake ni kwenye huduma za kibandari (port facilities and...
Kutoka kipindi akiwa kama mtunza kumbukumbu she learnt the importance of investing in the nation’s intelligence community pamoja namna ya kusimamia shughuli za utawala si mtu wa kukurupuka na...
Hatuwezi kwenda Makanisani au Misikitini kupambana na shetani asiyeonekana badala ya kupambana na shetani anayeonekana kwanza(DP World)
Nitoe wito kwa wanaohusika na mkataba huu wa DP World...
Mchungaji mashuhuri marehemu Myles Munroe aliwahi kusema hata siku moja usidhani mifumo tuliyo nayo duniani itatuzalishia viongozi, badala yake inatuzalishia wanasiasa.
Akaongeza kuwa ni mara...
Ujamaa ulishaenda na maji. Hili la Kujitegemea nalo tushindwe baada ya mika 60+ ya Kujijengea uwezo? Dhana ya kuacha kujitegemea wenyewe na mbadala wake ukiwa ni "kuendeshewa" biashara zetu kama...
Mbunge wa Jimbo la Muhambwe mkoani Kigoma Mhe. Dkt. Florence George Samizi amemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuondoa adha ya muda mrefu ya Vijana na Wananchi wa Muhambwe kukosa Chuo cha...
Wagwan.
Nchi karibia zote za Afrika Mashariki zinasoma bajeti zake kwa mwaka wa fedha unaonza Julai 1, 2023.
Katika bajeti ya Serikali ya Uganda iliyosomwa leo, serikali imekusudia kutumia zaidi...
Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Nyasa mchungaji Msigwa amesema baadhi yao walimkosoa na Kumshauri Shujaa Magufuli bila kujali Dini Kabila au Ukanda kwa sababu Hoja hujibiwa kwa Hoja
Utetezi wa...
Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amesema Serikali haijazuia kuuza mazao nje ya Nchi isipokuwa imezuia Watu kufanya biashaea bila kufuata utaratibu wa kisheria .
Bashe ametoa kauli hiyo June 21...
Mara nyingi tumekuwa tukiwaona hawa vijana wakijitokeza haraka kutetea au kufanya maandamano kupongeza kunapotokea sintofahamu hasa yanapoguswa maslahi ya serikali ya CCM na viongozi wao wakuu...
Basi Pilato akamuuliza Yesu " Hujui ya kuwa mimi nina Mamlaka ya Kukufunga nami nina Mamlaka ya Kukufungua"?
Yesu akamjibu, " Usingekuwa na Mamlaka hayo kama usingeyapata kutoka juu"
Hivyo...
Serikali ya Jamhuri ya Muungano Tanzania kupitia TANROADS imesaini mikataba ya ujenzi wa barabara ya Mnivata – Newala – Masasi (km 160) kwa kiwango cha lami pamoja na ujenzi wa daraja la Mwiti...
Ndugu zangu watanzania mbunge huyo kipindi azimio la kupitisha mkataba wa bandari hakuongea kitu chochote niliona alikaa kimya hadi muda kuisha , najiuliza au alichangia azimio hilo kwa maandishi...
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi ndugu Daniel Chongolo amewakumbusha wazazi kuwalea watoto wao kwa misingi ya uadilifu na tabia njema.
Hayo ameyasema mbele ya hadhara aliposimama barabara huko...
Kama ni Waarabu Tanganyika ndio wako Wengi kuliko Zanzibar hivyo tatizo siyo Mwarabu
Shida inayoonekana Miradi mingi ya kimkakati kuelekezwa Falme za Kiarabu yaani sawa na kuweka Mayai yote...
Ni kwenye PC yake ya juzi kwa vyombo vya habari alipokuwa akijibu maswali ya waandishi wa habari..
Wasio na bundle, hizi hapa 👇👇👇ni baadhi ya quotes za kauli zake
• "Haya makubaliano ndiyo...
MBUNGE wa Jimbo la Kisesa, Luhaga Mpina kwanini hakuchangia Azimio la Bunge la Mkataba wa Bandari kati ya Tanzania na Dubai? Naomba mwenye kufahamu atusaidie.
Mbunge wa Jimbo la Kisesa, Mhe...
Wapo watu ambao hufurahi wanaposifiwa kwa kila jema na zuri watendalo. Hili ni jambo zuri tu. Pia, wapo ambao huwa hawapendi sifa hata kama wakifanya mambo makubwa na mazuri. Hawa ni wachache. Kwa...
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe ameitaka Serikali kuondoa Mkataba huo kwenye majadiliano Bungeni kwasababu unakwenda kuiingiza Nchi kwenye migogoro usio na faida.
Pia, amewataka Waziri...