Tanzania na Taa itembeayo

kalooo

JF-Expert Member
Jun 14, 2016
270
154
Taa Ni neno asili la kile kitoacho Mwanga kwa ajili ya Watu Kuona,Au kuelewa kinachoendelea.Taa hii Ndo iliifanya Tanzania ikawa na Lugha moja Nzuri kutoka kwa Wahenga wetu inayounganisha Umoja wetu,Mfano Katika Habari dk 5 chombo kitaruka kote na Watu watalipokea Jambo na Kulielewa haraka,Sababu ya Kuja kuonekana Taa hii.

Wapo wanaohusisha na Taa za Umeme,Kibatari,Au Ukuni Unspeakable,Au chochote Kinachowahi.Nalo Ni Zuri ila Kama kinawapa Watu Mwanga watajua pa kutandika walale/wapumzike.Taa muhimu Sana ila mpaka iwashwe.

Taa huwashwa kwa Kiberiti au kifaa Moto chochote na Huwekwa Mahala Pazuri pa mtu Kuona yule aliyomo na ajaye.

Taa imara ya asili Ni lazima isokotwe kamba Yake ili iweze kumudu utoaji wa Mwanga,Mwanga maridhawa.Zipo kamba zake ambazo hutokana na Yale yaliyopo kwa Watu na kile kiitwacho Uzima,Kutoka humo Taa humlika kote na Hata mwisho ule mpaka ije Taa nyingine Tena Kama hiyo ndipo Nyumba ile hufungwa na hufunguliwa taa ile iliko.

Zipo Kazi za taa,Mfano ikiwekwa Mlimani parefu zaidi au Hata Kwenye maingio ya Miji Taa hii huleta heshima,Upendo na Hata vibaka au mjizi kwa Take ndani Mji utayaona.Taa ya asili humlika milele na milele,Maana kilicho old Ni Gold.

Tanzania inategemewa kwa Usalama Na nchi za Kiafrika,Hasa mapatanisho palipo na magomvi,Hili liko wazi Ila lipo Lile gumu kuweka wazi ila Mda ukifika wakuu wataweka wazi,Mkuu Ni Nani? Ni wale waliokaribia Mlimani na Kuiona taa ndio wataiyolea Maelezo kwa Wengine kidogo kidogo ili iendelee Kuonekana kwa Watu kwamba ile kumbe Taa.

Taa inapendeza zaidi kwa Watu Kama iko Kwenye Mji wa Amani,Ndipo waingiamo humo wataambiwa na waliomo humo humu panatufaa kuingia maana Ni Salama Hata tupate nguo nzuri sisi na wanetu,Na Miji mingi ipo na Masokoni Makubwa ndani ya Saba Saba ambayo Kila miji imekuwa marejeo Yake,Mwanza ipo Saba Saba,Kigoma ipo Saba Saba,Dar ipo Saba Saba,Iringa ipo Saba Saba Halikweli ipo nane nane kila Masokoni Kama hayo ambapo panafanyika Maonyesho,Nane Ipo kwa onyesho la Saba Kama Zilikuwepo sita Huko Nyuma.

Tanzania Ina uzuri Wa Mali nyingi na nchi hii iko tayari na kuwa ya Waebrania wale wa Saba yao Kama itapenda Haki na kuchukia Maasi,Hii Ndo Itakuwa Taa ya Watu wote na Mataifa yote Ambayo kwa weredi wa Uongozi tangu mwanzo wa kitabu Chao Hata Daniel 11 kwa Mtu Taa Ni jicho lako Hata Isaya18 Unaweza kumlika na Ukaona kitabu Cha Maombolezo,Hasa kwa wale wenye kufuatilia misingi tuliyoianzisha kuwa Uongo Mwiko,Uwezo Mkuu wetu Uko Kwenye Taa hii.

Upo msemo Kumcha Mungu Ni Chanzo Cha Maarifa,Hakika Jicho ndio taa ya kichwa,Likipata kiongozi Bora haliwezi kutoa maneno ya kushinda kugawanisha Watu au Mwenge kwetu Ni Hasara tu,Sasa una Faida Gani?Dadisini Mambo Muhimu SI kupuuza kila kukicha,Unaweza Kuona taa hii inabebwa na jirani Yako Ukaona Mjinga Huyu mbona Giza bado kumbe upo Kwenye bara la Giza na unasema Mimi wa bara.Pateni utulivu pateni Mahusiano Pateni Umoja mtakuwa na Mungu Katika Mwisho huo.

Mbuzi hugoma kwenda usiku ila kwa Ukuni uwakao alienda,Na Mimi nazungumzia taa iliyokuu Kama Hekima hii,Kama Mungu angesema Hekima hii iwekwe mlima kirimanjaro duh hapo tungewamlikia mataifa yote na Kuwaambia Sasa Njooni myatazame Matendo makuu ya Mungu alivyotujibu,Ili waje waone bara Hili Kama Ni la haki,Upendo,Utu wema,Ujasiri,huruma,Moyo wa kiasi, Fadhili na Uaminifu.Hakika hawatoki Humo mpaka wayaonapo hayo Tena kwingine wote watafuata Hata wa Huko Tanzania.

Nyinyi Vichwa Chambuzi,Mlipata kujua Nilishuka ili nipande na Hayo,Ili mnionapo Mlimani wote kwa Pamoja mseme Hakiiii- Sawa haki Sawa kwa Nani Haki Sawa kwa wote.Mwanga Nani Kanyimwa? Taa Ni haki yako maana Muda mwingi Mnasema Haki ya Mungu pale mnapotaka muuone ukweli kwa Watu,Na leo Mtu was ukweli Yuko Hapa ajuaye kuwapa haki mnayostahili kwa Kadili ya uelewa wenu.

Wapo waliosikika Tutawajaza Mapesa,Kwa Taa imulikayo juu ya Mlima mtasahau Yale ya Momose Cheyo miaka ile.Lakini Chuki itawafanya mtofautiane licha ya Mapesa na Mimi si densa ila mmebaji wa Taa I'll tuitakayo si taa ya Watu wasio na Hekima Bali waliowote wawe wamoja Katika kuipambanua Hekima hii ya Mapito ya mkuki,Jembe na Nyundo,Ngao na maneno tuyatakayo waje wote wayaishi yaani Uhuru na Umoja,Na Mweusi akiwa huru tu hapo Ni Umoja Tena Hata Milenium na Milenium Tena.

Taa yako ipende.Nawasilisha.
 
Back
Top Bottom