johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,978
- 141,996
Zitto Kabwe KC wa ACT Wazalendo na alikuwa Mwenyekiti wa Kamati muhimu sana ya Bunge PAC amesema kwa mara ya kwanza ndio Mkataba umepelekwa bungeni huu wa DP World lakini haikuwahi kutokea kwa Serikali zote zilizopita
Katibu mkuu wa Chadema mh John Mnyika amesema 2017 Serikali ilileta bungeni Mkataba wa Bomba la Mafuta la Uganda Wabunge wakaujadili na kuufanyia marekebisho kadhaa na kuuridhia
Kinachonisikitisha Zitto Kabwe na John Mnyika ni Wasomi waliokuwa bungeni 2017, sasa nani anadanganya na kwa faida gani?
Ingekuwa Kibajaj au Msukuma wala nisingeshangaa
Mlale unono 😃😃