Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ndugu habari za asubuhi, Wakati tukiendelea kuelewa suala la bandari, taratibu wanasiasa wanazidi kutuchanganya. Jana waziri mwenye dhamana ameeleza kuwa kulifanyika ushindani wa makampuni 7...
1 Reactions
8 Replies
718 Views
Napenda kumshukuru sana Mhe. Rais kwa kuufanyia kazi ushauri wangu nilioushauri kwa Waziri Mkuu mwezi February juu ya suala la kuuza vyakula nje. 👇 Kwa Waziri Mkuu. Farao hakuuza chakula nje kwa...
2 Reactions
52 Replies
5K Views
Wajanja walikutana na wajanja wenzao... In 2021 Kenya turned to port operator Dubai Port World (DP World) to manage Lamu Port due to a lack of capacity at the state-run Kenya Ports Authority. It...
3 Reactions
7 Replies
2K Views
Asubuhi ya Leo nimeamka na kumkumbuka mwalimu wangu Mwakitwange aliyetokea chuo cha ualimu Katoke akiwa amevaa gwanda za JKT Enzi hizo. Simkumbuki alinifundisha somo gani ila nakumbuka tu alikuwa...
0 Reactions
0 Replies
315 Views
Kumbe TICS nao mkataba wao ulikuwa usio na mwisho na bado tumewapiga chini na kuvunja mkataba ,so ishu ya muda sio hoja tena lolote linaweza kutokea mbeleni tukabaki na bandari na kuweka kampuni...
14 Reactions
114 Replies
6K Views
PANGU PAKAVU TIA MCHUZI NILE ____________________________ ✍🏽Yesu alianza kazi ambayo alikusudiwa na Mungu kuja kuifanya duniani alipotimiza miaka 30 . Na aliifanya kwa miaka 3 tu...
6 Reactions
14 Replies
2K Views
Kama Taifa hatupo pamoja; wazee wamegawanyika; huu siyo uhuru wa kuongea ni hasira ya kuyumba kwa misingi yetu. Mwalimu alituambia tinaweza leo tunaambiwa hatuwezi; wakati tunaamini tunaweza...
4 Reactions
3 Replies
629 Views
Ajira zilizopo bandari katika ngazi zote nyeti ni watoto wa wakubwa; wanaofanya kazi wote forodha ni watoto wa wakubwa; wanaosimamia miundombinu ni watoto wa wakubwa. Wanapataje huu mchongo? Fedha...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Naona endapo Mhe. Mbowe akiteuliwa na Mhe. Rais kuwa mshauri wa masuala ya biashara itamsaidia sana kukabiliana na athari za kiuchumi Duniani. Aidha itasaidia sana katika uandaaji wa mikataba...
0 Reactions
5 Replies
816 Views
Akihutubia Umati wa Waandishi wa Habari uliojazana kumsikiliza kwenye Makao Makuu ya Chama chake huko Kinondoni , katika masuala Muhimu mengi sana aliyozungumza (sitaki kuyarejea) , Freeman Mbowe...
13 Reactions
42 Replies
3K Views
Mkataba wa Bandari. Kifungu 4(2) kinatufunga. Sheria yetu ya tafsiri = kifungu 53 (1) na (2) viko wazi jambo la kiutashi tumia neno MAY. Kama lazima tumia SHALL. Mkataba unatumia WILL kinyume...
3 Reactions
12 Replies
2K Views
Mwanzoni tulijulishwa kuwa walipatakana Kwa mfumo wa Single Source, Leo hii Tunaambiwa kuwa ilikua ni Tender. Sasa, tunaomba kujua, Tarehe ya Tender kutangazwa, waliomba, waliokuwa disqualified...
6 Reactions
54 Replies
5K Views
Ukitazama viongozi wanavyoongea utabaini yafuatayo:- i. Wamejua kumbe siku hizi si rahisi kuwadanganya watanzania ii. Watanzania si waoga tena kuhoji mambo makubwa ya nchi iii. Oya oya za...
3 Reactions
4 Replies
1K Views
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, amesema Mkataba huo ni Mbovu, haurekebishiki na umelidhalilisha Taifa kwa uamuzi wa Watu wachache ambao wanapaswa kuchukuliwa hatua za Kisheria Akitaja Maazimio ya...
11 Reactions
51 Replies
4K Views
Waziri Mbarawa akiongea na waandishi wa habari leo Julai 14, 2023 Dar ikiwa ni zoezi la kutoa elimu kuhusu uwekezaji kwenye bandari, amesema kama Taifa litapata muwekezaji mzuri kwenye bandari...
2 Reactions
61 Replies
4K Views
Wakati anamuapisha Kamishna mpya Shujaa Magufuli akasema " saa 8 usiku baada ya kumaliza kusoma ripoti kukawa na Maswali nampigia Simu Kichere hajapokea akaja kupokea Asubuhi nikaona huyu ndugu...
2 Reactions
3 Replies
817 Views
Siku chache baada ya Ofisi ya Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI) kumpa wito Wakili Rugemeleza Nshala aliyewahi kuwa Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), kufika Ofisi ya...
11 Reactions
22 Replies
4K Views
Ignorance hates knowledge bc it’s too pure and knowledge fear ignorance bc it’s too sure. Ignorance is enemy? And knowledge is friend? Knowledge we are told is related to what is and ignorance...
1 Reactions
6 Replies
662 Views
Mheshimiwa Mkuu wa Morogoro Adam Malima ametuasa kwa upendo mkubwa sana kuwa katika suala la mikataba hawa waarabu ( jamaa ) sio wajomba zetu, binafsi nimesoma IGA ya ushirikiano katika uwekezaji...
21 Reactions
72 Replies
5K Views
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Tabora, Mhe. Jacqueline Kainja Andrew leo tarehe 14 Julai, 2023 ameendelea na zoezi la Ugawaji wa fedha za miradi ambapo amefanikiwa kukutana na kuwakabidhi Wajumbe...
0 Reactions
0 Replies
661 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…