Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 877
- 4,106
Naona endapo Mhe. Mbowe akiteuliwa na Mhe. Rais kuwa mshauri wa masuala ya biashara itamsaidia sana kukabiliana na athari za kiuchumi Duniani.
Aidha itasaidia sana katika uandaaji wa mikataba kati ya Tanzania na DP world ili maslahi ya Taifa yaweze kuonekana wazi ikiwa ni pamoja na ushirikishwaji.
Nchi ni yetu sote na sasa tuwaze kuifanya nchi isonge then siasa baadaye. Reforms za kisekta zinahitaji zaidi wafanyabiashara kuliko watumishi wa umma