Kiranja wa jamii
JF-Expert Member
- Jan 2, 2023
- 1,152
- 2,753
Ukitazama viongozi wanavyoongea utabaini yafuatayo:-
i. Wamejua kumbe siku hizi si rahisi kuwadanganya watanzania
ii. Watanzania si waoga tena kuhoji mambo makubwa ya nchi
iii. Oya oya za vijana wa mitandaoni hazimaanishi ni watu wa kuchukulia poa, wakiamua kuliamsha inawezekana
Pamoja na juhudi kubwa inayotumika kufunika kombe mwanaharamu apite, hìi haizuii ukweli kuwa Hamza Johari na Timu yake kuna jambo wameliona
Kitu cha kipuuzi nilichokibaini ni timu hii kuendelea kujiona wao wana akili sana na wakosoaji wote.hawana uelewa na mambo ya mikataba. Huu utamaduni wa kudhani kwasababu wào ni viongozi hawakosei inatakiwa ufike mwisho.
Hadi sasa timu Shivji 2 - timu Johari 0 na mpira ni dk ya 65. Timu yoyote inaweza kuibuka mshindi, tusubiri kipenga cha mwisho