Baadhi ya wanasheria wanasema tujitoe kwenye IGA kwa sababu tukishindwa kutekeleza tunaweza kushitakiwa. Mwanazuoni huyu anakataa- soma:-
Intergovernmental agreements
Authors: Daryl R Williams...
Mzee Edwin Mtei ni miongoni mwa Wasomi wa mwanzo mwanzo nchini Tanganyika waliohudumu na baba wa taifa Mwalimu Nyerere
Lakini Sijaona Waandishi Wabobezi kama Pascal Mayalla, Manyerere au Kitenge...
Polisi Tanzania wametoa taarifa kuwa maandamano yaliyopangwa kufanyika na UVCCM nchi mzima hayataruhusiwa.
Wametoa sababu kuwa kufanya hivi kunaweza kusababisha taaruki kwenye jamii.
My take...
Nimeamua kuwadokeza watanzania jambo hili. Kujua chimbuko ni mwanzo wa kujua suluhisho la tatizo, kama lipo. Kwa ubobevu wangu kiutumishi serikalini na chamani, nimefuatilia na kujua chimbuko la...
Hizo foleni za kijinga kwa nini Rais Samia na wenzake wasitumie ndege kata upepo kutoka uwanja wa ndege hadi huko Ikulu ya Dar es Salaam?
Viongozi wengi (waliochaguliwa kwa haki) hata huko...
Mara nyingi tumekuwa tukisikia habari kutoka kwa wenye dhamana mbali mbali na wananchi wa kawaida kuwa mtumishi wa umma, hakimu, bwana shamba, mwalimu, askari polisi(wanainteract sana hawa na...
Hayati Rais Magufuli kila alipofika kwenye ziara zake hakuangalia wale aliokaa nao karibu mezani mbele,aliangalia wananchi waliosimama kusubiria hotuba yake,aliwaangalia sura zao, na wakati...
Katika kile kinachoonekana kama kumbe kesi za Uhujumu Uchumi zilizofungliwa kwa wingi Awamu ya Tano, ule ulikuwa mradi wa kuwachuna wafanya biasharra na wahasimu wa Awamu hiyo.
Watuhumiwa wengi...
Hongera kwa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Hasa Rais wetu mpendwa kwa kupokea Wanafunzi wa Udaktari toka nchini Sudan.
Ikumbukwe nchi ya Sudan ipo katika vita vya wenyewe kwa...
Nimepata taarfa kuwa hawa wazanzibar wanachukua mahekari ya eneo vijijini kwa kutumia njia ya udanganyifu
Wanasema ardhi ya kulima karufuu Zanzibar haitoshi kwahiyo lazima wapate maeneo Morogoro...
MZALENDO ALIYEDHULUMIWA KIWANDA AMEKUFA HAJAONA HAKI
NAKUMBUKA mwaka 1999. Mara ya kwanza naingia chumba cha habari. Business Times Ltd (BTL).
Newsroom yenye hadhi. Nilivutiwa na chumba kikubwa...
UWEKEZAJI KATIKA BANDARI UNA MANUFAA MAKUBWA KIUCHUMI: BASHUNGWA
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa ambeye pia ni Mbunge wa Jimbo la Karagwe, Innocent Bashungwa amesema maamuzi ya...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akifungua Mkutano wa Wadau wa Demokrasia Barani Afrika unawahusisha Viongozi Wakuu Wastaafu wa Nchi mbalimbali Africa katika Ukumbi wa...
ππππ ya ndani yanazidi kuwekwa Wazi
Swahili times
-
βTimu ya uchunguzi [kuhusu bandari] iliteuliwa na Hayati Magufuli. Kimsingi ni mwendelezo wa kazi, sio kitu ambacho kimekurupuka ghafla, ni...
Wadau nawasalimu.Serikali imeamua kutoyavumilia Mashirika yasiyo na TIJA kwa Kuwatafuta WAWEKEZAJI.
Tumeshuhudia MAMLAKA ya BANDARI likitafutiwa Mwekezaji ili kuboresha MAPATO tofauti na sasa...
Waziri wa Mipango Prof Kitila Mkumbo amewataka Wananchi waendelee kutoa Maoni chanya Kuhusu Mkataba wa TPA na DP World.
Kitila amesema ni nyaraka 2 tu Duniani ambazo Hazirekebishiki Biblia na...
Zipo Taarifa kwamba Serikali ya Tanzania inajipanga kuchunguza zilipo hela walizolipa Waliotuhumiwa kwa Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi , Hela hizi zilitokana na kilichosemekana kwamba ni...
Nimekaa sehemu nimesikiliza professor mmoja mmbobezi wa somo la Development studies kwa kifupi DS.
Akijikita kuwaeleza wananchi ambao tayari wananchi hao wana mkataba huo mbovu mkononi. Kuwa...
Mnyonge mnyongeni lakini haki zake mwachieni jamani.
Hapa alikuwa anasema ukweli mtupu kuwa ndani ya Serikali ya CCM huwa wanafuata uzoefu wa sifuri.
Unawapeleka watu kwenye negotiations za...
Serikali ihangaike na Mkulima. Mkulima ndio Sura ya Umasikini wa Tanzania.
Sekta ya Kilimo inapaswa kukua kwa kasi ya 6-8% kwa Mwaka ili Pato la Taifa likue kwa 8-10% kwa Mwaka.
Tunahitaji kasi...