Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 123,266
- 98,312
Mnyonge mnyongeni lakini haki zake mwachieni jamani.
Hapa alikuwa anasema ukweli mtupu kuwa ndani ya Serikali ya CCM huwa wanafuata uzoefu wa sifuri.
Unawapeleka watu kwenye negotiations za Kimataifa watu wazee waliofeli kudato cha nne na sita na chuo walitoka na namba za mwisho.
Hapa uliongea ukweli ndiyo maana kauli zako zilikufanya ukaondolewa pale mbele ya Kiti cha Bunge.