johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,035
- 142,147
Mzee Edwin Mtei ni miongoni mwa Wasomi wa mwanzo mwanzo nchini Tanganyika waliohudumu na baba wa taifa Mwalimu Nyerere
Lakini Sijaona Waandishi Wabobezi kama Pascal Mayalla, Manyerere au Kitenge wakienda kupata maoni ya mzee Mtei katika jambo lolote lile
Wahenga wanaamini kama Nyerere angefuata Ushauri wa mzee Mtei 1979 basi asingeng'atuka 1985 kwa sababu Uchumi ungekuwa imara sana
Ndio najiuliza Why Waandishi wanamkwepa Mtei?