Abdul Nondo: Tatizo la Ajira Linavyotumiwa na Watu Kutapeli Vijana.

ACT Wazalendo

JF-Expert Member
May 5, 2014
610
1,540
Juzi tar 20/07/2023 , Alhamis nilipata taarifa juu ya Kampuni ya kitapeli ambayo siku zote imekuwa ikilalamikiwa kutapeli watanzania na vijana iitwayo Q-NET .

Kampuni hii imekuja na njia Mpya ya kutafuta vijana Mikoani , vijana huko Mkoani wanaambiwa kampuni hii inajishughulisha na masuala ya utalii na kulea Watoto yatima na ina Ofisi zake nje na ndani ya nchi kwa hiyo inatafuta wafanyakazi.

Vijana hawa wanaambiwa wanapotoka Mkoani waje na TSH.150,000 na Viroba vya unga ,Mchele na Maharage. Wakifika Dar es salaam wanapokelewa na Bodaboda kutoka Stendi ya Magufuli hadi kwenye Ofisi hiyo ya Q-NET iliyopo Mbezi- Barabara ya Mpiji-Magoe sehemu inaitwa kwa "KWA JIMMY",nyumba/ Ofisi yao inaitwa kwa "VISUTI".

Vijana wakifikishwa hapo wanachukuliwa taarifa zao na (Mawasiliano) ya wazazi wao Mkoani alafu wanapelekwa eneo moja linaitwa Mbezi Msakuzi (Kwa Paul) huko Makalimawe (Hardware) ndiyo maeneo ambayo vijana hawa zaidi ya 60 wakike na wakiume wakifika kutoka Mkoani wanapelekwa kwenye nyumba za kupanga huko kwa kutumia TSH.150,000 waliyoitoa Ofisini, ambapo chumba kimoja kinakaa vijana wakike au wakiume zaidi ya wanne ,Jana tar 21/07/2023 niliweza kufika maeneo hayo na kuona uhalisia.

Vijana hawa wanatembea umbali wa kilometa 5 kwa mguu kwenda kwenye hiyo Ofisi ya Q-NET kupewa mafunzo ya fursa ya ajira ambapo wanaambiwa ili uingie kwenye fursa hii ya ajira ni lazima kila mmoja alipe Milion 4 kwa ajili ya Pasport kwenda nje kufanya kazi , kufungua Dollar Account, kwa ajili ya mafunzo. Na mtu akitoa hiyo Milion 4 ndiyo atapata fursa zaidi ya kujua kuhusu fursa hiyo ya ajira ,kampuni hii inafanya kazi ya kuwasiliana na wazazi Mkoani kwamba kijana wao anatakiwa kulipiwa hiyo Milion 4 ili aanze kazi na kupata ajira rasmi.

Nimefuatilia hii Milion 4 ni ya kununua Products, lakini vijana hawaambiwi ukweli hadi watakapoitoa ,wapo ambao wametoa nusu. Nilibahatika kushawishi vijana kadhaa kuondoka ,na taarifa hii tayari nimeifikisha Ofisi ya waziri Mkuu @owm_tz , nimewasiliana na Mh. @patrobasskatambi_ kwa hatua zaidi, nina shukuru suala hili limepokelewa kwa uzito mkubwa, Sababu ni kinyume na sheria za nchi.

Abdul Nondo

Mwenyekiti wa Ngome ya vijana ACT wazalendo Taifa.

Waziri Kivuli Kazi, Vijana na Ajira -ACT wazalendo.
 
Waziri Kivuli Kazi, Vijana na Ajira -ACT wazalendo.View attachment 2695827
kumbe Abdul Nondo ulishapewa nafasi kubwa kwenye chama cha Kaka ako, hi nchi buana ukabila na ukanda hautakuja kuisha, hapo mnakuja kukosoa chadema inaendekeza uchaga
 
Shida iliyopo hakuna uwiano sahihi kati ya raslimali zilizopo na nguvu kazi iliyopo.
 
Nafurahi sana kuona vijana wanatapeliwa, naishauri serikali kutoa vibali haraka sana kwenye kila kampuni yoyote inayoonyesha nia ya kutapeli vijana ili wafanye kazi zao chap kwa haraka.
 
Juzi tar 20/07/2023 , Alhamis nilipata taarifa juu ya Kampuni ya kitapeli ambayo siku zote imekuwa ikilalamikiwa kutapeli watanzania na vijana iitwayo Q-NET .

Kampuni hii imekuja na njia Mpya ya kutafuta vijana Mikoani , vijana huko Mkoani wanaambiwa kampuni hii inajishughulisha na masuala ya utalii na kulea Watoto yatima na ina Ofisi zake nje na ndani ya nchi kwa hiyo inatafuta wafanyakazi.

Vijana hawa wanaambiwa wanapotoka Mkoani waje na TSH.150,000 na Viroba vya unga ,Mchele na Maharage. Wakifika Dar es salaam wanapokelewa na Bodaboda kutoka Stendi ya Magufuli hadi kwenye Ofisi hiyo ya Q-NET iliyopo Mbezi- Barabara ya Mpiji-Magoe sehemu inaitwa kwa "KWA JIMMY",nyumba/ Ofisi yao inaitwa kwa "VISUTI".

Vijana wakifikishwa hapo wanachukuliwa taarifa zao na (Mawasiliano) ya wazazi wao Mkoani alafu wanapelekwa eneo moja linaitwa Mbezi Msakuzi (Kwa Paul) huko Makalimawe (Hardware) ndiyo maeneo ambayo vijana hawa zaidi ya 60 wakike na wakiume wakifika kutoka Mkoani wanapelekwa kwenye nyumba za kupanga huko kwa kutumia TSH.150,000 waliyoitoa Ofisini, ambapo chumba kimoja kinakaa vijana wakike au wakiume zaidi ya wanne ,Jana tar 21/07/2023 niliweza kufika maeneo hayo na kuona uhalisia.

Vijana hawa wanatembea umbali wa kilometa 5 kwa mguu kwenda kwenye hiyo Ofisi ya Q-NET kupewa mafunzo ya fursa ya ajira ambapo wanaambiwa ili uingie kwenye fursa hii ya ajira ni lazima kila mmoja alipe Milion 4 kwa ajili ya Pasport kwenda nje kufanya kazi , kufungua Dollar Account, kwa ajili ya mafunzo. Na mtu akitoa hiyo Milion 4 ndiyo atapata fursa zaidi ya kujua kuhusu fursa hiyo ya ajira ,kampuni hii inafanya kazi ya kuwasiliana na wazazi Mkoani kwamba kijana wao anatakiwa kulipiwa hiyo Milion 4 ili aanze kazi na kupata ajira rasmi.

Nimefuatilia hii Milion 4 ni ya kununua Products, lakini vijana hawaambiwi ukweli hadi watakapoitoa ,wapo ambao wametoa nusu. Nilibahatika kushawishi vijana kadhaa kuondoka ,na taarifa hii tayari nimeifikisha Ofisi ya waziri Mkuu @owm_tz , nimewasiliana na Mh. @patrobasskatambi_ kwa hatua zaidi, nina shukuru suala hili limepokelewa kwa uzito mkubwa, Sababu ni kinyume na sheria za nchi.

Abdul Nondo

Mwenyekiti wa Ngome ya vijana ACT wazalendo Taifa.

Waziri Kivuli Kazi, Vijana na Ajira -ACT wazalendo.View attachment 2695827
Hongera sana Mr Abdul Nondo Kwa kitu unachokifanya katika hili
 
Kwanini Jusa na viongozi wenzake wa ACT kule Zanzibar wanadai Zanzibar yao lakini nyie mkiongozwa na Zito mpo mnasisitiza umoja wa kinafiki?

Anzeni kupinga utapeli huo ambao wenzenu wanaupinga kwa vitendo.
 
Sasa kama MTU anamilioni 4 hajui nini chakufanya huoni kuwa tatizo ni lake?

Namna nzuri ya kuwafundisha Watu kuwa na Akili ni kuwaacha watapeliwe
 
Back
Top Bottom