Familia ya Karume imetengwa?

Fortilo

JF-Expert Member
Apr 10, 2012
4,722
14,248
Familia ya mzee Abeid Amani Karume imetengwa na mfumo wa Chama tawala?

Kumbuka CCM ina tabia ya kuwabeba sana watoto wa viongozi wastaafu na kuwapa nyadhifa mbali mbali, na hata isipotosha huwanyooshea njia zao kwenye biashara au kaz wanazofanya.

Vip kwa Familia ya Karume?

1. Karume Jr, Rais mstaafu hata kwenye dhifa za kitaifa haonekani.

2. Ali Karume ndio kafukuzwa kama "mbwa" kwenye chama cha baba yake usiku wa manane.

3. Fatma Karume na usomi wake na uzoefu wake wa muda mrefu kwenye sheria za ndani na za kimataifa lesseni yake ya uwakili ikapigwa pin, akapoteza uwakili, na firm yake ikapigwa bomu na watu " wasiojulikana"

4. Wasomi wa familia ya Karume ni wengi lakini wengi wanajifanyia kazi zao binafsi ukilinganisha na watoto wa wastaafu wengine..

Familia ya Nyerere yupo, Mwinyi wapo, Mkapa wapo, Kikwete wapo, Pinda wapo, Lowassa wapo, Kawawa wapo, Nnauye wapo, Malima wapo, kunani Karume?

Swali ni, Je wametengwa?
 
Nawakubali sana hao jamaa wa hiyo familia, wamekataa kwa vitendo kuwa chawa, ni familia iliyojilindia heshima yao kwa hadhi ya juu kabisa, kwa kuamua kusimama na kile wanachokiamini hata kama kitawa cost kwa namna yoyote.

Kiufupi, wamekataa kuwa chawa ili walipwe vikubwa kabisa ambavyo hata hawa chawa wadogo, kina Lord denning hawatakaa wavipate milele licha ya kujivua nguo huku kila siku kumsifia mtawala msaliti.
 
Familia ya mzee Abeid Amani Karume imetengwa na mfumo wa Chama tawala?

Kumbuka CCM ina tabia ya kuwabeba sana watoto wa viongozi wastaafu na kuwapa nyadhifa mbali mbali, na hata isipotosha huwanyooshea njia zao kwenye biashara au kaz wanazofanya.

Vip kwa Familia ya Karume?

1. Karume Jr, Rais mstaafu hata kwenye dhifa za kitaifa haonekani.

2. Ali Karume ndio kafukuzwa kama "mbwa" kwenye chama cha baba yake usiku wa manane.

3. Fatma Karume na usomi wake na uzoefu wake wa muda mrefu kwenye sheria za ndani na za kimataifa lesseni yake ya uwakili ikapigwa pin, akapoteza uwakili, na firm yake ikapigwa bomu na watu " wasiojulikana"

4. Wasomi wa familia ya Karume ni wengi lakini wengi wanajifanyia kazi zao binafsi ukilinganisha na watoto wa wastaafu wengine..

Familia ya Nyerere yupo, Mwinyi wapo, Mkapa wapo, Kikwete wapo, Pinda wapo, Lowassa wapo, Kawawa wapo, Nnauye wapo, Malima wapo, kunani Karume?

Swali ni, Je wametengwa?
watakula hadi lini? na kwa fatama karume yeye aliamua kutetea ushoga, utawasaidiaje sasa watu kama hao?
 
Familia ya mzee Abeid Amani Karume imetengwa na mfumo wa Chama tawala?

Kumbuka CCM ina tabia ya kuwabeba sana watoto wa viongozi wastaafu na kuwapa nyadhifa mbali mbali, na hata isipotosha huwanyooshea njia zao kwenye biashara au kaz wanazofanya.

Vip kwa Familia ya Karume?

1. Karume Jr, Rais mstaafu hata kwenye dhifa za kitaifa haonekani.

2. Ali Karume ndio kafukuzwa kama "mbwa" kwenye chama cha baba yake usiku wa manane.

3. Fatma Karume na usomi wake na uzoefu wake wa muda mrefu kwenye sheria za ndani na za kimataifa lesseni yake ya uwakili ikapigwa pin, akapoteza uwakili, na firm yake ikapigwa bomu na watu " wasiojulikana"

4. Wasomi wa familia ya Karume ni wengi lakini wengi wanajifanyia kazi zao binafsi ukilinganisha na watoto wa wastaafu wengine..

Familia ya Nyerere yupo, Mwinyi wapo, Mkapa wapo, Kikwete wapo, Pinda wapo, Lowassa wapo, Kawawa wapo, Nnauye wapo, Malima wapo, kunani Karume?

Swali ni, Je wametengwa?

Ukorofi na ujuaji 🤣🤣🤣🤣
 
kwa aina ya matusi anayo yaandikaga Fatma huko Twitter inawezekana familia yao ni ya watu wasioweza kudhibiti hisia zao hasa wanapoona kuna mtu ana mawazo tofauti na wao
 
Familia ya mzee Abeid Amani Karume imetengwa na mfumo wa Chama tawala?

Kumbuka CCM ina tabia ya kuwabeba sana watoto wa viongozi wastaafu na kuwapa nyadhifa mbali mbali, na hata isipotosha huwanyooshea njia zao kwenye biashara au kaz wanazofanya.

Vip kwa Familia ya Karume?

1. Karume Jr, Rais mstaafu hata kwenye dhifa za kitaifa haonekani.

2. Ali Karume ndio kafukuzwa kama "mbwa" kwenye chama cha baba yake usiku wa manane.

3. Fatma Karume na usomi wake na uzoeAcfu wake wa muda mrefu kwenye sheria za ndani na za kimataifa lesseni yake ya uwakili ikapigwa pin, akapoteza uwakili, na firm yake ikapigwa bomu na watu " wasiojulikana"

4. Wasomi wa familia ya Karume ni wengi lakini wengi wanajifanyia kazi zao binafsi ukilinganisha na watoto wa wastaafu wengine..

Familia ya Nyerere yupo, Mwinyi wapo, Mkapa wapo, Kikwete wapo, Pinda wapo, Lowassa wapo, Kawawa wapo, Nnauye wapo, Malima wapo, kunani Karume?

Swali ni, Je wametengwa?
Acha nao waonje magumu tunayopitia tusio na ndugu kwenye system
 
Familia ya mzee Abeid Amani Karume imetengwa na mfumo wa Chama tawala?

Kumbuka CCM ina tabia ya kuwabeba sana watoto wa viongozi wastaafu na kuwapa nyadhifa mbali mbali, na hata isipotosha huwanyooshea njia zao kwenye biashara au kaz wanazofanya.

Vip kwa Familia ya Karume?

1. Karume Jr, Rais mstaafu hata kwenye dhifa za kitaifa haonekani.

2. Ali Karume ndio kafukuzwa kama "mbwa" kwenye chama cha baba yake usiku wa manane.

3. Fatma Karume na usomi wake na uzoefu wake wa muda mrefu kwenye sheria za ndani na za kimataifa lesseni yake ya uwakili ikapigwa pin, akapoteza uwakili, na firm yake ikapigwa bomu na watu " wasiojulikana"

4. Wasomi wa familia ya Karume ni wengi lakini wengi wanajifanyia kazi zao binafsi ukilinganisha na watoto wa wastaafu wengine..

Familia ya Nyerere yupo, Mwinyi wapo, Mkapa wapo, Kikwete wapo, Pinda wapo, Lowassa wapo, Kawawa wapo, Nnauye wapo, Malima wapo, kunani Karume?

Swali ni, Je wametengwa?
Mmh hii familia imetoa marais wawili wa Zanzibar unataka nn zaidi ya hilo mkuu
 
Back
Top Bottom