Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hili ni onyo kabambe ninalopeleka kwa Wachumia tumbo wote wa serikalini na kwingineko. Kutumia watu wajinga hawa akina Mashimo n.a. hawa wapuuzi mamluki wa jf kujibu Mzee Warioba ni...
12 Reactions
44 Replies
1K Views
Kuna haya maneno yaliyotumiwa ya "watoto watovu wa adabu kuchapwa mikwaju" yaliyotamkwa na mtawala mhalifu hivi karibuni. Ni nini maana ya maneno hayo hasa. Tuchukulie kwa maana ya "kuchapa...
16 Reactions
77 Replies
1K Views
Nilitegemea within a week or so, Iran awe " amekufa". Mpaka leo anadunda tena kwa kishindo cha ushindi! Kumbe USA ni maneno tu hana ubavu wa kupigana Vita! I stand to be corrected!
3 Reactions
13 Replies
249 Views
Nimeshangaa kusikia anasema eti ili mabadiliko ya katiba mpya wananchi wanatakiwa kupata elimu kwa miaka mitatu . Wajue nini kinafaa ndani ya katiba hii ya sasa na nini hakifai. Iliundwa tume ya...
5 Reactions
47 Replies
756 Views
2 Reactions
8 Replies
126 Views
  • Redirect
Hivi karibuni, Rais William Ruto wa Kenya alitoa kauli iliyozua mjadala mzito baada ya kutangaza kuwa ujenzi wa kiwanda kikubwa cha kusafisha mafuta ghafi cha Bilionea Aliko Dangote (Dangote Oil...
0 Reactions
Replies
Views
Ukosefu wa ajira kwa vijana amabo ni GenZ hawa ndo wanafanya ccm wanalala macho wazi pamoja na vitisho vyote lakini vijana wa Ge-z waliweza kutoka nje October 29 bila kuogopa. Kwa mbegu...
0 Reactions
5 Replies
158 Views
Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, anaweka wazi juu ya watu walioweka namba yake ya simu mtandaoni na watu wengine kutumia namba hiyo kumrushia matusi.
1 Reactions
11 Replies
398 Views
Ni katika harambee ya kuchangia ujenzi wa ofisi ulioongozwa na John Heche Kwa Ufupi ni Kwamba Ujenzi ushamalizika, maana ukiacha hizo Taslimu, mabati, sementi na matofali yamechangiwa Mungu...
15 Reactions
34 Replies
556 Views
Suala la baadhi ya askari wa vikosi vya usalama Zanzibar kusokota rasta na kuvaa mavazi ya kuficha nyuso zao (ninja) limeibua mjadala mpana katika Baraza la Wawakilishi, huku wajumbe wakitoa...
0 Reactions
1 Replies
112 Views
https://youtu.be/h3u0m2Yy1lQ Godbless Lema huwa nana kawaida ya mdomo mdomo mwingi sana juu ya Kanisa la KKKT, hasa chini ya uongozi wa Askofu Malasusa. Sasa mjomba wake Askofu Shoo amejitokeza...
3 Reactions
16 Replies
307 Views
By Africa J&L Correspondence, Washington, DC There are defining moments when a nation stops merely supplying raw materials to the world and begins shaping the industries that power it. Tanzania...
0 Reactions
1 Replies
633 Views
Ndiyo maana tunasema utekaji, mauaji yote yanafanywa na mamlaka za juu. Kama Warioba anaweza kuwa intimidated kwa kutoa ushauri mwema, je wengine wadogo! si ndiyo maana mauaji ni mengi na vifo...
12 Reactions
24 Replies
496 Views
'TIKITAKA' ZA DANGOTE AKIELEKEA KENYA! Unamtambulisha msichana hadharani kuwa ni Bibi Arusi wako mtarajiwa kumbe hujafika hata kwa wazazi wake kujitambulisha! Sasa kaamua kuolewa na 'Mnyilemi...
13 Reactions
29 Replies
840 Views
Mheshimiwa Rais Mstaafu wa Malawi Askofu Mkuu Lazarius Chakwera (PhD) alikuja huko Tanganyika kufanya nini? Mbona aliondoka kimya kimya? Mjini mipango hapana chezeya Chekibobu wa mjini .zee wa...
3 Reactions
12 Replies
325 Views
Nimemkumbuka huyu bwana; amepotea kabisa ndani ya ardhi ya Tanzania bila kuonekana tena. Wanaodaiwa kuhusika wanaendelea kufurahia rasilimali za nchi, na inaonekana hakuna hatua yoyote...
2 Reactions
8 Replies
153 Views
https://youtu.be/sZv8yMHKNII?si=MjFJqevJHzHcN9bi warioba kasema yote
0 Reactions
6 Replies
121 Views
Asalam Aleikum Alhaji Aliko Dangote, Karibu visiwani ujenge Oil Refinery. Hapa utapata ardhi bure, nafuu ya kodi, nafuu ya kodi na soko kubwa Comoro, Kenya, Madagascar, Seychelles, Somalia...
0 Reactions
0 Replies
109 Views
Sheikh Mussa Kundecha, Mwenyekiti wa Baraza Kuu la Maimamu na Viongozi wa Kiislam Tanzania Baraza Kuu la Maimamu na Viongozi wa Kiislam Tanzania wanasema wanaopinga na kukosoa ripoti ya Chande ni...
4 Reactions
52 Replies
1K Views
TAARIFA YA CHAMA CHA WANASHERIA TANGANYIKA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU TATHMINI YA TAARIFA YA TUME YA JAJI CHANDE KUHUSU MATUKIO YA OKTOBA 29 MWAKA 2025, ILIYOTOLEWA TAREHE 23 APRIL 2026 PAMOJA...
3 Reactions
2 Replies
293 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…