kwani who is USA gentleman?Nilitegemea within a week or so, Iran awe " amekufa". Mpaka leo anadunda tena kwa kishindo cha ushindi!
Kumbe USA ni maneno tu hana ubavu wa kupigana Vita!
I stand to be corrected!
Kama keshatumiza misheni yake aondoke basi huko Iran ili dunia ipate nafuu ya maishaWaliouliwa viongozi wote wa juu na wa kijeshi ndio washindi tena?
Misheni ya Marekani ishatimia kitambo
Najua unaamini kupigana na Marekani ni rahisi kuliko hata kusugua kimbene cha fazafaka wa Kizimkazi.kwani who is USA gentleman?
USA ni unafiki tu ndio humsaidia katika kutisha mataifa mengine , bt kiukweli USA ni miongoni mwa very weak nation on earth
Kumbe Iran kudunda hadi leo ndio maana yake wameshindaNilitegemea within a week or so, Iran awe " amekufa". Mpaka leo anadunda tena kwa kishindo cha ushindi!
Kumbe USA ni maneno tu hana ubavu wa kupigana Vita!
I stand to be corrected!
Wacheni kumvimbisha kichwa, amesundwa na hana nguvu tena za kiasi kama alizokuwa nazo kabla ya vita. Atadunda wapi wakati viongozi wakuu wameuawa! Yuko wapi Ayatollah Ali Khamenei?Nilitegemea within a week or so, Iran awe " amekufa". Mpaka leo anadunda tena kwa kishindo cha ushindi!
Kumbe USA ni maneno tu hana ubavu wa kupigana Vita!
I stand to be corrected!
Trump aliingizwa mkenge na NetanyauNilitegemea within a week or so, Iran awe " amekufa". Mpaka leo anadunda tena kwa kishindo cha ushindi!
Kumbe USA ni maneno tu hana ubavu wa kupigana Vita!
I stand to be corrected!