Kuna haya maneno yaliyotumiwa ya "watoto watovu wa adabu kuchapwa mikwaju" yaliyotamkwa na mtawala mhalifu hivi karibuni.
Ni nini maana ya maneno hayo hasa. Tuchukulie kwa maana ya "kuchapa mikwaju", literally, au kuna maana halisi inayofahamika, na ambayo mifano mingi imeonekana!
Watoto watovu ni akina nani, akina Mdude Nyagali na wengi wengine ambao hawafahamiki walipo sasa hivi? Tunaweza kusema hawa walichapwa mikwaju?
Na hawa waliouliwa Oktoba 29, ni watovu wa adabu ambao walichapwa mikwaju?
Kuna mfano wowote wa vijana watovu kuchapwa mikwaju, kwa maana hiyo hiyo ya kuchapa na siyo kutekwa, kupotezwa au kuuliwa?
Kwa maana hiyo, huyu mtawala mhalifu anawaeleza waTanzania kwamba mikwaju yake anaiendeleza vilevile kama ilivyokuwa tokea mwanzo?