Familia ikiwa za afya ni ulinzi tosha hii inaongeza kujiamini.
Kuna watu wanauza metch na hawana bima za afya please tafuta bima ya afya au tumia condom.
Kuna familia hazina kipato chakutosha na...
Ninaomba mwenye cv ya Omar Kishera maana namwona sana mitandaoni hasa Istgaram akiunguruma na vipindi mbalimbali vya elimu kwa UMMA na kwa Taasisi binafsi.
Je, ni miongoni mwa vigogo waliowahi...
Tume iliundwa na wataalamu wenye uzoefu mkubwa katika masuala ya sheria, haki, usalama na utawala bora. Uteuzi wao ulizingatia uadilifu, uelewaji wa kina wa mambo ya kisiasa na kijamii, na...
Wanabodi,
Karibu, Nipashe ya leo
Kufuatia Watanzania wengi kuwa ni waumini wa dini kuu mbili, Ukristo na Uislamu, hivyo sii wengi wanaijua "karma" ni nini, kwasababu "karma" ni neno la lugha ya...
"Nakupongeza sana kwa kazi kubwa unayoendelea kufanya nchini katika maeneo mbalimbali, katika nyanja mbalimbali. Mwenye macho haambiwi tazama na mwenye masikio haambiwi sikia na kwa hii ambayo...
Salaamu kwako Mheshimiwa Rais
Mheshimiwa Rais, nianze kwa kusema kuwa mimi raia wa Tanzania, nina heshima kubwa kwa Jeshi letu la wananchi. Kazi waliyoifanya kwa miaka zaidi ya 60 ya ulinzi wa...
📍Katambi-Serikali yaokoa Bilioni 21 Magereza
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,Patrobas Katambi amesema jumla ya Shilingi Bilioni 21 zimeokolewa ikiwa ni faida za Bodi ya Parole na Programu ya...
PROF. KABUDI AKUTANA NA WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA BOTSWANA JIJINI LONDON
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Kazi Maalum), Prof. Palamagamba J. Kabudi amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa...
Wakuu,
Kumbe nchi yetu ina mazingira mazuri sana ya Kiuchaguzi katika kipindi hiki na hamsemi?
Akiwa anazungumza jana, Kabudi anasema kwamba tangu Tanganyika au tuseme Tanzania ipate uhuru...
Uzuri ni kwamba sukari ikipanda bei haichagui wewe ni mwimbaji mzuri wa mapambio au ni mkosoaji wa serikali namba inasomeka maumivu yako palepale. Ukienda kituo cha mafuta kuweka mafuta kwenye...
Wanabodi,
Kila nipatapo fursa, huja na makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa", ambazo huwa na swali, kisha hoja, halafu jibu utajibu wewe msomaji.
Naomba kuanza kwa Declaration of Interest.
Kwa...
Nina mashaka na kusema Kuna covid 19 kipindi hiki
Je, Kuna kitu kinapikwa?
Je, Kuna watu wanatafutwa?
Je, biological weapons itatumika Kama ilivyotumika kwa Magufuli na kusingizia covid...
Baada ya Chadema kurudi kwenye siasa CCM imeanzisha umoja wa vyama vilivyoshiriki uchaguzi, umoja huo umepewa jina la "VYAMA RAFIKI".
Lengo la umoja huo ni kuisaidia CCM kupambana na CHADEMA...
Kutokana umuhimu wa hotuba za Rais, pale anapohutubia, katika sehemu maalum, yaani podium, ni vyema kabisa iwe na nembo ya Taifa yenye kuakisi uhalisia wa asili wa rangi zake. Uwepo wa rangi...
“Karne hii mpya haitapiganiwa kwa mafuta pekee — itapiganiwa kwa madini, taarifa, na ushawishi wa kimkakati.”
Kuna nyakati katika historia ambapo kauli moja ya kidiplomasia hubeba ujumbe mkubwa...
My Take
Usije Waamini Wakunya ni Moja ya watu matapeli ,wanafiki na haters wakubwa wa Tanzania.
Hapa bwana Ruto ameamua kutumia Nguvu kubwa sana kumshawishi Dangote Ahamishie wazo la kujenga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.