Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Sote tunatambua ujasiri wako. Unaitetea Taifa kwa nguvu zako zote tunakushukuru sana LAKINI acha kusema sana na nenda pole pole sote tumekuelewa unasimamia rasilmali ya nchi hii.
8 Reactions
19 Replies
2K Views
Asalam, Kwanza naomba nikiri kuwa pamoja na kupenda sana siasa za kimabadiliko na kimapinduzi lakini pia ni realist. Realist kwa kawaida ni aina ya watu wanaouona klukweli kama ulivyo na unaamini...
0 Reactions
0 Replies
469 Views
Licha ya Serikali ya Tanzania kuwa na upungufu mkubwa wa Dolla ya kimarekani, haijatosha na bado serikali ya Tanzania Inaonekana kuwa na Uhaba mkubwa wa Fedha za ndani ambazo Ali maarufu wanaziita...
16 Reactions
111 Replies
10K Views
Natoa tu angalizo CCM iwe Makini sana na mambo yanayoendelea na ihakikishe inampa sapoti ya asilimia 100 Rais Samia Vinginevyo Chama kitapasuka Vipande Vipande kama 2015 Mchawi wa CCM yuko...
19 Reactions
109 Replies
6K Views
Watanzania tumezungumza. Tumezungumza kwa kauli zetu kalikali kama msumari na waziwazi kuliko utandawazi. Tumezungumza kupitia Wanasheria, Maprofesa, Maaskofu, Masheikh, Wanasiasa, Wasomi hadi...
47 Reactions
84 Replies
10K Views
Moja kwa moja kwenye mada. Tangu tupate Uhuru linapokuja suala la Rais kutoka ukristoni basi atakuwa mkatoliki. Je, Kanisa katoliki wanatumia mbinu gani kuwapenyeza? Najiuliza kuna mpango wa Siri...
27 Reactions
296 Replies
22K Views
Wakuu, Akihojiwa na waandishi wa habari siku chache baada ya kuachiliwa na polisi kwa dhamana, wakili Mwabukusi amenukuliwa akisema." Nataka nimwambie wazi IGP hatukuogopi, upo hapo kikatiba na...
71 Reactions
166 Replies
14K Views
  • Closed
Kwa Jina la Mwenyezi Mungu Mwingi wa Rehema Mwenye Kurehemu JUMUIYA NA TAASISI ZA KIISLAM (T) TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI 17 Mfungo Sita 1436 9 Januari 2015 TAMKO LA JUMUIYA NA TAASISI ZA...
11 Reactions
452 Replies
53K Views
Tumealikwa kuhudhuria BRICS Summit huko bondeni. Nani maakilishi huko? NB: Mhe Dr Chakwera toka nchi jirani yupo SA yapata wiki Sasa.
3 Reactions
38 Replies
4K Views
Asalam, Nilifuatilia sana suala la kesi iliyofunguliwa na hawa mawakili. Nikafuatilia hukumu na baada ya hukumu nikajipa muda kufuatilia mitazamo, uelewa, na mipango ya wafungua kesi. Huu ndio...
7 Reactions
10 Replies
1K Views
Eleweni hili na ikiwezekana msipoteze muda kuweka Wagombea akina Lissu na Msigwa sijui na yule wa Tarime au Mbowe mwenyewe. Labda mkatafute mgombea kutoka CCM, tutawaazima hata yeyote mnaemtaka...
4 Reactions
46 Replies
4K Views
Nimeichota sehemu kwenye forum ya wakongwe fulani na jamaa mmoja katoa hii kali. Uchawa ni uchawa na ni mbaya hata kama unavaliwa na profesa au ombaomba. Hatuwezi kuendekeza uchawa kwa kuuza nchi...
1 Reactions
1 Replies
760 Views
Siri muhimu kwa taifa masikini kuinuka kutoka katika dimbwi la umasikini. Hii siri ambayo viongozi na wananchi wengi wa mataifa masikini hatupo tayari kuipokea na kuikubali. Kama taifa tunataka...
4 Reactions
37 Replies
2K Views
Kutokuelewa muktadha wa mapambano na lugha ya picha ni tatizo kubwa kwa upinzani wa Afrika ,Sauti ya Samia ndio ushindi wenyewe wa ccm mwaka 2025 na tena atashinda mpaka kuna watu wataona ni heri...
3 Reactions
20 Replies
1K Views
Kinacho endelea baada ya TEC kutoa Walaka ni refliction ya watanzania walivyo weupe vichwani,Ukiangalia tu hata humu Jf mtu anaweza kuja na Maada yake na kitakacho fuatiwa ni attacking binafisi na...
2 Reactions
2 Replies
783 Views
Leo katika mitandao ya jamii, kumekuwepo na video moja ikimuonyesha hayati Magufuli akionya mamlaka ya bandari nchini kuleta mwekezaji baada ya sisi kuwa tumeshaingiza hela ndefu sana kuitengeneza...
17 Reactions
26 Replies
3K Views
Ni kweli kabisa sisi TANZANIA ndo wa kuhangaika kutafuta kituo kipi chenye mafuta, hapa Tanzania, kweli kabisa Rais? Umeme, vibarua wote wanaofanya kazi kwenye viwanda, wanalaza njaa watoto wao...
5 Reactions
24 Replies
2K Views
Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) kimefanya mafunzo kwa Mabalozi kuhusu fursa za uwekezaji zilizoko nchini ili kuhamasisha wawekezaji wa kigeni wanapokwenda kuiwakilisha Tanzania. Mabalozi hao...
0 Reactions
1 Replies
759 Views
Kampuni ya Dangote imetangaza kupanda kwa bei ya cement kwa shillingi 885 kwa wauzaji wa jumla.Na 2000 kwa wauzaji wa rejareja Na sababu ni kuadimika kwa dola ya marekani.Kwa mwaka huu cement...
2 Reactions
27 Replies
5K Views
Naeleza kwa ufupi. Wenye kuelewa haraka hongereni. Bajeti ya Bandari inakata Sept 2023 ambapo kwa mujibu wake anasema kuanzia Oktoba TPA itakuwa ktk wakati mgumu kwenye kujiendesha DPW walipaswa...
113 Reactions
297 Replies
19K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…