Angalizo: Rais wa sasa akigoma kugombea 2025 kwa sababu ya Usumbufu anaoupata basi CCM itakatika Vipande Vipande na Chadema watapita Katikati!

Huko ccm ni nani msafi kwa sasa ambaye atawauza uchaguzi mkuu
Nilifikiri labda ungethubutu kupinga, alaf ndio na wewe uulize swali.

Ila kwa vile haujapinga ina maana umeona kile nilichoandika kina ukweli.

Na kuhusu swali lako ni kwamba CCM ina hazina kubwa ya wagombea, najua hilo hata wewe mwenyewe kimoyoni moyoni unalijua, sema ndo hivyo kwa hapa hadharani lazima ujifanye kupinga kwa sababu zako binafsi.
 
Natoa tu angalizo

CCM iwe Makini sana na mambo yanayoendelea na ihakikishe inampa sapoti ya asilimia 100 Rais Samia

Vinginevyo Chama kitapasuka Vipande Vipande kama 2015

Mchawi wa CCM yuko ndani ya CCM wala siyo Chadema

Mlale Unono
Saa100 atakuwa kama zimwi ccm itatapatap sana kwa kweli
 
Nilifikiri labda ungethubutu kupinga, alaf ndio na wewe uulize swali.

Ila kwa vile haujapinga ina maana umeona kile nilichoandika kina ukweli.

Na kuhusu swali lako ni kwamba CCM ina hazina kubwa ya wagombea, najua hilo hata wewe mwenyewe kimoyoni moyoni unalijua, sema ndo hivyo kwa hapa hadharani lazima ujifanye kupinga kwa sababu zako binafsi.
😂😂🔥
 
CCM ikimsimamisha yeyote yule itashinda kwa kushindo.

Kuna vijiji vingi hapa nchini hakuna ofisi ya Chama cha upinzani.
Hawa wapinzani wa kushinda kulilia ruzuku na kualikwa Ikuru watawezaje kuchukua nchi.

Wapinzani wanaoratibiwa na CCM.

CCM rekebisheni mkataba DPW aendeshe Bandari moja kwanza japo kwa miaka 20 tumtathimini.

Kumpa Bandari zote miaka yote ni kuruhusu atutawale milele.

CCM mnataka uwekezaji au kutawaliwa?

Unampaje Mwekezaji mmoja toka nchi moja, ghafla tu amiliki Bandari zote za nchi.
Hivi mko sawasawa kichwani kweli ?
 
Tatizo hana hela ya kurudishia walokuwa wanamdanganya ndugu zake .waarabu hawanaga udugu na wazanzibar ni mbinu ya maslah
Arudi Zanzibar awawache mumtafute wa kuwaongoza , Ni vizuri mkarudisha Mjerumani au Muingereza awatawale upya. Sisi huku Zanzibar tuwe huru tuirudishe historia iliyochafuliwa na kanisa katoliki.
 
Arudi Zanzibar awawache mumtafute wa kuwaongoza , Sisi huku Zanzibar tuwe huru tuirudishe historia iliyochafuliwa na kanisa katoliki.
Tutafurahi sana akirudi tu muwape dp world bandari zenu
 
CCM ikimsimamisha yeyote yule itashinda kwa kushindo.

Kuna vijiji vingi hapa nchini hakuna ofisi ya Chama cha upinzani.
Hawa wapinzani wa kushinda kulilia ruzuku na kualikwa Ikuru watawezaje kuchukua nchi.

Wapinzani wanaoratibiwa na CCM.

CCM rekebisheni mkataba DPW aendeshe Bandari moja kwanza japo kwa miaka 20 tumtathimini.

Kumpa Bandari zote miaka yote ni kuruhusu atutawale milele.

CCM mnataka uwekezaji au kutawaliwa?

Unampaje Mwekezaji mmoja toka nchi moja, ghafla tu amiliki Bandari zote za nchi.
Hivi mko sawasawa kichwani kweli ?
Lowassa 2015 aliwapatia Wapinzani Wabunge zaidi ya 100 Kutoka Vijiji hivyo hivyo!
 
Back
Top Bottom