Mwaka 2025, CCM itashinda kwa kishindo kuliko mwaka 2020

GUSSIE

JF-Expert Member
Dec 2, 2014
3,866
11,100
Kutokuelewa muktadha wa mapambano na lugha ya picha ni tatizo kubwa kwa upinzani wa Afrika ,Sauti ya Samia ndio ushindi wenyewe wa ccm mwaka 2025 na tena atashinda mpaka kuna watu wataona ni heri mwaka 2020 kulikuwa na sauti ya ngurumo na vitisho

Mwaka 2025 Samia atashinda kimya kimya tena asubuhi mapema ,Atashinda kwa sauti ya chini chini ya ukimya na upole

Rais Samia ameturahisishia sana kazi wana ccm kwani wakati wa uchaguzi 2025 tutawapuliza kidogo na kuwafinya kimya kimya ,Mkija kupata akili tayari itaanza mipango ya kifikiria 2030

Chadema na wapinzani wengine wanajitekenya wao wenyewe kwenye mikutano yao halafu kucheka wanataka sisi wananchi tucheke,Mwaka 2025 watashangaa kura zitakapotekenywa na kilio watakilia wao

Mwaka 2020 tulionya hapa JF kuwa itakuwa ushindi wa land slide victory ingawa hoja za Tundu Lissu hazikujibiwa na hazina majibu

Suala la makubaliano ya bandari tulionya hapa JF kuwa tatizo ni lugha ya kiingereza kutokueleweka kwa watanzania wengi,Wafuasi wa Mwabukusi na genge lake wamekimbilia mahakamani kuhitaji tafsiri ya lugha ya kiingereza ya sheria

Kama lugha ya kiingereza ni rahisi kwanini unaenda mahakamani na mnaanza kubishana vitu vilivyo wazi kabisa kwenye zile articles ,Tatizo hili la lugha ndio mtaji wa Rais Samia mwaka 2025

Vichekesho na vioja ndio hivi,Wewe unasema mkataba mbovu lakini suluhisho lako ni kukimbilia kupata tafsiri ya kiingereza,Eeh ukishapata tafsiri so what?

Mtikila alipata tafsiri ngapi ?Na baada ya tafsiri nini kilitokea?

Bila kutambua adui unayepigana nae ni wa aina gani na anatumia silaha aina gani huwezi kushinda vita hata kidogo

Silaha ya ccm bado wapinzani hawajazijua kabisa mpaka sasa ,Uchaguzi sio maneno wala sera kwa nchi za Afrika

Uchguzi wa Afrika ni nani anayepiga kura na ni nani anayehesabu kura na ni nani anayetangaza matokeo ya hizo kura
 
Sawa
 
Shit happens
Kiherehere chako ndio kinakufanya upige kelele za bandari wakati hujui hata maana ya bandari na wala hujawahi kuiona bandari hapo Dodoma kwani umezaliwa hapo na kukulia hapo

Mara nyingi unapiga kelele za mkataba wa bandari ukiulizwa umeusoma na umeuona unajibu amesema Mbowe

Sasa Taifa la watu vijana kama wewe wanaofikiria matusi kama wewe unategemea kuna Taifa baadae
 
Kutokuelewa muktadha wa mapambano na lugha ya picha ni tatizo kubwa kwa upinzani wa Afrika ,Sauti ya Samia ndio ushindi wenyewe wa ccm mwaka 2025 na tena atashinda mpaka kuna watu wataona ni heri mwaka 2020 kulikuwa na sauti ya ngurumo na vitisho

Mwaka 2025 Samia atashinda kimya kimya tena asubuhi mapema ,Atashinda kwa sauti ya chini chini ya ukimya na upole

Rais Samia ameturahisishia sana kazi wana ccm kwani wakati wa uchaguzi 2025 tutawapuliza kidogo na kuwafinya kimya kimya ,Mkija kupata akili tayari itaanza mipango ya kifikiria 2030

Chadema na wapinzani wengine wanajitekenya wao wenyewe kwenye mikutano yao halafu kucheka wanataka sisi wananchi tucheke,Mwaka 2025 watashangaa kura zitakapotekenywa na kilio watakilia wao

Mwaka 2020 tulionya hapa JF kuwa itakuwa ushindi wa land slide victory ingawa hoja za Tundu Lissu hazikujibiwa na hazina majibu

Suala la makubaliano ya bandari tulionya hapa JF kuwa tatizo ni lugha ya kiingereza kutokueleweka kwa watanzania wengi,Wafuasi wa Mwabukusi na genge lake wamekimbilia mahakamani kuhitaji tafsiri ya lugha ya kiingereza ya sheria

Kama lugha ya kiingereza ni rahisi kwanini unaenda mahakamani na mnaanza kubishana vitu vilivyo wazi kabisa kwenye zile articles ,Tatizo hili la lugha ndio mtaji wa Rais Samia mwaka 2025

Vichekesho na vioja ndio hivi,Wewe unasema mkataba mbovu lakini suluhisho lako ni kukimbilia kupata tafsiri ya kiingereza,Eeh ukishapata tafsiri so what?

Mtikila alipata tafsiri ngapi ?Na baada ya tafsiri nini kilitokea?

Bila kutambua adui unayepigana nae ni wa aina gani na anatumia silaha aina gani huwezi kushinda vita hata kidogo

Silaha ya ccm bado wapinzani hawajazijua kabisa mpaka sasa ,Uchaguzi sio maneno wala sera kwa nchi za Afrika

Uchguzi wa Afrika ni nani anayepiga kura na ni nani anayehesabu kura na ni nani anayetangaza matokeo ya hizo kura
FB_IMG_1690933738760.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Takataka kabisa hii
Mafuta leo yamepanda kwa 20%
Watanganyika wanaporwa mali zao
Sidhani hata kama CCM watampitisha Mama samia 2025
Akipitishwa Lissu will win easily
 
NJIA KWA CCM NI NYEUPE AJABU KABISA,VIPO VYAMA VITAJIFIA MAZIMA,TIME SHALL TELL,
N.B,Tatizo ni huyu anachapa kazi na yule anapiga domo!(na kula bata tu kwa ruzuku)
CCM,undeni tume ndogo ya kuchunguza kero sugu za watanzania, kila pahala, nchi nzima,ambapo apajaguswa paguswe japo kidogo ,ili hawa wajinga wakose pa kushikia.
 
Ili kuishiwa nguvu nilazima uwe ulikuwa na nguvu saana hapo awali ndio tafsiri ya kuishiwa nguvu inaonekana nakufanya kazi!
Kwa tafsiri nyepesi jifunze kwa kuwatazama watu waliosimama pembe ya mto mkubwa unaopitisha mafuriko mazito yanayobeba hadi magogo, hawana haraka na hawajakata tamaa ya kuvuka na kuendelea na safari yao! Mafuriko yakisha pungua nguvu watu wale huanza kuvuka kwa mafungu! Watakaovuka mafuriko yakipungua kufikia magotini, wengine kufikia kisiginoni na wengine hata yakauke kabisa! Hapa ni nguvu ya MUDA ndio inafanya kazi! Na mafuriko hayo hayana tena nguvu ya kurudi nyuma kuwazuia yatakuwa yanaendelea kwenda mbele kufikia kituo cha pumziko wa zunguko lake la maafa!
Ogopa sana mzunguko wa dunia, Subira ya misimu na kuzeeka vibaya!
 
Kuna usemi unasema :mwizi ujitetea kwa watu kuwa yeye ni mwema wakuaminika.

Ilo unalolisema tambua ukoo wako na familia yako,jirani yako,jamaa yako utampoteza kwa icho kishindo ukilia msibani.
 
Athari hasi za ukoloni kwa nchi nyingi za Afrika, hasa zilizopo kusini mwa jangwa la Sahara, ikiwemo Tanzania ni za kiakili zaidi kuliko zile za kimaumbile. Ukoloni wa kale ulivuruga kwa makusudi mfumo wa asili wa ustaarabu wa Mwafrika na badala yake wakaweka ustaarabu wao wa kigeni.
Kutokuelewa muktadha wa mapambano na lugha ya picha ni tatizo kubwa kwa upinzani wa Afrika ,Sauti ya Samia ndio ushindi wenyewe wa ccm mwaka 2025 na tena atashinda mpaka kuna watu wataona ni heri mwaka 2020 kulikuwa na sauti ya ngurumo na vitisho

Mwaka 2025 Samia atashinda kimya kimya tena asubuhi mapema ,Atashinda kwa sauti ya chini chini ya ukimya na upole

Rais Samia ameturahisishia sana kazi wana ccm kwani wakati wa uchaguzi 2025 tutawapuliza kidogo na kuwafinya kimya kimya ,Mkija kupata akili tayari itaanza mipango ya kifikiria 2030

Chadema na wapinzani wengine wanajitekenya wao wenyewe kwenye mikutano yao halafu kucheka wanataka sisi wananchi tucheke,Mwaka 2025 watashangaa kura zitakapotekenywa na kilio watakilia wao

Mwaka 2020 tulionya hapa JF kuwa itakuwa ushindi wa land slide victory ingawa hoja za Tundu Lissu hazikujibiwa na hazina majibu

Suala la makubaliano ya bandari tulionya hapa JF kuwa tatizo ni lugha ya kiingereza kutokueleweka kwa watanzania wengi,Wafuasi wa Mwabukusi na genge lake wamekimbilia mahakamani kuhitaji tafsiri ya lugha ya kiingereza ya sheria

Kama lugha ya kiingereza ni rahisi kwanini unaenda mahakamani na mnaanza kubishana vitu vilivyo wazi kabisa kwenye zile articles ,Tatizo hili la lugha ndio mtaji wa Rais Samia mwaka 2025

Vichekesho na vioja ndio hivi,Wewe unasema mkataba mbovu lakini suluhisho lako ni kukimbilia kupata tafsiri ya kiingereza,Eeh ukishapata tafsiri so what?

Mtikila alipata tafsiri ngapi ?Na baada ya tafsiri nini kilitokea?

Bila kutambua adui unayepigana nae ni wa aina gani na anatumia silaha aina gani huwezi kushinda vita hata kidogo

Silaha ya ccm bado wapinzani hawajazijua kabisa mpaka sasa ,Uchaguzi sio maneno wala sera kwa nchi za Afrika

Uchguzi wa Afrika ni nani anayepiga kura na ni nani anayehesabu kura na ni nani anayetangaza matokeo ya hizo kura
Hali hii imepelekea watu wengi wapoteze uwezo wa kuhoji mambo ya msingi, uwezo wa kujiamini na kujihisi duni mbele ya watawala, kupoteza uwezo wa ubunifu, kushindwa kuendana na matakwa ya wakati, n.k. Hali hii ndiyo huwafanya watu wengi kupelekwa puta na propaganda za kisiasa badala kuangalia uhalisia wa mambo.

Yaani pamoja na madudu yote yanayofanywa na CCM katika nyakati hizi, bado anatokea mtu miongoni mwetu anathubutuje kuzungumzia ushindi wa kimbunga kwa mwaka 2025 eti tena kwa kulinganisha na ule uchafuzi wa 2020. Hivi mtu anathutuje kusema hadharani kuwa 2020 kulifanyika uchaguzi!?

Hii kwa vyovyote vile ni janga la UKIA, Upungufu wa Kinga Akilini. Ndiyo! Jukumu la kuwarekebisha watawala ni la kila mtu mwenye mapenzi mema na nchi yetu. Hili si jukumu la upinzani, ni mchakato endelevu wa kuhakikisha kila ambaye anapewa dhamana ya uongozi anawajibika ipasavyo kuendana na kiapo chake.
 
NJIA KWA CCM NI NYEUPE AJABU KABISA,VIPO VYAMA VITAJIFIA MAZIMA,TIME SHALL TELL,
N.B,Tatizo ni huyu anachapa kazi na yule anapiga domo!(na kula bata tu kwa ruzuku)
CCM,undeni tume ndogo ya kuchunguza kero sugu za watanzania, kila pahala, nchi nzima,ambapo apajaguswa paguswe japo kidogo ,ili hawa wajinga wakose pa kushikia.
Kichefuchefu tupu
Kuandika kwenyewe hujui
 
Kutokuelewa muktadha wa mapambano na lugha ya picha ni tatizo kubwa kwa upinzani wa Afrika ,Sauti ya Samia ndio ushindi wenyewe wa ccm mwaka 2025 na tena atashinda mpaka kuna watu wataona ni heri mwaka 2020 kulikuwa na sauti ya ngurumo na vitisho

Mwaka 2025 Samia atashinda kimya kimya tena asubuhi mapema ,Atashinda kwa sauti ya chini chini ya ukimya na upole

Rais Samia ameturahisishia sana kazi wana ccm kwani wakati wa uchaguzi 2025 tutawapuliza kidogo na kuwafinya kimya kimya ,Mkija kupata akili tayari itaanza mipango ya kifikiria 2030

Chadema na wapinzani wengine wanajitekenya wao wenyewe kwenye mikutano yao halafu kucheka wanataka sisi wananchi tucheke,Mwaka 2025 watashangaa kura zitakapotekenywa na kilio watakilia wao

Mwaka 2020 tulionya hapa JF kuwa itakuwa ushindi wa land slide victory ingawa hoja za Tundu Lissu hazikujibiwa na hazina majibu

Suala la makubaliano ya bandari tulionya hapa JF kuwa tatizo ni lugha ya kiingereza kutokueleweka kwa watanzania wengi,Wafuasi wa Mwabukusi na genge lake wamekimbilia mahakamani kuhitaji tafsiri ya lugha ya kiingereza ya sheria

Kama lugha ya kiingereza ni rahisi kwanini unaenda mahakamani na mnaanza kubishana vitu vilivyo wazi kabisa kwenye zile articles ,Tatizo hili la lugha ndio mtaji wa Rais Samia mwaka 2025

Vichekesho na vioja ndio hivi,Wewe unasema mkataba mbovu lakini suluhisho lako ni kukimbilia kupata tafsiri ya kiingereza,Eeh ukishapata tafsiri so what?

Mtikila alipata tafsiri ngapi ?Na baada ya tafsiri nini kilitokea?

Bila kutambua adui unayepigana nae ni wa aina gani na anatumia silaha aina gani huwezi kushinda vita hata kidogo

Silaha ya ccm bado wapinzani hawajazijua kabisa mpaka sasa ,Uchaguzi sio maneno wala sera kwa nchi za Afrika

Uchguzi wa Afrika ni nani anayepiga kura na ni nani anayehesabu kura na ni nani anayetangaza matokeo ya hizo kura
Usiwafanye Watanzania ni mazuzu kama mlivyo walamba dinar za UAE.
 
Wajinga mnazidi kuongezeka Mwaka 2020 hakukuwa na Uchaguzi Nchi ilichafuliwa na Mwendazake kuteua makada wenzake na 2025 naona TEUZI za makada zitaendelea CCM inaogopa sana CHAGUZI
 
Back
Top Bottom