Mabalozi wafundwa na kituo cha uwekezaji

Mabalozi wafundwa na kituo cha uwekezaji

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2020
Posts
1,773
Reaction score
1,174
Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) kimefanya mafunzo kwa Mabalozi kuhusu fursa za uwekezaji zilizoko nchini ili kuhamasisha wawekezaji wa kigeni wanapokwenda kuiwakilisha Tanzania.

Mabalozi hao walioteuliwa na kuapishwa hivi karibuni na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan na kuagiza wapewe mafunzo hayo.

20230824_194737.jpg
 
Ha!
 

Attachments

  • 386DBC19-C867-43C1-ACA2-0276E7E379C8.jpeg
    386DBC19-C867-43C1-ACA2-0276E7E379C8.jpeg
    29.5 KB · Views: 1
Back
Top Bottom