Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ni kisa kinachosikitisha sana. Lakini kina uhusiano mkubwa sana na namna viongozi wanavyopaswa kusikiliza maoni ya wanaowaongoza! Mara nyingine dreva huchoka. Na pia kuna wakati dreva hupata na...
1 Reactions
0 Replies
421 Views
Mkutano wa Chadema pale Shinyanga Mjini haukuwa na msisimko kwa sababu mambo waliyoongea yalikuwa yanajirudia Mambo ya DP World yameshawasilishwa kwa Wananchi kwa upana sana kupitia Waraka wa...
10 Reactions
45 Replies
2K Views
Ndugu zangu Watanzania, Uongozi unatoka kwa Mungu,huyo ndiye awezaye kumuinua mtu na kumpa madaraka,huyo ndiye humpa kibali mtu akakubalika ,kuungwa mkono na kupendwa na watu,huyo ndiye...
3 Reactions
130 Replies
6K Views
Ikiwa kama mwananchi napendekeza serikali kulitoa shirika la Tanesco kwa wawekezaji sababu imeshindwa kusimamia upatikanaji wa umeme wa uhakika. Umeme kwetu unakatika si chini ya mara 8 kwa siku...
5 Reactions
47 Replies
2K Views
  • Closed
Hili suala la Bandari naona baadhi yenu mmelibeba katika namna fulani ya UDINI, kila nikimuangalia kiongozi wangu wa KIISLAM akisimama mahali analizungumzia katika upande wa UDINI. Sikilizeni...
73 Reactions
200 Replies
14K Views
Ukiachilia mbali mkataba wa bandari ambao Serikali imesaini kuwapa bure waarabu wa Dubai bandari zote za Tanganyika za bahari na maziwa makuu, kumbe pia; 1. Inadaiwa serikali imeingia na kusaini...
0 Reactions
2 Replies
762 Views
Ukifuatilia kwa karibu namna gani viongozi wetu wanaendesha nchi hii kwa vyo vyote vile lazima utapata msongo wa mawazo. Kwamba hakuna kitu ambacho sisi Watanzania na hasa Watanganyika tunachoweza...
9 Reactions
31 Replies
2K Views
Anaandika Baba Askofu Dkt. Benson Bagonza - KKKT Dayosisi ya Karagwe. HATUGOMBEI, TUNAGOMBEZWA Wapendwa wangu, nimejizuia sana kuandika au kusema chochote. Lakini mmenisonga sana, nami nimo...
50 Reactions
108 Replies
13K Views
Mkataba wa Bandari ulivyo unatoa mamlaka yote ya kiuchumi na uendeshaji kwa wageni na unaweka mazingira ya kuwafanya wenyeji kuwa watumwa na vibarua. Kwa hiyo hatuwezi kunyamazishwa na vitisho...
30 Reactions
76 Replies
8K Views
Pamoja na Mvua kunyesha kuanzia Alfajiri huku Temeke, lakini mpaka sasa kwenye viwanja vya Bulyaga, ambako kuna Mkutano kabambe wa kupinga Mkataba mbovu na kupiga spana madalali wa Bandari za...
41 Reactions
315 Replies
42K Views
Naungana na ACT wazalendo kwenye hoja yao waliyoelekeza kwa Waziri mwenye dhamana na masuala ya maji: wateja wanaolipia kuunganishiwa maji ni wengi lakini hakuna vifaa. Ukiuliza unaambiwa serikali...
3 Reactions
6 Replies
1K Views
Mimi ni muumini wa Demokrasia ya Chama kimoja, kwani Uongozi unaweka sera za muda mrefu na kuweza kuzitekeleza bila kuhofia kupoteza uchaguzi(short-termism). Sharti la mfumo huu unahitaji...
0 Reactions
1 Replies
901 Views
“Serikali imesharudisha takribani TZS bilioni 9 kwa wafanyabiashara waliokuwa wamewekeza kwenye Bureau de Change [maduka ya kubadili fedha] ambazo zilikuwa zimekamatwa katika oparesheni...
3 Reactions
19 Replies
1K Views
MTANZANIA ALIYEFARIKI NCHINI DENMARK. Tunawatafuta ndugu wa Samuel John Asheli aka Rasta TZ, aliyefariki Denmark tarehe 05.08.2016, baada ya kuugua kwa muda mrefu. Marehemu amekaa Denmark kwa...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Uhusiano kati ya dini na siasa ni suala ambalo limekuwa na athari kubwa katika historia ya binadamu. Dini na siasa zinaweza kuwa na uhusiano wa karibu au wa mbali, na athari za uhusiano huu...
1 Reactions
14 Replies
3K Views
Waziri na Mbunge mstaafu mh Anna Tibaijuka amewashukuru Maaskofu wa Kanisa Katoliki kwa kusimama Imara kwenye mkataba wa Bandari Prof Tibaijuka amesema hakuna Udini Kwenye mkataba wa Bandari...
22 Reactions
45 Replies
4K Views
Msemo huu RAIS SAMIA ameunena katika maadhimisho ya miaka 60 ya KKKT ya Sherehe hizo zilizofamyika Tengeru -Jijini Arusha. Ikumbukwe kwamba ni wazi kuwa msemo huu huwa unasemwa na (MTU MCHA...
11 Reactions
82 Replies
5K Views
Tatizo la Tanzania na nchi nyingi za Afrika ni uongozi mbaya. Uongozi mbaya umesababisha udumavu wa kila nyanja ambayo ingeleta maendeleo ya Taifa. Uongozi mbaya kwa Taifa letu zaidi upo katika...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
ASKOFU Mkuu wa Makanisa ya Ufunuo, Paul Bendera ameongoza jopo la Maaskofu 6 na kutoa tamko Sakata la Bandari. Askofu Charles Fortunatus aliekuwa miongoni mwa Maaskofu hao amewashutumu viongozi...
8 Reactions
139 Replies
11K Views
"Na mkataba huu unasema, 'Na njia za uchukuzi'. Sasa nyie watu wa shinyanga, njia za uchukuzi maana yake nini kama si barabara na reli?" "Wamesubiri tunakaribia kumaliza ujenzi wa reli ya kisasa...
21 Reactions
78 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…