12STONE
JF-Expert Member
- Mar 16, 2013
- 1,184
- 398
Msemo huu RAIS SAMIA ameunena katika maadhimisho ya miaka 60 ya KKKT ya Sherehe hizo zilizofamyika Tengeru -Jijini Arusha.
Ikumbukwe kwamba ni wazi kuwa msemo huu huwa unasemwa na (MTU MCHA MUNGU, ALIYEJAA IMANI NI MWAMINIFU, MKWELI, MTU MPENDA HAKI NA MTENDA HAKI), Inapotokea anasongwa na kukabiliwa na mapito au majaribu makubwa na magumu huku akisindikizwa na maneno ya kumvunja MOYO siku Hadi siku,yeye huja na kauli ''MIMI NACHAGUA KUNYAMAZA KIMYA"
Lakini haifai kutumia msemo huu wakati Pana ushahidi wa kutosha juu ya Hilo unalinakukabili na lenye kuinua laumu zenye ukweli 100%.
MAMA SAMIA, unawezaje KUNYAMAZA huku nyumba inawaka moto na my Moto wenyewe aliyeuwasha ni wewe?
Sio wewe uliyewafuata Waarabu na DP WORLD yao na mkaingia mkataba wa ovyo wenye KULETA hasara ya KUDUMU kwa TAIFA LETU?
HAPA TULIPO TUMEFIKA KWA SABABU YAKO,MSINYAMAZE KABISA!
Sijui Kama watu wako wanakula tathimini sahihi na ya kweli juu ya Hali HALISI iliyopo.Unataka uangukiwe na paa la nyumba inayoteketea kwa Moto uliouwasha wewe ndio ujue Moto inawaka kweli?
WAISLAMU WAMEKUJA JUU wao Wanaona mwislamu mwenzao anaonewa hata kama umekosea na kufanya madudu kwenye mkataba huu bado wao hawalioni Hilo.
Umetugawa wewe MHESHIWA RAIS SAMIA.Ndio Sasa Kuna Utamganyika na Uzanzibar wa wazi wazi kabisa,
Udini nao unaendelea kushika Kasi (UKRISTO NA UISLAMU)
Huoni umezalisha tatizo MBAYA na KUBWA kwa ajili ya MKATABA HUU WA OVYO NA DP WORLD?
Chode chode MAMA,
Usinyamaze!!!
Amka mwanke amka liokoe TAIFA kwenye kuingia au kudumbukia kwenye madhara makubwa kwa ajili ya hili suala la Bandari ZETU.
Usipuuze,
Amka jitie nguvu fanya maamuzi magumu ya kuachana .na MKATBA huu mbovu wenye kuliletea TAIFA hasara milele.
Wanadamu tunakosea, hata wewe ni mwanadamu. Kubali suala hili limekaa bibaya,ukisimamisha uwekezaji huu ama kuvunja mkataba huu,HESHIMA YAKO YAWEZA ONGEZEKA HATA KAMA ULIKOSEA.
Mimi ni Mkristo nimezaliwa katika ya ndugu wengi wa kiislamu na wakikristo.
Tumezoea kucheka pamoja kila pamoja hata Kama tunatofautiana Imani zetu.
Kama jambo hili linatuhombanisha na kutugawa UWEKEZAJI huo utafanyika vipi endapo SISI WATANZANIA tumefarakana pengine,Jambo hili kutuvuriga hata mpaka kuweza kuingia kwenye machafu kwa sababu ya DP WORLD ya DUBAI na mkataba huu usiofaa?
Heka hapa Ni kuachana na MKATABA HUU MBOVU TUWE NA WAKATI WA TULIVU maana bado TANZANIA hatujashindwa kuendesha au kusimamia BANDARI ZETU.
MAMA SAMIA,
RAIS WETU,
MWANAMKE WA KWANZA KUWA RAIS.
Unaweza kukomesha malumbano kwa lukata mzizi wa fitina kwa hili la BANDARI ZETU kwa kusema LIWALO NA LIWE MKATABA UVUNJWE, USINYAMAZE KIPINDI HIKI TUNAKUHITAJI UFANYE MAAMUZI.
Bahari inazidi kuchafuka simama sema neno itakuwa shwari,wengi hawautaki mkataba huu ndivyo ulivyo Sasa.
AMUA SASA.
SEMA SASA.
ITAKUWA AMANI KWA NCHI YETU.