Kambi ya Fisi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,479
- 21,955
ASKOFU Mkuu wa Makanisa ya Ufunuo, Paul Bendera ameongoza jopo la Maaskofu 6 na kutoa tamko Sakata la Bandari.
Askofu Charles Fortunatus aliekuwa miongoni mwa Maaskofu hao amewashutumu viongozi wa dhehebu la Kikatoliki kwakile alichodai kuwa wao ndio wamekuwa chanzo cha vurugu kwenye maeneo mengi duniani kutokana na wao kuingilia masuala ya Siasa.
"...MUNGU aliziamini sana dini, Lakini hizi hizi dini zimekuwa wa kwanza kuleta mvurugo katika Dunia hii.
Bila kuogopa kwa sababu tupo kwenye tamko la Kiaskofu, Sisi Wakristo na Waislamu tunaelewana lakini kwenye Wakristo tumegawanyika madhehebu mengi lakini ukisikia Nchi nyingi zilizovurugika Duniani dini kuu Mama ambayo ni Katoliki imekuwa ya kwanza kuanzisha vurugu Duniani kila mahali.
Mimi niiombe Serikali waishauri Katholiki wasijiingize kwenye masuala ya Siasa, washikilie kwenye upande mmoja tu wa Dini."
Askofu Charles Fortunatus