Prof Tibaijuka: Nawashukuru TEC kwa kusimama Imara propaganda za Udini zisitufarakanishe, Hakuna Kiongozi aliyeenda na Shehe au Askofu kusaini Dubai!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,035
142,149
Waziri na Mbunge mstaafu mh Anna Tibaijuka amewashukuru Maaskofu wa Kanisa Katoliki kwa kusimama Imara kwenye mkataba wa Bandari

Prof Tibaijuka amesema hakuna Udini Kwenye mkataba wa Bandari kwani Viongozi hawakuambatana na Mashehe wala Maaskofu walipoenda Dubai kutia Saini

Amesema Anna kwenye ukurasa wake wa twitter

Kwako FaizaFoxy 😂🔥
 
FaizaFoxy ijasi bojo,
 
hako kamama kanyamaze . katoe dharau za kihaya na umach know mwingi. ndomaana mkoa wake unaongoza kwa umaskini
 
Amesema Nini kuhusu kashfa yake Ile, Kuna shekhe au askofu alikuwa nae kwenye ule mgao?
Hawapendi kuhojiwa wala kukumbushwa chochote kwenye ufisadi waliofanya. Huenda hata hili wangekuwepo kama kule kwingine wwsinhepaza shingo hivi.
 
Back
Top Bottom