Mwamba wa siasa za Tanzania , Bilionea Freeman Mbowe yuko Mkoani Shinyanga kwa ajili ya mikutano ya Chama chake , inayoitwa 255 katiba mpya , Okoa Bandari zetu.
Leo ameingia Kishapu na kuhoji...
Pengine huu ni mwanzo mpya wa mageuzi ya Idara ya Usalama wa Taifa. Mabadiliko haya ya uongozi yana maana kubwa sana kwa Idara yetu, ni matumaini yangu kwamba mabadiliko yatakwenda mbali zaidi...
Wakuu ni hivi hii halmashauri ilichukua shule ya Mtwango secondary kinguvu na kuahidi kuwa itawalipa watumishi wa awali hivyo shule ikawa mali ya serikali rasmi.
Sasa ni takribani ni miaka miwili...
Tanzania kama yalivyo mataifa mengine duniani, ni jamii ya mfumo wa Kibepari. Mfumo ambao, endapo unakomaa miongoni mwa watu wake, basi maslahi ya mtu mmoja huwa na nguvu dhidi ya maslahi ya watu...
Mkutano wa 12 wa Bunge unaoanza kesho unatarajia kujadili miswada miwili na maazimio matatu.
Ratiba ya Bunge iliyotolewa leo Agosti 28, 2023 inaeleza kuwa mkutano huo utafanyika kwa muda wa wiki...
Akizungumza leo amenukuliwa na vyombo vya Habari akidai kwamba , Ni vema Katiba ya Tanzania ikawa kama Katiba ya Marekani, ambayo inaweza kufanyiwa Marekebisho bila hata kuanza upya mchakato wa...
RC ambaye ni Mwenyekiti wa vikao vya RCC ameshindwa kuyaona yaliyokuwa yanaendelea mkoani Mbeya ,mpaka Rais aliseme hii inaonesha utendaji wake unatia mashaka.
Baada ya Rais kujua juu ya ufisadi...
Habari wanajukwa,
Bila kuwapoteza muda, acha niende kwenye mada moja kwa moja.
Kwanza moja kwa moja naomba kila atakayesoma hapa atambue kuwa mimi ni wa Kijani na njano.
Sasa leo acha niwape...
Tayari Bunge limepitisha bajeti ya Sh9 bilioni kwa ajili ya kuanza utekelezaji wa mchakato wa Katiba mpya. Hata hivyo, haijulikani ni mchakato huo utafikia tamati na nchi kupata Katiba mpya...
Uongozi wa Shule ya Msingi Mahenge B, Iliyopo Wilaya Ya Ulanga Inapenda Kutoa Shukruni kwa Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Morogoro Mhe. Norah Waziri Mzeru kwa Kuwa Mmoja wa Viongozi ambao...
Naona kila anapopangiwa hatulii. Atapambana kutafuta fursa na kujaribu kuconnect na watanzania wanaovutiwa. Nimeona matangazo yake huko Cuba anajitahidi.
Sijajua matokeo ya ubunifu wake lakini...
Rais Samia mimi Sifi Leo nakupongeza sana kwa uamuzi wako wa Jana ila nimeumia kwanini mkuu wa mkoa kabakia maana naye yupo kwenye mnyororo huo huo.
Rais Samia mimi nilikuelewa yakuwa kuna pesa...
Watanzania anzeni kurudisha kadi za CCM kwa Ma DC haraka iwezekanavyo
Kufanya hivyo, kutamfanya Rais Samia kuachia Ikulu kwa sababu, kati ya vitu ambavyo hawezi kuvumilia kabisa kufanya kazi na...
Kwa jinsi bara la Afrika linavyo endeshwa hasa kusini mwa jangwa la sahara.
Huwa naumia sana nikiona kwa jinsi tunajirudisha tena utumwani na kwenye ukoloni.
Nchi yangu Tanzania kwa nini...
Huo ndio ukweli halisi na kama hamuamini ndugu zangu au members wa humu JF.
Msikilizeni kwenye hiyo clip alichokiingea live.
Nimeshangaa sana kuona Media streaming zote nchini kwamba hawajawahi...
Tofauti na watu wengine Raisi Samia akiongea lolote kuhusu mkataba wa DP world litamfikia mkuu wa wa Dubai. Sasa tatizo ni nini?
1. Kwanza akisema mazuri tu itakuwa vigumu kwenda kwao tena na...
Mzee Kishimba yupo zake kwenye mkutano wa Lissu, kasimama na wana anakula zake Muhindi. Safi sana Mzee anamiliki Dar Free market, zile supermarket za Imalaseko, utitiri wa nyumba za kupangisha...
Hakika shetani ana trick za ajabu sana anapotaka kutenda au anapotenda uovu wake kwa kuwatumia watu waovu hususani viongozi wenye dhamana kubwa za kuongoza nchi na wananchi wa nchi yetu..
Hebu...
Waziri wa Maji, Mheshimiwa Jumaa Aweso, amefanya kikao kazi na watumishi wa Chuo cha Maji pamoja na kukagua maendeleo ya Ujenzi wa Miundombinu ambayo mchakato aliuanzisha na Rais Samia kuridhia...