2030 president
Member
- Dec 15, 2025
- 35
- 56
Kwa utulivu wake wa namna ya kuyaunganisha makundi mbalimbali ndiye Rais wa Tanzania 2030-2040
KAMA WEWE SIYO MMOJA WAPO WA RAIA FEKI BASI UNA VISIONI NDOGO SANA KIAKILI ...UPO KWENYE DARAJA LA KUITWA ANITHI WA AKILI... Ni kweli kama nilivyo wahi kusema kuwa genge la Raia feki linaloshika nchi kwa sasa ni rahisi kumtamani Mwinyi awe Rais kwa vigezo vifuatavyo ..Kwa utulivu wake wa namna ya kuyaunganisha makundi mbalimbali ndiye Rais wa Tanzania 2030-2040
Mnawaza Uraisi tu.
No. Ni fala sana.Ccm wote ni takataka..Majaliwa K. Majaliwa a new Prezida
Mwinyi ni presidential material, rekodi yake safi pamoja na uadilifu vinambeba.Kwa utulivu wake wa namna ya kuyaunganisha makundi mbalimbali ndiye Rais wa Tanzania 2030-2040
Allah afanye wepesi,asipoutaka yeye basi Dr.mwigulu ashike nafasi hiyo!...Kwa utulivu wake wa namna ya kuyaunganisha makundi mbalimbali ndiye Rais wa Tanzania 2030-2040
huyo atakua makamu wa Rais wa Dr. Emmanuel John Nchimbi gentleman katika kipindi hicho, hakuna haja ya kubabaika wala kujipotezea muda kinyume na hapo.🐒Kwa utulivu wake wa namna ya kuyaunganisha makundi mbalimbali ndiye Rais wa Tanzania 2030-2040
Fazafaka wa Kizimkazi amekuwa long-term liability kwa wanawake wote wa nchi hii na kwa Wazanzibari wenzake wote. Urais wa JMT watausikia bombani kwa miongo mingi sana!Mwinyi ni presidential material, rekodi yake safi pamoja na uadilifu vinambeba.
Changamoto yake ni kuwa mtangulizi ni mzanzibari, kuwashawishi wapigakura wa bara kumchagua mzanzibari back to back, tena katikati ya minong'ono ya uzanzibari na utanganyika itakuwa ni mtihani.
Hata hivyo akigombea, naliona jina lake likiingia tatu bora ya NEC. Kama hali ikibaki hivi hivi ilivyo hii ngoma inaweza kuwa ya Dr. Nchimbi au Kasim Majaliwa.
RC HAWATAKUBALI SAFARI HII AJE MUISLAMU TENA.Kwa utulivu wake wa namna ya kuyaunganisha makundi mbalimbali ndiye Rais wa Tanzania 2030-2040