Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hayati Shabaan Robert aliandika 'Kusadikika' na 'Kufikirika' ili kuisema Serikali ya Kikoloni ya Waingereza. Wakoloni hawakumkamata, badala yake aliendelea kufanya kazi katika Serikali ya...
5 Reactions
18 Replies
2K Views
Nimefuatilia mikutano ya CHADEMA ya hivi karibuni na hata huko nyuma na kuona kuwa imekuwa ni ya kelimisha zaidi na siyo kuhamasisha. Tatizo lake huishia hapo kwenye mikutano kwa kiasi kikubwa kwa...
2 Reactions
2 Replies
614 Views
Uzi kutoka X, kina Lucas mwashambwa & company JF muisome na kujitambua "Inawezekana ni jambo ambalo wengi hawajui kuwa linaendelea ndani ya CCM ,na sishangai kwa kuwa watanzania tuna tabia ya...
3 Reactions
49 Replies
6K Views
Maendeleo makubwa ya kisekta yaliyoshamiri kila kona ya nchi, ni kwasababu ya Amani na Utulivu uliopo. Mipaka iko salama chini ya vyombo imara vya ulinzi na usalama. Uhuru wa maoni, habari, haki...
2 Reactions
6 Replies
683 Views
Ulimwenguni ni mahali pa matatizo lakini yatufaa kujipa moyo na kuamini ktk Mungu Mwenyezi. Eti hapa kwetu Tanzania mtu anayehubiri ukombozi wa fikra ktk nyanja za Umaskini, ukosefu wa huduma...
11 Reactions
31 Replies
1K Views
RAIS SAMIA AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA JENGO LA HALMASHAURI YA MTAMA MKOANI LINDI. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt, Samia Suluhu Hassan leo September 18 ameendelea na Ziara...
0 Reactions
2 Replies
606 Views
MBUNGE NGASSA: " TUNAENDELEA KUBORESHA HUDUMA ZA AFYA, KULINDA USTAWI WA TAIFA" "... Uimara wa Taifa unatokana na uimara wa afya za Wananchi. Serikali yetu imeendelea kuwekeza kwa kiwango kikubwa...
0 Reactions
0 Replies
535 Views
Pengine ni muda sahihi kuongeza nguvu au kufanya mabadiliko kidogo ndani ya CCM hasa kwenye umoja wa Vijana, Umoja wa vijana waingie Mtaani, wajenge hoja, wajibu hoja za vyama pinzani/rafiki...
2 Reactions
6 Replies
768 Views
Mmoja ya wananchi aliyechaguliwa kutoa neno la shukrani kwa Rais Samia, baada ya Rais kukabidhi boti za uvuvi, ikiwemo boti za mwani mkoani wa Lindi leo tarehe 19/9/2023.
0 Reactions
1 Replies
660 Views
Taarifa ikufikie popote ulipo , kwamba Maisha ya ccm huko Mbozi yamefika kikomo , hii ni baada ya Wananchi wote kukubaliana kwamba uwezo wa chama hicho kuleta maendeleo umekwisha. Akihutubia...
11 Reactions
33 Replies
3K Views
Karibuni katika mkutano mkubwa wa Rais Samia hapa Tandahimba Picha inaongea mengi Sana hii
8 Reactions
27 Replies
4K Views
Makamu mwenyekiti wa Chadema Mh Tundu Lisu huyasoma kwanza Mazingira kabla hajayaendea na Hii hufanya mikutano yake iwe na uhalisia tofauti na mikutano ya ACT wazalendo au CUF. Swaga za Lisu...
10 Reactions
18 Replies
1K Views
18 September 2023 Rabat, Morocco https://m.youtube.com/watch?v=nxCJ2dl-PN8 Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, amekutana na kufanya mazungumzo na mwenyeji...
0 Reactions
1 Replies
843 Views
Nilikaa sehemu hivi hapa Morogoro sehemu inaitwa Amadia nikisubiri passport size pictures nilizokua nimepiga moja ya studio maeneo haya. Pembeni alikua amekaa Mzungu mzee wa makamo 70 years +...
3 Reactions
5 Replies
1K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiweka Jiwe la Msingi Mradi wa Bandari ya Uvuvi - Kilwa Masoko leo tarehe 19 Septemba, 2023...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau, amani iwe kwenu. Tanzania tumepata kiongozi mchapa kazi, Mpenzi wa Mungu, mwenye maamuzi, Mzalendo, msema kweli na mkali. Haya yamejidhihiri wakati wa ziara ya Rais wa Jamhuri ya Muungano...
19 Reactions
96 Replies
7K Views
Leo 18/9/2023 Rais Samia anafanya mkutano Ruangwa Lindi, jimboni kwa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa. Majaliwa kila akiongea leo kidogo tu piga makofi mengi kwa Rais, Mh Rais umeleta maji piga makofi...
11 Reactions
37 Replies
5K Views
Nimenukuu maneno ya rais Mstaafu kutoka kwenye kitabu chake ambapo alikua akizungumzia suala la yeye kunteua Lyatonga Mrema kama Naibu Waziri Mkuu. Mwinyi amekiri bayana kua cheo hicho hakipo...
10 Reactions
69 Replies
6K Views
Tunaona Rais akifanya ziara kupitia mikutano ya ndani zaidi kuliko mikutano ya hadhara! Watu wanakusanywa kwenye Mahema toka sehemu za mbali na eneo husika sababu Idadi haitoshi kuwekwa maeneo ya...
17 Reactions
56 Replies
6K Views
Nimewahi kuandika hapo kabla kwamba Serikali inatukosea sana kwa kudahili ma failures wa D 3 kwenye fani nyeti kama ya Afya. Mtu aliyefeli mtihani mdogo kabisa wa Kidato cha 4 ataweza vipi...
13 Reactions
113 Replies
11K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…