ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 43,125
- 49,844
Nimewahi kuandika hapo kabla kwamba Serikali inatukosea sana kwa kudahili ma failures wa D 3 kwenye fani nyeti kama ya Afya.
Mtu aliyefeli mtihani mdogo kabisa wa Kidato cha 4 ataweza vipi kufaulu mtihani kigumu ya masoko ya Afya? Unadhani kukariri na kuelewa aina za dawa na matumizi yake kwa kila aina ya ugonjwa ni jambo la kitoto?
Mtu kama huyo anaweza vipi kuwa na umakini wa mambo ya oparesheni? Mbaya zaidi wengine wanakimbia wagonjwa walio na majeraha makubwa au wenye ugonjwa mkubwa.
Serikali mnatukosea sana. Afya sio sehemu ya kupatia ajira sasa hivi imekuwa kama ualimu zamani kwamba umekosa hadi Afya? Kisa kuna pass mark ndogo na urahisi wa kupata Ajira.
Ona Sasa nusu ya Madaktari wamefeli mtihani hata waliofaulu ni makalai matupu. Serikali chukueni hatua sasa hamjachelewa.
Kwa ninayoyashuhudia Mahospitalini na hata vyuoni kwao, taarifa ya nusu ya wanafunzi wa Udaktari kufeli mitihani yao ya usajili sijashangaa