Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kama kwa siku kadhaa hatuna Msemaji wa Serikali baada ya Gerson Msigwa kupelekwa Wizarani , na hakuna kilichobadilika , basi ni dhahiri kwamba Cheo hiki hakina haja ya kuwepo ili kupunguza...
6 Reactions
15 Replies
3K Views
Tatizo la mgao wa umeme nchini; Serikali iwajibike Utangulizi Nchi nzima sasa inakabiliwa na tatizo la mgao wa umeme. Taarifa ya shirika la umeme nchini TANESCO imeeleza kuwa hali hii inatokana...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
MBUNGE TAUHIDA GALLOS ATEMBELEA WANAFUNZI KIDATO CHA NNE WANAOJIANDAA NA MTIHANI WA TAIFA Mbunge wa Viti Maalum (Wanawake) Zanzibar, Mhe. Tauhida Cassian Gallos ameambatana na kuongozana na...
1 Reactions
6 Replies
727 Views
Mheshimiwa Rais wa JMT, Pamoja kuwa upo busy na majukumu yako lakini ikikupendeza basi naomba usome huu ujumbe wangu pasipo kuchoka, na kama kuna wasaidizi wako basi itakuwa ni vema endapo...
0 Reactions
25 Replies
2K Views
Ndugu zangu tunapozungumzia Mataifa makubwa tunawalenga Marekani, Ujerumani, Wiingereza, Japan, China, Korea nakadhalika. Haya ni mataifa makubwa yalifanikiwa tangu zamani na wakati mwingine...
3 Reactions
12 Replies
1K Views
Wakati Sukuma gang na washirika wao Chadema Wakifanya uzushi kwenye bandari, tunawakumbusha tuu kwamba awalilitia hasara sana Taifa hili Kwa sera mbovu na mbaya zilizoharibu uchumi wa Nchi...
1 Reactions
35 Replies
3K Views
Tumewekewa ndimu na kachumbari njiani ili tusiendelee kuhoji mkataba mbovu baina ya JMT na Dubai Port World. Pamoja na kwamba serikali kupitia mamlaka na mihimili yake wamefunga ndoa ya kufilisi...
10 Reactions
52 Replies
4K Views
Historia ya Serikali ya nchi hii ina Mengi na Mengi hayo hatuyajui. Kina Hanspope, Maganga, Tamimu na wengine wengi walipanga kumuua na kuipundua Serikali ya Mwl Nyerere. Inadaiwa dereva teksi...
22 Reactions
236 Replies
22K Views
Niweke bayana kabisa, kitaaluma mimi ni mhandisi, ntayoyaandika hapa ni kutokana na uzoefu wangu kwenye kada hii. Naamini Mheshimiwa Biteko utapita hapa na utapata chochote kitu. Inawezekana...
5 Reactions
16 Replies
4K Views
Pale TANESCO kuna tatizo, wafanyakazi wameshajikatia tamaa sababu wanaona Ofisi ya Umma imekuwa Ofisi ya Upigaji kwa Viongozi wa juu. Maharage alipo pelekwa pale TANESCO, alianzisha mfumo wake wa...
13 Reactions
32 Replies
4K Views
25 September 2023 Dar es Salaam, Tanzania Picha. Mh. Rais Samia Hassan akipokea hati za utambulisho kutoka kwa Mh balozi Fatou Herrerimana anayeiwakilisha Rwanda Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
0 Reactions
0 Replies
671 Views
Kuna Wakati mambo ya Nchi hii yanashangaza sana ! Pamoja na kwamba sifahamu vigezo vya Mtu kuteuliwa kuwa msemaji wa serikali , Lakini natambua kwamba kuwa Msemaji wa serikali ni dhamana kubwa...
7 Reactions
29 Replies
6K Views
Msemaji wa Serikali ya Tanzania, Gerson Msigwa amesema kwamba ni vema Wadau wakavuta subira badala ya kutaka kila aliyetajwa kwenye ripoti ya CAG achukuliwe hatua, yapo maeneo ambayo ni lazima...
13 Reactions
126 Replies
9K Views
Ni kipindi chake ndo machinga(wanyonge) walikuwa wengi na wanaongezeka daily na hakuna mpango mkakati wowote wa kuwapunguza kwa kupanua sector binafsi mana serikali ilikataa kabisa kuajiri kisa...
2 Reactions
36 Replies
2K Views
Serikali kupitia Ofisi ya Rais -TAMISEMI jana tar 25/9/2023 imetoa ufafanuzi wa taarifa zilizokuwa zinasambaa kwenye mitandao ya kijamii zikimuhusisha mwanafunzi Sifika Daniel Ruben aliyesoma...
2 Reactions
16 Replies
3K Views
Waziri wa maji na umwagiliaji Mhe.Makame Mbarawa amechukua fomu ya kuwania kuteuliwa kugombea Urais Zanzibar kwa tiketi ya CCM katika ofisi kuu ya CCM Zanzibar. Career Highlights Professor...
6 Reactions
54 Replies
9K Views
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Mashaka Biteko amelipongeza Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kwa usimamizi makini na hatua kubwa iliyofikiwa kwenye ujenzi wa Mradi wa Bwawa la...
2 Reactions
26 Replies
3K Views
Kwa Lugha ya picha ni kama watu mko safarini na ghafla gari mlilopanda likwame matopeni. Haiyumkiniki nyie mlio garini wenyewe ndiyo muwe na uwezo wa kujikwamua toka matopeni mlipokwama. Kama...
0 Reactions
0 Replies
241 Views
Katika miaka ya karibuni ukianzia utawala wa Magufuli hadi sasa, tukianza kuorodhesha kuna Watanzania wengi sana wameteuliwa kuwa Mabalozi na wapo wengi tu ambao wameteuliwa na hawajawahi hata...
2 Reactions
17 Replies
1K Views
Jana Jumatatu Septemba 25, 2023 Mbunge wa Jimbo la Muhambwe mkoani Kigoma, Dkt. Florence George Samizi ameambatana na Mkuu wa Wilaya ya Kibondo, Col. Aggrey Magwaza pamoja Mkurugenzi wa Benki ya...
0 Reactions
0 Replies
658 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…