Kufilisika Kwa mabenki 15 ni Uthibitisho Tosha wa Kushindwa Kwa Sera za Uchumi awamu ya 5

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,076
49,775
Wakati Sukuma gang na washirika wao Chadema Wakifanya uzushi kwenye bandari, tunawakumbusha tuu kwamba awalilitia hasara sana Taifa hili Kwa sera mbovu na mbaya zilizoharibu uchumi wa Nchi.

Takribani Benki 15 zilifilisika na kufungasha vilago au kuunganishwa Ili ziweze ku survive kwenye soko.

Hilo la banki ni Moja tuu ila mamia ya miradi yalikwama na kusuasua huku real sector iliporomoka kabisa.

Kesi mbalimbali zilizofunguliwa kuishtaki Serikali ni matokeo ya ukurupukaji na mihemko ya kipuuzi,Sasa Taifa linagharamia ujinga wa watu wachache.

My Take
Rais Samia ndio mkombozi wa Uchumi wa Tanzania Kwa Sasa.

View: https://twitter.com/thebizwiztz/status/1688909845758681088?t=ZhIOZxoNpdixTomvNPUINA&s=19
---
In Tanzania, at least 15 banks have closed in the previous five years as financial sector consolidation picks up speed. According to the Bank of Tanzania (BoT), the number of banks peaked at 59 in 2017 before falling to 44 in 2022 as a result of the acquisition of underperforming financial institutions.

Although the 1990s saw the liberalization of the banking sector, which encouraged expansion and competition among lenders, recent economic changes have presented certain banks with capital issues. Despite the presence of a sizable number of rival lenders, a small number of banks monopolize the majority of the industry.

For instance, the top six banks, which had a larger network of branches, agency banking, and Internet financial services, dominated the banking industry deposits. According to the central bank, which regularly monitors the situation to identify and reduce any potential systemic risks, these banks accounted for 65.4% of all deposits.

The number of financial institutions, according to bankers and economists, may be good for competition, but Tanzania needs stronger financial institutions that can match the market's demands. “Consolidation in the banking industry is actually a very good idea to form strong and well-capitalized institutions,” said Tanzania Commercial Bank (TCB) managing director Sabasaba Moshingi.

Following its acquisition of the assets and liabilities of the TIB Corporate Bank, TCB, then known as TPB Bank Plc, entered the exclusive club of first-tier banks in 2020 when its assets surpassed the Sh1 trillion threshold. The bank had already profited from the merger in the past when the central bank combined the assets of Tanzania Women's Bank and Twiga Bancorp into the TPB in 2018.

“You know, normally a bank injects a small capital and uses depositors’ money for lending, and merging of these banks gives them more muscles to do the business,” Mr. Moshingi said.

Midway through 2020, Mwanga Community Bank (MCBL), EFC Microfinance Bank, and Hakika Microfinance Bank (HK MFB) amalgamated to form Mwanga Hakika Bank, which advanced to become a commercial bank.

The BoT placed China Commercial Bank Ltd. under statutory administration in the same year, and in March 2021, it transferred all of its obligations and assets to NMB Bank. The Commercial Bank of Africa (Tanzania) Limited (CBA) and NIC Bank Tanzania Limited (NIC) merged in 2020 to form NCBA Bank Tanzania Limited, a new financial institution.

The two banks' assets and liabilities were combined into a single entity as a result of the merger, creating a Tier-2 institution with assets worth Sh508 billion at the time.

The BoT declared in May of this year that one alternative for the suspended microfinance company was to transfer the assets and liabilities of Yetu Microfinance Bank Plc, which was under statutory administration, to NMB Bank Plc. The BoT placed Yetu Microfinance Bank under statutory administration in December 2022 as a result of the company's failure to adhere to regulatory standards for liquidity and capital adequacy.

Source: Tanzania witnesses 15 bank closures amid sector consolidation
 
Uongo mtupu taja na zinazofilisika sasa halafu utuambie na Dola kufika 2400 uchumi gani huo bi shungi kaimarisha?
 
Waambie Serikali kwamba ni waongo Kwa kutaja hizo banks hapo
Wamo humu wanazurura na sambusa midomoni asubuhi hii. Hatahivyo sababu zao sio sababu zako hizo potofu, na hakuna hata chanzo kimoja Duniani kinachodai Uchumi wa Tanzania uliporomoka wakati wowote ule kati ya 2017 mpaka hapa kwenye Covid ambayo SSH ndie aliyekuwa Madarakani. Viashiria vyote, nasema vyote, havijawahi kutamka kuwa Uchumi Uliporomoka wakati wa Hayati Raisi. Itoshe, kati ya marais watatu, Kikwete Magufuli na Samia, ni wawili tu wa awali ndio wenye rekodi nzuri ya ukuaji wa Uchumi. Fact!
 
Wamo humu wanazurura na sambusa midomoni asubuhi hii. Hatahivyo sababu zao sio sababu zako hizo potofu, na hakuna hata chanzo kimoja Duniani kinachodai Uchumi wa Tanzania uliporomoka wakati wowote ule kati ya 2017 mpaka hapa kwenye Covid ambayo SSH ndie aliyekuwa Madarakani. Viashiria vyote, nasema vyote, havijawahi kutamka kuwa Uchumi Uliporomoka wakati wa Hayati Raisi. Itoshe, kati ya marais watatu, Kikwete Magufuli na Samia, ni wawili tu wa awali ndio wenye rekodi nzuri ya ukuaji wa Uchumi. Fact!
Unaikumbuka sheria ya takwimu? 🤣🤣
 
Ninakupa hongera kwa ujasiri huu wa kuendelea kuleta habari za kipumbavu dhidi ya Watanzania wanaojua tofati zilizokuwepo na zilizopo na zinazoendelea kuhusu uchumi
 
Ninakupa hongera kwa ujasiri huu wa kuendelea kuleta habari za kipumbavu dhidi ya Watanzania wanaojua tofati zilizokuwepo na zilizopo na zinazoendelea kuhusu uchumi
Tofauti zipi na hizi nazokupa? Umesahau vyuma kukaza? 😂😂😂
 
Back
Top Bottom