Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mbunge wa zamani wa Mbeya Mjini, Mfanyabiashara wa kimataifa, Mwekezaji na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema , Bilionea Joseph Mbilinyi , leo amefika kwenye kanisa la KKAM , Parish ya Isanga na...
6 Reactions
32 Replies
3K Views
Katibu mkuu wa Chadema mh John Mnyika amelalamikia kuwa si Haki kumteua Mwenyekiti wa CCM kuwa Mkurugenzi wa Halmashauri ambaye kimsingi Ndiye Msimamizi wa Uchaguzi Mnyika ameongea maneno makali...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Rais Magufuli anazindua mradi mkubwa wa maji huko Nansio Ukerewe.mradi huu umegharimu kiasi cha shilingi bilioni 10.9 na unatarajiwa kuzalisha lita 8,647,00 ambayo ni maradufu ya mahitaji ya eneo...
6 Reactions
94 Replies
8K Views
Sikia tu kitu kinaitwa balozi tena nchi yetu sehemu mbalimbali zilipo. Wapo tu kusubiri wageni sio wewe umetoka zako tz ukazani wata kusaidia. Labda wapige kelele ndugu zako waliopo nje na ndani...
1 Reactions
3 Replies
371 Views
Katika kusherehekea sikukuu ya Uzinduzi wa Mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa iliyofanyika Ikulu ya Magogoni , huko Mjini Mbeya, Mbunge wa zamani wa Jimbo hilo, Mwekezaji na Mfanyabiashara wa...
20 Reactions
38 Replies
3K Views
Tumeongozwa na Hayati Nyerere, Mzee Mwinyi, Hayati Mkapa, mzee Kikwete na Hayati Magufuli lakini Rejea na Ufananisho wa Kazi zote za Maendeleo huelekezwa kwa Shujaa Magufuli pekee Ina maana...
7 Reactions
45 Replies
2K Views
Iangalie hii video wewe mwenyewe kisha jitafakari.
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Ni kilio, baada ya NHIF kufuta kifurushi cha Toto Afya na kulazimisha mzazi kukata bima ya afya pamoja na Watoto wao na gharama kupanda kutoka 50,400 mpaka 120,000 kwa mtoto mmoja.
12 Reactions
178 Replies
26K Views
Huu sasa ndio muda muafaka Wizara ya Nishati kumulikwa kwa kuundwa Tume Huru ya Kibunge kuchunguza matatizo yaliyopo. Waziri aliyehamishwa wakati anaingia wizara hiyo alitoa kila aina ya sababu...
8 Reactions
23 Replies
2K Views
Mtu sahihi anayeweza kuiongoza nchi hii kwa upande wa CCM ni kassimu Majaliwa waziri mkuu ,. Ni mtu pekee anayeweza kwenda kwa vitendo na kasi ya maendeleo na kuweza kuwasimamia watendaji...
20 Reactions
146 Replies
9K Views
Ukistaajabu ya ukosefu wa dola za marekani kwenye bank na bureau Tanzania utayaona ya ukataji wa umeme maduka ya underground kariakoo. Kuna maeneo ya kukata umeme na kuna maeneo ya kuyaacha huru...
3 Reactions
6 Replies
2K Views
Kipindi huyu Mwalimu anapewa vibali na Katibu Mkuu ofisi ya Rais ofisi yako haikuweka Tangazo kuupa umma taarifa. Hili tangazo umelitoa kwa msukumo wa kisiasa ukiamini unawafurahisha wakubwa...
7 Reactions
16 Replies
2K Views
Kuna watu wanadhani mgao wa umeme umesababishwa na baadhi ya Viongozi wanaobebwa tu Niseme tu Viongozi wengi wanaobebwa ama na Wazazi Wao Wastaafu au magodifaza wao lakini kwenye Siasa hiyo ni...
1 Reactions
3 Replies
459 Views
Bila ya kuzungukazunguka, kuna mawaziri, kama vile January, Ridhiwani na Nape, wapo kwenye nafasi walizopo, siyo kwa sababu ya uwezo wa ku-deliver results, bali kwa sababu tu ya majina ya wazazi...
8 Reactions
28 Replies
2K Views
Ni muda mrefu sasa hatuoni nyuzi mfuatano za ndugu yetu, mzalendo na mnyenyekevu; bwana Lukas Mwashambwa. Ajitokeze aseme wapi alipo na kwa nini amepoa hivyo. Ama kuna mtu anayefahamu juu ya...
0 Reactions
25 Replies
2K Views
Spika Tulia amesema Ripoti ya CAG itajadiliwa kwenye Mkutano wa mwezi November 2023 Huyo ni baada ya Kamati za Bunge kuwa zimeshakamilisha wajibu wake wa kisheria. ========== Spika wa Bunge...
8 Reactions
263 Replies
15K Views
Ni upungufu wa maji? Ni ongezeko la mahitaji? Ni uchakavu wa miondombinu? Ni upungufu wa rasilimali watu? Au haijulikani hasa chanzo cha tatizo ? Wizara husika, TANESCO na idara za maji...
2 Reactions
6 Replies
976 Views
Subject: Kukabiliana na Tatizo la Kutatizwa kwa Umeme Arusha - Wito wa Uongozi na Ushirikiano 🔌🏙️ #ArushaCrisisYaUmeme 🏙️🔌 Wapendwa Wananchi wa Arusha, Tunaingia katika hali inayohitaji umakini...
4 Reactions
11 Replies
2K Views
Shujaa Magufuli alipofufua Wazo la Ujenzi wa bwawa la Nyerere ili watanzania wapate umeme wa bei nafuu wengi walimsimanga Hata Spika mstaafu mama Makinda alisema wakati anaingia bungeni 1975...
26 Reactions
113 Replies
7K Views
Godbless Lema yuko mubashara Star tv kipindi The Big Agenda Lema anasema miradi yote ya kimkakati iliyoasisiwa na hayati Magufuli haina tija kwa sasa kwa sababu Ilikuwa ufanyike mwaka 1970 Lema...
12 Reactions
343 Replies
16K Views
Back
Top Bottom