Watu wanaoweza Kumsaidia Rais Samia ni hawa wafia chama - CCM kindakindaki

Dr Alfonsi

Member
Jun 16, 2023
34
70
Mheshimiwa Rais wa JMT,

Pamoja kuwa upo busy na majukumu yako lakini ikikupendeza basi naomba usome huu ujumbe wangu pasipo kuchoka, na kama kuna wasaidizi wako basi itakuwa ni vema endapo watakufikishia ujumbe huu.

Taifa lolote lile duniani ili lifanikiwe linahitaji kuwa na watu ambao ni committed na wenye nia na ari ya kutaka kuitumikia au kuijenga nchi yao, huku wakitanguliza uzalendo kwa nchi yao na serikali yao.

Mwezi January, 2022 walijitokeza watanzania wasio pungua 70 kuomba ridhaa ya Chama cha Mapinduzi (CCM) ili waweze kupitishwa na chama hicho kugombea nafasi ya SPIKA wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Watu hao pamoja na kuwa na UJASIRI wa kutaka kuongoza mhimili wa dola (Bunge la nchi hii), naamini wazi kabisa wana uwezo wa kulitumia taifa letu kwa weledi na kuwaletea manufaa watanzania wenzao na kulinda maslahi mapana ya nchi hii.

Mh. Rais, kama hukupata fursa ya kuona majina basi nitakuwekea hapo chini. Lakini ninachopenda kukumbusha ni kwamba hawa ni wana CCM kindakindaki na wanapenda kuitumikia nchi yao kwa maslahi mapana ya taifa letu.

Walio wengi kati yao (90%) ni waajiriwa katika serikali yako na pia ni wasomi wenye taaluma mbalimbali. Mh. Rais, nikukumbushe kuwa hawa wana CCM walikuwa radhi kujitoa kwa vipato vyao vidogo (Milioni moja) ili kupata fomu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ili wapate ridhaa ya kuisimamia serikali katika mhimili wa Bunge, lakini vikao vya maamuzi ya juu ya Chama waliridhia kwa kauli moja kuwa Dr. Tulia Ackson atosha kukiwakilisha chama. Baada ya zoezi hilo kwisha, je Mh. Rais (M/KITI wa CCM):

  1. Umepata nafasi ya kuona CV za hao wagombea wengine?
  2. Umewahi kuwaza kuhusu potentiality ya hawa wagombea wengine kuwa wanaweza kukusaidia katika kutekeleza majukumu ya serikali yako?
  3. Umewahi kufikiri au kuwaza kuwa asilimia 90 ya hao wana CCM ni wasomi na ni hazina ya Chama na hivyo kuweza kuwatumia katika nafasi nyinginezo nyeti na muhimu ili kuliletea tija taifa letu?
Rais, nakushauri kupitia watendaji wako wa karibu kama vile Katibu Mkuu Kiongozi, Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi, na Usalama wa Taifa (TISS) hasa wanaohusika na Vetting, wapitie majina ya hawa wagombea na CV zao. Ni imani yangu kuwa utapata watu sahihi wa kukusaidia katika Serikali yako unayoiongoza, na kamwe hutojuta kuzingatia ushauri wangu huu.

Mh. Rais, hapa chini nakuwekea orodha ya majina ya hao wana CCM kindakindaki waliojitokeza kukipigania chama hadi kufikia hatua ya kuomba ridhaa ya kutaka kuongoza Bunge la Tanzania.

Wanachama wa CCM wanaotia nia kugombea nafasi ya uspika baada ya Spika Job Y Ndugai kujiuzulu January 2022 ni hawa wafuatao :
  1. Andrew Chenge : mwanasheria mkuu wa serikali wa zamani
  2. Sophia Mathayo Simba : Waziri wa zamani wa Nchi katika Ofisi ya Rais (Utawala Bora), ni Mwenyekiti wa zamani Umoja wa Wanawake Tanzania UWT
  3. Dr. Mussa Shafii Ngonyani
  4. Wakili Faraji Rushagama
  5. Rahmaddin Rashid Ismaili - mwanafunzi UDSM
  6. Hamisi Rajabu
  7. Festo John Kipate
  8. George Francis Nangale : Mbunge wa zamani Bunge la EALA
  9. Barua Abdi Mwakilanga : mwanadiplomasia toka Buguruni DSM.
  10. Zahoro Rashid Hanuna : Afisa Biashara Manispaa ya Kinondoni jijini Dar es Salaam
  11. Thomas David Kirimbunyo
  12. Angelina Bello John
  13. Eng. Abdulaziz Jahad Hussein
  14. Dr. Tulia Ackson : Naibu spika chini ya Job Ndugai
  15. Dr. Thomas Kashililah : katibu wa bunge wa zamani
  16. Stephen Masele : naibu spika wa zamani Bunge la Afrika
  17. Mussa Azzan Zungu : meya wa zamani wa Ilala Dsm.
  18. Joseph Musukuma :
  19. Ezekiel Maige : waziri wa zamani
  20. Asia Juma Abdallah : mkuu wa wilaya wa zamani
  21. Dr. Titus M. Kamani : waziri wa zamani
  22. Tumsifu Mwasamale : Afisa Maendeleo ya vijana mkoa wa Dodoma
  23. Prof. Handley Mpoki Mafwenga : mtumishi wa serikali / umma
  24. Goodluck Mlinga : mbunge wa zamani wa CCM
  25. Prof. Norman Adamson Sigala : mwanasiasa toka jimbo la Makete, msomi mhadhiri
  26. Hatibu Madata Mjega :
  27. Dr. Linda Salekwa Ole Saitabau : mhadhiri chuo Kikuu cha Teknolojia Mbeya na mtafiti wa magonjwa yanayoambukiza na chanjo
  28. Emmanuel Simon Sindama
  29. Bi. Uwesu Msumi
  30. Hilal H. Seif
  31. Wakili Emmanuel Paul Mngare
  32. Athumani Mfutakamba
  33. Wakili Nduruma Majembe
  34. Mwemba Burton Mwemba : marketing expert and media presenter / msanii Mwijaku
  35. Henry Erasto Kessy
  36. Josephat Malima
  37. Adam Nyanyavanu
  38. Eng. Stella Manyanya: mkuu wa mkoa wa zamani
  39. Andrew Kevella
  40. Luhanga Mpina
  41. Hussein Migoda Mattaka
  42. Dr. Godwin Maimu : expert in CAPACITY BUILDING AND MICROFINANCE SERVICES
  43. Mohammed Ali Mmanga : mgombea ubunge wa zamani
  44. Esther Stefano Makazi : Kada wa CCM
  45. Comrade Amos Sollo : Mwanafunzi Chuo Cha Elimu ya Juu
  46. Godwin Kunambi - mkurugenzi wa zamani wa jiji la Dodoma
  47. Goodluck ole Medeye
  48. Juma Hamza Chumu
  49. Baraka Omary Byabato
  50. Hamidu Chamani : kada wa chama, Mtaalam mbobezi wa masuala ya kodi
  51. Fikiri Saidi : mkuu wa wilaya wa zamani
  52. Bi. Dotto Balele Mgasa
  53. Wakili Onyango Otieno
  54. Eng. Samuel Hayuma
  55. Merkion Ndofi
  56. Abwene Majula
  57. Patrick Nkandi
  58. Dr. Edison Wazoel Lubua : Doctor of Philosophy (PhD)Information Systems & Technology
  59. Alex Msama
  60. Samwel Magero : mjumbe wa Kamati kuu Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA),
  61. Peter Mjemu : mgombea nafasi ya Ubunge Jimbo la Chato mwaka 2020
  62. ....
Mwisho, niseme kuwa nakutakia kila lakheri katika majukumu yako. Uzalendo wa kweli ni kulinda Rasilimali za nchi kwa maslahi mapana ya nchi yetu, vilevile kuwaletea watanzania maendeleo pasipo kuwakandamiza wanyonge.

Cc.
  1. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (Aione kwenye jalada).
  2. Katibu Mkuu Kiongozi (Aione kwenye jalada kwa utekelezaji)
  3. Katibu Mkuu wa CCM (Aione kwenye jalada kwa utekelezaji)
  4. Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa (TISS) - Aione kwenye jalada kwa utekelezaji - VETTING).
  5. Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais (kumfikishia hard copy - Mh. Rais ujumbe huu ili ausome).
MUNGU IBARIKI TANZANIA NA WATU WAKE.

Pia Soma:

- Majina ya wanaCCM waliochukua fomu za Uspika
 
Hii kitu umeandika hapa haipo na wala haiwez kuwepo au kua activated kweny huu mfumo uliopo!! Never ever labda ifanyike revolution ya kimfumo!!!
Usemalo ni kweli kabisaa lakini nadhani kuna shida kubwa sana, ingekuwa kuna mfumo mzuri nadhani wahusika wangelifanyia kazi kwa wakati muafaka kwa maslahi mapana ya taifa letu.
 
Hao uliotaja hapo watumishi serikalini watakuwa hawazidi 20, sawa hao wanaweza kuwa na uzalendo na Ari ya kusaidia taifa letu lakini mbona wapo wengine hapo walikuwa mawaziri au wabunge au huyo Katibu wa bunge na hawakuwa na jipya?

Labda CCM ya zamani ingeweza kuwafikiria ila sio hii CCM ya mwendokasi ya Samia.

Waende wakalimeee huko wajiajiri wenyewe
 
Wote ni wasaka ulaji wala hawana lolote
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Hii kitu umeandika hapa haipo na wala haiwez kuwepo au kua activated kweny huu mfumo uliopo!! Never ever labda ifanyike revolution ya kimfumo!!!
Na hao wanaogombeaga ni acting smart Ili wakumbukwe kwenye teuzi na ujumbe wa boards...Tuache kuipa kiki siasa inaharibi sana nchi yetu.
 
Serikali yoyote duniani kama imeshindwa pambana na.. Ufisadi, ubadhirifu na wizi wa rasilimali za Taifa kamwe haiwez leta maendeleo au mabadiliko makubwa kweny uchumi!!
 
Usemalo ni kweli kabisaa lakini nadhani kuna shida kubwa sana, ingekuwa kuna mfumo mzuri nadhani wahusika wangelifanyia kazi kwa wakati muafaka kwa maslahi mapana ya taifa letu.
Maslahi mapana yanakuja watu wakiipenda nchi yao kwanza sio kua wafia chama.Ukitanguliza maslahi ya chama mbele ukaiacha nchi nyuma lazima shida itokee.Nchi itakaa vizuri watu watakapotanguliza maslahi ya nchi kwanza vyama badae.Kiongozi anayeipenda nchi atahakikisha nchi inakua na katiba bora itakayotengeneza mifumo thabiti yakuiendesha nchi ili ipate mafanikio ata akiwa hayupo au ata chama chake kikiwa hakipo madarakani mambo yaende,kiongozi anayekipenda chama badala ya nchi ataogopa nchi kua na katiba bora kwasababu atakua anawaza chama chake kupata madaraka zaidi ili kujineemesha zaidi na kuficha madudu yanayofanyika.Mwananchi anayeipenda nchi atakosoa na kushiriki mambo yote yenye maslahi ya nchi,ila mwananchi anayekipenda chama atakaa kimya pale anapoona madudu kwa kisingizio cha aliyefanya ni mwenzetu katika kula na kuboronga.Kwa kifupi ni hivyo.
 
Mheshimiwa Rais wa JMT,

Pamoja kuwa upo busy na majukumu yako lakini ikikupendeza basi naomba usome huu ujumbe wangu pasipo kuchoka, na kama kuna wasaidizi wako basi itakuwa ni vema endapo watakufikishia ujumbe huu.

Taifa lolote lile duniani ili lifanikiwe linahitaji kuwa na watu ambao ni committed na wenye nia na ari ya kutaka kuitumikia au kuijenga nchi yao, huku wakitanguliza uzalendo kwa nchi yao na serikali yao.

Mwezi January, 2022 walijitokeza watanzania wasio pungua 70 kuomba ridhaa ya Chama cha Mapinduzi (CCM) ili waweze kupitishwa na chama hicho kugombea nafasi ya SPIKA wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Watu hao pamoja na kuwa na UJASIRI wa kutaka kuongoza mhimili wa dola (Bunge la nchi hii), naamini wazi kabisa wana uwezo wa kulitumia taifa letu kwa weledi na kuwaletea manufaa watanzania wenzao na kulinda maslahi mapana ya nchi hii.

Mh. Rais, kama hukupata fursa ya kuona majina basi nitakuwekea hapo chini. Lakini ninachopenda kukumbusha ni kwamba hawa ni wana CCM kindakindaki na wanapenda kuitumikia nchi yao kwa maslahi mapana ya taifa letu.

Walio wengi kati yao (90%) ni waajiriwa katika serikali yako na pia ni wasomi wenye taaluma mbalimbali. Mh. Rais, nikukumbushe kuwa hawa wana CCM walikuwa radhi kujitoa kwa vipato vyao vidogo (Milioni moja) ili kupata fomu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ili wapate ridhaa ya kuisimamia serikali katika mhimili wa Bunge, lakini vikao vya maamuzi ya juu ya Chama waliridhia kwa kauli moja kuwa Dr. Tulia Ackson atosha kukiwakilisha chama. Baada ya zoezi hilo kwisha, je Mh. Rais (M/KITI wa CCM):

  1. Umepata nafasi ya kuona CV za hao wagombea wengine?
  2. Umewahi kuwaza kuhusu potentiality ya hawa wagombea wengine kuwa wanaweza kukusaidia katika kutekeleza majukumu ya serikali yako?
  3. Umewahi kufikiri au kuwaza kuwa asilimia 90 ya hao wana CCM ni wasomi na ni hazina ya Chama na hivyo kuweza kuwatumia katika nafasi nyinginezo nyeti na muhimu ili kuliletea tija taifa letu?
Rais, nakushauri kupitia watendaji wako wa karibu kama vile Katibu Mkuu Kiongozi, Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi, na Usalama wa Taifa (TISS) hasa wanaohusika na Vetting, wapitie majina ya hawa wagombea na CV zao. Ni imani yangu kuwa utapata watu sahihi wa kukusaidia katika Serikali yako unayoiongoza, na kamwe hutojuta kuzingatia ushauri wangu huu.

Mh. Rais, hapa chini nakuwekea orodha ya majina ya hao wana CCM kindakindaki waliojitokeza kukipigania chama hadi kufikia hatua ya kuomba ridhaa ya kutaka kuongoza Bunge la Tanzania.

Wanachama wa CCM wanaotia nia kugombea nafasi ya uspika baada ya Spika Job Y Ndugai kujiuzulu January 2022 ni hawa wafuatao :
  1. Andrew Chenge : mwanasheria mkuu wa serikali wa zamani
  2. Sophia Mathayo Simba : Waziri wa zamani wa Nchi katika Ofisi ya Rais (Utawala Bora), ni Mwenyekiti wa zamani Umoja wa Wanawake Tanzania UWT
  3. Dr. Mussa Shafii Ngonyani
  4. Wakili Faraji Rushagama
  5. Rahmaddin Rashid Ismaili - mwanafunzi UDSM
  6. Hamisi Rajabu
  7. Festo John Kipate
  8. George Francis Nangale : Mbunge wa zamani Bunge la EALA
  9. Barua Abdi Mwakilanga : mwanadiplomasia toka Buguruni DSM.
  10. Zahoro Rashid Hanuna : Afisa Biashara Manispaa ya Kinondoni jijini Dar es Salaam
  11. Thomas David Kirimbunyo
  12. Angelina Bello John
  13. Eng. Abdulaziz Jahad Hussein
  14. Dr. Tulia Ackson : Naibu spika chini ya Job Ndugai
  15. Dr. Thomas Kashililah : katibu wa bunge wa zamani
  16. Stephen Masele : naibu spika wa zamani Bunge la Afrika
  17. Mussa Azzan Zungu : meya wa zamani wa Ilala Dsm.
  18. Joseph Musukuma :
  19. Ezekiel Maige : waziri wa zamani
  20. Asia Juma Abdallah : mkuu wa wilaya wa zamani
  21. Dr. Titus M. Kamani : waziri wa zamani
  22. Tumsifu Mwasamale : Afisa Maendeleo ya vijana mkoa wa Dodoma
  23. Prof. Handley Mpoki Mafwenga : mtumishi wa serikali / umma
  24. Goodluck Mlinga : mbunge wa zamani wa CCM
  25. Prof. Norman Adamson Sigala : mwanasiasa toka jimbo la Makete, msomi mhadhiri
  26. Hatibu Madata Mjega :
  27. Dr. Linda Salekwa Ole Saitabau : mhadhiri chuo Kikuu cha Teknolojia Mbeya na mtafiti wa magonjwa yanayoambukiza na chanjo
  28. Emmanuel Simon Sindama
  29. Bi. Uwesu Msumi
  30. Hilal H. Seif
  31. Wakili Emmanuel Paul Mngare
  32. Athumani Mfutakamba
  33. Wakili Nduruma Majembe
  34. Mwemba Burton Mwemba : marketing expert and media presenter / msanii Mwijaku
  35. Henry Erasto Kessy
  36. Josephat Malima
  37. Adam Nyanyavanu
  38. Eng. Stella Manyanya: mkuu wa mkoa wa zamani
  39. Andrew Kevella
  40. Luhanga Mpina
  41. Hussein Migoda Mattaka
  42. Dr. Godwin Maimu : expert in CAPACITY BUILDING AND MICROFINANCE SERVICES
  43. Mohammed Ali Mmanga : mgombea ubunge wa zamani
  44. Esther Stefano Makazi : Kada wa CCM
  45. Comrade Amos Sollo : Mwanafunzi Chuo Cha Elimu ya Juu
  46. Godwin Kunambi - mkurugenzi wa zamani wa jiji la Dodoma
  47. Goodluck ole Medeye
  48. Juma Hamza Chumu
  49. Baraka Omary Byabato
  50. Hamidu Chamani : kada wa chama, Mtaalam mbobezi wa masuala ya kodi
  51. Fikiri Saidi : mkuu wa wilaya wa zamani
  52. Bi. Dotto Balele Mgasa
  53. Wakili Onyango Otieno
  54. Eng. Samuel Hayuma
  55. Merkion Ndofi
  56. Abwene Majula
  57. Patrick Nkandi
  58. Dr. Edison Wazoel Lubua : Doctor of Philosophy (PhD)Information Systems & Technology
  59. Alex Msama
  60. Samwel Magero : mjumbe wa Kamati kuu Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA),
  61. Peter Mjemu : mgombea nafasi ya Ubunge Jimbo la Chato mwaka 2020
  62. ....
Mwisho, niseme kuwa nakutakia kila lakheri katika majukumu yako. Uzalendo wa kweli ni kulinda Rasilimali za nchi kwa maslahi mapana ya nchi yetu, vilevile kuwaletea watanzania maendeleo pasipo kuwakandamiza wanyonge.

Cc.
  1. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (Aione kwenye jalada).
  2. Katibu Mkuu Kiongozi (Aione kwenye jalada kwa utekelezaji)
  3. Katibu Mkuu wa CCM (Aione kwenye jalada kwa utekelezaji)
  4. Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa (TISS) - Aione kwenye jalada kwa utekelezaji - VETTING).
  5. Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais (kumfikishia hard copy - Mh. Rais ujumbe huu ili ausome).
MUNGU IBARIKI TANZANIA NA WATU WAKE.

Pia Soma:

- Majina ya wanaCCM waliochukua fomu za Uspika
Wivu tu. Mbona kila kitu kipo sawa. Mfitini sana mleta hii habari.
 
Kiongozi wa hivyo kwa Tanzania bado hajazaliwa
 
Achana na mamb ya kuorodhesha watu ambao hakuna kitachonadilika!! Nakupa tips tu ya mafanikio ya Taifa lolote dunian kiuchumi.....Kwanza ni kupambana kwa gharama yoyote na Ufisadi, ubadhirifu, na wizi wa rasilimali za Taifa!!! Ukifanikiwa hayo Nchi itasonga mbele kwa kasi san!! Lkn kwa mfumo uliopo hata utuletee watu waliotoka nje ya dunia hii hakuna kitu watafany!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom