Kuna hao watu wanajiita watawala, wamepora nguvu zetu na mamlaka zetuIkiwa ameishinda Jamhuri ataondoka gerezani?
Kama alifungwa na Jamhuri na Jamhuri ni sisi raia, kwani sisi raia alitukosea nini?
Churaaaaaaaaaaaaaaaa 🐸 🐸 🐸 🐸4. MASHARTI NA MUDA MAALUMU KUTOKA COMMONWEALTH CMAG(The Ultimatum)
Kutokana na mapendekezo ya Mjumbe Maalum, CMAG imetoa maelekezo yenye ukomo wa muda (Time-bound actions) kwa Tanzania:
Ndani ya Siku 30: Kutatua suala la kushikiliwa kwa Tundu Lissu kupitia njia za kisiasa au kisheria, na kuwaachia wengine wote wanaoshikiliwa kwa kutumia haki zao kwa amani.
Ndani ya Siku 60: Kurejesha upatikanaji kamili wa mitandao ya kijamii na kuacha vitisho dhidi ya vyombo vya habari na watetezi wa uhuru wa kujieleza.
Ndani ya Siku 90: Kuitisha jukwaa shirikishi na la kuaminika la vyama vya siasa (likiongozwa na mwezeshaji huru) kujadili mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi, ushindani wa kisiasa, wafungwa, na uwajibikaji.
Bila Kuchelewa: Kuanza uchunguzi huru wa makosa ya jinai uliopendekezwa na Tume ya Uchunguzi, pamoja na fidia kwa wahanga.
MWISHO WA UBAYA NI AIBU
Ndani ya Siku 30: Kutatua suala la kushikiliwa kwa Tundu Lissu kupitia njia za kisiasa au kisheria, na kuwaachia wengine wote wanaoshikiliwa kwa kutumia haki zao kwa amani.Ikiwa ameishinda Jamhuri ataondoka gerezani?
Kama alifungwa na Jamhuri na Jamhuri ni sisi raia, kwani sisi raia alitukosea nini?
Dunia ni ya ajabu (hasa ya huku ulimwengu wa tatu) haitaki mtu aliyenyooka!Kosa la LISU ni kuwa right when the government is wrong.
Watawala dunia nzima wapo hivyo. Hata ukienda Marekani hali ni hiyo hiyo.Dunia ni ya ajabu (hasa ya huku ulimwengu wa tatu) haitaki mtu aliyenyooka!
karibu Lissu kitaa tuliendeleze. Mungu Yuko upande wetu. ktk Standard Mpya za viwango vipya
Trump amenyooka, hawezi kuiweka jela "akili kubwa" bali ataitumiaWatawala dunia nzima wapo hivyo. Hata ukienda Marekani hali ni hiyo hiyo.
Hii deadline ni lini ?4. MASHARTI NA MUDA MAALUMU KUTOKA COMMONWEALTH CMAG(The Ultimatum)
Kutokana na mapendekezo ya Mjumbe Maalum, CMAG imetoa maelekezo yenye ukomo wa muda (Time-bound actions) kwa Tanzania:
Ndani ya Siku 30: Kutatua suala la kushikiliwa kwa Tundu Lissu kupitia njia za kisiasa au kisheria, na kuwaachia wengine wote wanaoshikiliwa kwa kutumia haki zao kwa amani.
Ndani ya Siku 60: Kurejesha upatikanaji kamili wa mitandao ya kijamii na kuacha vitisho dhidi ya vyombo vya habari na watetezi wa uhuru wa kujieleza.
Ndani ya Siku 90: Kuitisha jukwaa shirikishi na la kuaminika la vyama vya siasa (likiongozwa na mwezeshaji huru) kujadili mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi, ushindani wa kisiasa, wafungwa, na uwajibikaji.
Bila Kuchelewa: Kuanza uchunguzi huru wa makosa ya jinai uliopendekezwa na Tume ya Uchunguzi, pamoja na fidia kwa wahanga.
MWISHO WA UBAYA NI AIBU
Hivi hizi siku 30 bado hazijafika tu?Ndani ya Siku 30: Kutatua suala la kushikiliwa kwa Tundu Lissu kupitia njia za kisiasa au kisheria, na kuwaachia wengine wote wanaoshikiliwa kwa kutumia haki zao kwa amani.
Bado kidogo sana kutimiaHivi hizi siku 30 bado hazijafika tu?
Zimebaki siku 10Hii deadline ni lini ?
Angalau kule kuna taasisi imara sio kama huku kila kitu maelekezo kutoka juu na umungu mtu wa haya matawala batiliWatawala dunia nzima wapo hivyo. Hata ukienda Marekani hali ni hiyo hiyo.
They don't careUnajua huwa naajifikiria how these people are ruining their reputations.