CHADEMA: Heche Ahojiwe, Hakuna Kinga kwa Ufisadi

Zack Abdul

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2026
Posts
589
Reaction score
546
CHADEMA kuna fukuto la ufisadi linaendelea dhidi ya Makamu Mwenyekiti wa chama hicho John Heche. Hili naomba tuliweke sawa, katika siasa, hakuna kiongozi anayepaswa kupewa kinga dhidi ya maswali au kuwajibishwa kwa sababu ya umaarufu wake. Madai ya matumizi mabaya ya fedha yaliyoibuliwa dhidi John Heche yanapaswa kuchukuliwa kwa uzito na ufuatiliaji unaostahili.

Wanachama wa CHADEMA wanapaswa kutambua kuwa kumpenda kiongozi hakumaanishi kupuuza maswali yanayohusu uwajibikaji wake. Vilevile, kuwa kiongozi maarufu hakumfanyi kiongozi kubeba ngao hiyo kama kinga dhidi ya tuhuma za wizi zinazomhusu. Hivi karibuni wameibuka watu kadhaa wakijaribu kumtetea Heche kuhusu tuhuma za ufisadi zinazomkabili ikiwemo kukwapua fedha za michango ya

MWIZI NI MWIZI TU, HECHE SIO MALAIKA

tonetone. Hili halipaswi kuupuuzwa kwa kisingizio kwamba kuna kundi limetumwa ili limchafue Heche, hiyo inaweza kuwa propaganda tu ya namna ya kulindana lakini ukweli utabaki palepale.

Tuhuma za ukwapuaji fedha za michango ndani ya CHADEMA si jambo geni, michango kadhaa inayochangiwa kwenye mikutano ya hadhara na kupitia mitandao ya simu huyayuka bila maelezo.

Hili ni jambo baya kwa mustakabari wa CHADEMA na halipaswi kufumbiwa macho, maan John Heche si malaika, ni lazima jambo hili lichunguzwe na si kupitia viongozi wenyewe kwa wenyewe ambao rekodi zinaonesha kila linapotokea tukio la kupiga hela ndani ya CHADEMA viongozi huwa wanalindana.
IMG-20260730-WA0020.jpg
 
CHADEMA kuna fukuto la ufisadi linaendelea dhidi ya Makamu Mwenyekiti wa chama hicho John Heche. Hili naomba tuliweke sawa, katika siasa, hakuna kiongozi anayepaswa kupewa kinga dhidi ya maswali au kuwajibishwa kwa sababu ya umaarufu wake. Madai ya matumizi mabaya ya fedha yaliyoibuliwa dhidi John Heche yanapaswa kuchukuliwa kwa uzito na ufuatiliaji unaostahili.

Wanachama wa CHADEMA wanapaswa kutambua kuwa kumpenda kiongozi hakumaanishi kupuuza maswali yanayohusu uwajibikaji wake. Vilevile, kuwa kiongozi maarufu hakumfanyi kiongozi kubeba ngao hiyo kama kinga dhidi ya tuhuma za wizi zinazomhusu. Hivi karibuni wameibuka watu kadhaa wakijaribu kumtetea Heche kuhusu tuhuma za ufisadi zinazomkabili ikiwemo kukwapua fedha za michango ya

MWIZI NI MWIZI TU, HECHE SIO MALAIKA

tonetone. Hili halipaswi kuupuuzwa kwa kisingizio kwamba kuna kundi limetumwa ili limchafue Heche, hiyo inaweza kuwa propaganda tu ya namna ya kulindana lakini ukweli utabaki palepale.

Tuhuma za ukwapuaji fedha za michango ndani ya CHADEMA si jambo geni, michango kadhaa inayochangiwa kwenye mikutano ya hadhara na kupitia mitandao ya simu huyayuka bila maelezo.

Hili ni jambo baya kwa mustakabari wa CHADEMA na halipaswi kufumbiwa macho, maan John Heche si malaika, ni lazima jambo hili lichunguzwe na si kupitia viongozi wenyewe kwa wenyewe ambao rekodi zinaonesha kila linapotokea tukio la kupiga hela ndani ya CHADEMA viongozi huwa wanalindana.View attachment 3640037
🐒
 
Attachments

  • 1000006486.png
    1000006486.png
    1.6 MB · Views: 8

Kinga ipo mbona waliokwapua bilioni 40 za kagoda limited hawakuhojiwa zaidi ya Benjamin Mkapa kuishia kulalamika?
 
Kaa Kitako Ujiulize Kwanza Ndani Ya Kijani Ni Aibu Tupu
Kanunue Dompo
20260730_172209.jpg
20260730_172107.jpg
 
Mwacheni na yeye ambulie wakati mwenyekiti wenu wa zamani anaishi Marekani na familia yake Kwa pesa za ruzuku ya Chama mbona hamkusema
 
CHADEMA kuna fukuto la ufisadi linaendelea dhidi ya Makamu Mwenyekiti wa chama hicho John Heche. Hili naomba tuliweke sawa, katika siasa, hakuna kiongozi anayepaswa kupewa kinga dhidi ya maswali au kuwajibishwa kwa sababu ya umaarufu wake. Madai ya matumizi mabaya ya fedha yaliyoibuliwa dhidi John Heche yanapaswa kuchukuliwa kwa uzito na ufuatiliaji unaostahili.

Wanachama wa CHADEMA wanapaswa kutambua kuwa kumpenda kiongozi hakumaanishi kupuuza maswali yanayohusu uwajibikaji wake. Vilevile, kuwa kiongozi maarufu hakumfanyi kiongozi kubeba ngao hiyo kama kinga dhidi ya tuhuma za wizi zinazomhusu. Hivi karibuni wameibuka watu kadhaa wakijaribu kumtetea Heche kuhusu tuhuma za ufisadi zinazomkabili ikiwemo kukwapua fedha za michango ya

MWIZI NI MWIZI TU, HECHE SIO MALAIKA

tonetone. Hili halipaswi kuupuuzwa kwa kisingizio kwamba kuna kundi limetumwa ili limchafue Heche, hiyo inaweza kuwa propaganda tu ya namna ya kulindana lakini ukweli utabaki palepale.

Tuhuma za ukwapuaji fedha za michango ndani ya CHADEMA si jambo geni, michango kadhaa inayochangiwa kwenye mikutano ya hadhara na kupitia mitandao ya simu huyayuka bila maelezo.

Hili ni jambo baya kwa mustakabari wa CHADEMA na halipaswi kufumbiwa macho, maan John Heche si malaika, ni lazima jambo hili lichunguzwe na si kupitia viongozi wenyewe kwa wenyewe ambao rekodi zinaonesha kila linapotokea tukio la kupiga hela ndani ya CHADEMA viongozi huwa wanalindana.View attachment 3640037
Nyie vilaza tumieni akili kupambana na chadema na sio propaganda za kizushi hazitafanikiwa kamwe nyakati hizi za teknolojia.
 
Unaomba au unalia.
 
Siku za nyuma watu wakisubiri habari kupitia redio Tanzania na magazeti ya uhuru na mzalendo, ccm walifanikiwa kudhoofisha vyama vya upinzani. Ila kwa zama hizi za chat gpt, mtawakamata wazee huko vijijini. Nao hawana muda watawaona ni wapuuzi tu. Cdm haiwezekani tena kwa hizo mbinu outdated.
 
CHADEMA kuna fukuto la ufisadi linaendelea dhidi ya Makamu Mwenyekiti wa chama hicho John Heche. Hili naomba tuliweke sawa, katika siasa, hakuna kiongozi anayepaswa kupewa kinga dhidi ya maswali au kuwajibishwa kwa sababu ya umaarufu wake. Madai ya matumizi mabaya ya fedha yaliyoibuliwa dhidi John Heche yanapaswa kuchukuliwa kwa uzito na ufuatiliaji unaostahili.

Wanachama wa CHADEMA wanapaswa kutambua kuwa kumpenda kiongozi hakumaanishi kupuuza maswali yanayohusu uwajibikaji wake. Vilevile, kuwa kiongozi maarufu hakumfanyi kiongozi kubeba ngao hiyo kama kinga dhidi ya tuhuma za wizi zinazomhusu. Hivi karibuni wameibuka watu kadhaa wakijaribu kumtetea Heche kuhusu tuhuma za ufisadi zinazomkabili ikiwemo kukwapua fedha za michango ya

MWIZI NI MWIZI TU, HECHE SIO MALAIKA

tonetone. Hili halipaswi kuupuuzwa kwa kisingizio kwamba kuna kundi limetumwa ili limchafue Heche, hiyo inaweza kuwa propaganda tu ya namna ya kulindana lakini ukweli utabaki palepale.

Tuhuma za ukwapuaji fedha za michango ndani ya CHADEMA si jambo geni, michango kadhaa inayochangiwa kwenye mikutano ya hadhara na kupitia mitandao ya simu huyayuka bila maelezo.

Hili ni jambo baya kwa mustakabari wa CHADEMA na halipaswi kufumbiwa macho, maan John Heche si malaika, ni lazima jambo hili lichunguzwe na si kupitia viongozi wenyewe kwa wenyewe ambao rekodi zinaonesha kila linapotokea tukio la kupiga hela ndani ya CHADEMA viongozi huwa wanalindana.View attachment 3640037
Mshawahi kuhoji kuhusu report ya CAG kwa mwenyekiti wenu?
 
Wenye chama tumekibali pesa zetu ziliwe na Heche nazingine tuachanga
 
Hela za nani? Ruzuku?
 
Screenshot_20260604-133242~2.png
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom