britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 17,643
- 43,957
Nipata Mawasiliano ya mtu mzito CCM amenambia
Lissu amekaba hoja zote hawana jipya, leo ilikuwa afikishwe Mahakamani lakini Jana nilivyodekeza sehemu Dawati la Ikulu wakiwa na watu wanne wa upande wa Magereza
1. Jeremiah Yoram Katuma
2. Emmanuel Malisa,
3. Edith Mbogo
Ndani ya ukumbi wa Lugimbana waliitwa nakumbuka ilikuwa siku ya kufungua mafunzo kwa maafisa tarehe 10, June ,2026, baada ya kikao waliitwa na Msaidizi wa Dawati Ikulu akiwa na Majaji wawili ambao sasa sitawataja maana wameonekana kutokuwa upande wao kwa kusema Lissu apewe 5 Bilioni ashawishiwe aachane na siasa, mambo yakagonga mwamba!
Kwanza taarifa ilianza kutoka Ikulu kwamba Lissu asipelekwe Mahakamani kuna jambo la kuweka sawa baina yake na Serikali
Option ya Pili ikatoka kwa Mjeshi na IGP kwamba awekwe under arrest kwa Mwaka mmoja na wammalize taratibu akiwa nje ya gereza ili isionekane kuwa kafia gerezani (this is serious allegations na Nina ushahidi ila natunza now)
Jinsi ya kumshawishi wamependekeza Majina matatu ila wakasema wasiwe Heche, Nshala wala Lema (hao waliopendekezwa hawakuhusishwa wala hawajui bali ilikuwa ni mapendekezo kuwa wahusishwe akiwemo na mstaafu maarufu wa chama fulani) kama wangeshiriki ningewataja ila Kwakuwa hawakuambiwa chochote ndio maana siwapi tuhuma yoyote TUWAKAUSHIE KWANZA, hatujui kama wangekubali au lah,
Kwanini wlipendekeza wapinzani hao wahusike ionekane Lissu na wenzake wameridhika na jinsi alivyoachiwa hata kama isingewekwa sababu public, japo suala kuna mmoja kavujisha Siri kwa wanaharakati kwamba Lissu will be under arrest! Though hawakujua kama ameandaliwa na option ya 5B.
Kumekuwa na mgongani ndani ya Serikali ngazi ya juu kabisa kuhusu suala la Lissu linavyopelekwa, hata wengine wanavyoendesha mambo! Wengine wamefika hatua mpaka wanatuhumiana mambo mazito mno hadi kuuana, wengine wamebadilisha hadi walinzi.
Umoja wa Ulaya, na Marekani wamebana sana kuna barua wamelimwa Tanzania nazisubiri nitumiwe niweke! Kuhusu mienendo ya Haki za binadamu Tanzania, nchi kama Sweden na Ubalozi wake pia wanataka kupunguza msaada kwa Serikali ya Tanzania kwa zaidi ya Asilimia 80 yaani hii imezidi hata ambavyo Magufuli alipinguziwa.
Tuna orodha ya Wanasiasa zaidi ya 120 ambao ni CCM nao wameshapokea barua kutokanyaga nchi zao na pili ka option kanakoumiza wao ni watoto wao wanaosoma kule kufutiwa visa, mali walizonazo kukamatwa ikiwemo fedha walizoweka nje.
Mbaya zaidi Samia kajichanganya kaenda Urusi ambao wao wakikupa zawadi au msaada zaidi ni kukurithisha vikwazo vyao! Hapa tunaongea USA imeendelea kuiweka Tanzania under surveillance kwa huyu mama kujichanganya na anaenda kusema taarifa za uongo Russia.
Tanzania imekuwa blacklisted sasa hapo juu ndo wanakaangana
Mmoja analaumiwa kutosema chochote kuhusu wanayemuita mhaini Lissu ye yuko kimya tu
Mwingine mkubwa zaidi yeye anatafuta legitimacy ya anachomfanyia Lissu gerezani
Hii kesi ya Lissu ni kama kijiji kilichokula nyama na supu ya Mamba na hawana choo cha kudumu uharo utaonekana tu!
Ntarudi tena acha machawa wajichanganye hapa waone
Nitarudi
Britanicca