RAIS WA MSUMBIJI AWASILI NCHINI KWA ZIARA YA KIKAZI YA SIKU TATU
Rais wa Jamhuri ya Msumbiji Mheshimiwa Daniel Francisco Chapo amewasili nchini kuanza ziara ya kikazi ya siku tatu, kuanzia...
Wanafungua kwa muda na ku post issues zao...... but this is not practical maana watafungua na kufungua mara ngapi kwa siku?
Au Wanatumià VPN? Sasa kama wanatumia VPN, si na wanachi watafanya...
Kada wa CHADEMA aliyerejea hivi karibuni kutoka Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mchungaji Peter Msigwa amesema baadhi ya wanachama wa CCM wanajiona kuwa ni sehemu ya dola, huku serikali ikijiona kama...
Wanazuoni wameweka wazi kuwa nywele zisizo na mpangilio mzuri ni kiashiria cha awali cha ugonjwa wa akili ... haya ameyasema Flament, F, et al (2025)
Someni hyo article
Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika amesema chama hicho kinakataa kauli ya Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba kuwa Serikali haina mgogoro na vyama vya siasa(ikiwemo CHADEMA), akidai kuwa kauli hiyo...
Muonekano wa nywele ni kionyeshi cha akili ya mtu, tunatumia nywele kugundua ugonjwa wa akili wa mtu, nywele zisizo na mpangilio ni kionyeshi cha awali cha ugonjwa wa akili (Flament, F, et, al...
Akili zingine huwa zinastaajabisha sana eti waje kushika madaraka ya nchi!?
#Biashara ya vyama vya siasa inalipa sana ona afya zao na mali walizonazo,fananisha na wale wazungusha mikono wa...
Mbunge wa Geita vijijini Kasheku Musukuma ametoboa siri kuwa kipindi cha Rais Magufuli miradi ilikuwa inaenda kwa sababu alikuwa amedhibiti pasent(%) na alikuwa mfuatiliaji kwelikweli ya kila...
Mnamuendekeza Mwaipopo and Co. Ltd, kuna siku yatatokea.
Uchawa ni sawa na ubaguzi wa dini maana Chawa wanawabagua wengine kuwa wao ndio wenye nchi na wengine ni "masalia"
Samia Acha uoga mzee huyo hana kosa we ndo una makosa
Mnatuforce kuingia kwenye siasa bila kutaka
Mnatulazimisha , Mpaka kuna watu Uzi fulan Walisema natumia Pesa haramu za samia kutamba nchi...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu amefikishwa katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Juni 2, 2026, .
Akizungumza mahakamani hapo, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA John...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Geita limemtaja kuwa linamshikilia Neema Steven Chozaire, mkazi wa Mwatulole, Manispaa ya Geita, na linaendelea kumhoji kufuatia ushahidi uliokusanywa kuhusu tuhuma...
Kituo cha habari cha kidijitali cha Jambo Online Television kimetangaza rasmi kurejea hewani kuanzia leo, Julai 3, 2026, baada ya kukamilika kwa adhabu ya kufungiwa kwa muda wa siku 90 iliyokuwa...
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimelaani kile kilichodai ni ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu unaofanywa na vyombo vya dola dhidi ya wananchi wa Kitongoji cha Luhafe, Kijiji cha...
Klabu ya Yanga imepigwa faini ya Shilingi milioni 100 na Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Tanzania Football Federation kufuatia ukiukwaji wa kanuni za NBC Premier League katika mchezo namba...
"Rais anapaswa asimamie mifumo. Nchi inaendeshwa kwa mifumo iliyo thabiti. Hatuhitaji kuwa na Rais msikivu au sio msikivu. Akipatikana Rais ambaye ni msikivu au sio msikivu, mifumo ikiwa imara...
Sina chuki binafsi na watajwa hapo juu. Inakera mibaba mizima inapokubali na kukumbatia uchawa ili ijaze mitumbo yao.
Ukisiliza matamko ya watajwa, unaishia kusononeka na kukata tamaa. Huyu...
WAZIRI MKUU: WAKANDARASI WAREJEE SITE
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba ameelekeza wakandarasi waliokuwa wamesimamisha kazi katika miradi mbalimbali ya ujenzi wa barabara mkoani Mara kurejea...
Kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) aliyerejea hivi karibuni kutoka Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mchungaji Peter Msigwa amesema CCM haina ushawishi kwa sasa hivyo haiwezi kushinda...