Dar es Salaam. Kauli ya Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Juma Homera inayoweza kutafsirika kama anamsafishia njia ya kuja kushinda ubunge Dk Tulia Ackson, imeibua mjadala unaoshinikiza marekebisho ya...
Ukimuona Paul Makonda bado ana mawazo yale yale ya kuua upinzani na kumuogopa Tundu Lissu ,Ni mawazo ambayo mwenyekiti wetu wa ccm marehemu JPM yalimshinda na hata yeye Paul Makonda hataweza kuua...
Kutoka Iringa hadi Igawa-Mbarali barabara ipo vizuri, lakini kutoka Igawa hadi Mbeya Mjini ni ovyo kabisa utadhani hakuna Wabunge, Mawaziri nk.
Barabara hii ni ndogo lakini imejaa mashimo matupu...
Hali ya sintofahamu imeendelea kugubika ndani ya Chadema kufuatia baadhi ya Wajumbe wa Kamati Kuu kuona nyumba ya kifahari anayoishi Mwenyekiti wao Freeman Mbowe ambayo ameijenga hivi karibuni...
Kuna hii kitu inaitwa "Deep State", ambayo inadaiwa iko kila nchi duniani.
Baadhi huamini kwamba "Deep State" ipo kwa ajili ya maslahi mapana ya nchi na wananchi walio wengi.
Lakini binafsi...
MAKONDA ANAWADISTURB WASAKA URAIS NDANI YA CCM NA HILI NI JAMBO JEMA
Watu wengi huwa hawajui kwanini huwa tunawachapa wasaka urais.Pale tunapobaini pasi na shaka kuwa kiongozi fulani ndani ya...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa Mwenyekiti na Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kama...
📌📌 WANANCHI WARIDHISHWA NA UTEKELEZAJI WA MIRADI SIMIYU, MABILIONI YA FEDHA YATOLEWA NA RAIS SAMIA
Wananchi wa Mkoa wa Simiyu Wilaya ya Busega wameoneshwa kuridhishwa na utekelezaji wa miradi...
Kama unabisha kamuulize Tundu Antipas Lisu alipoomba kwenda kaburini kwa Shujaa Magufuli Umaarufu wake ulipanda mara dufu
Makonda ndio huyo kila mahali wanamshangilia
Spika Tulia amewatunza...
Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Sosthenes Laurent Kewe kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Benki ya Maendeleo ya Tanzania (TIB), hapo awali alikuwa Mshauri Binafsi wa Uendelezaji wa Sekta...
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Daniel Godfrey Chongolo amesema kuwa chama hicho kinaridhishwa na urafiki na uhusiano wake na Chama cha Kikomunisti cha Viet Nam (CPV), na kipo...
Kama itakuwa ngumu yeye kuandaa majibu basi aliyemteua na CCM kwa ujumla muandae dokezo la majibu. Kwa yeye mambo ni machache tu; Vyeti feki, uvamizi na utekaji ikiwemo unyanganyi.
Hii ni siasa...
WATANZANIA TUNA MOYO MZURI LAKINI WAHUNI
Nchi yetu ya Tanzania ni kisiwa cha amani Duniani,hili ni tokeo la malezi mema ya Baba wa Taifa,Mwalimu Julius Kambarage Nyerere,siasa ya ujamaa na...
Vichonganishi vya CCM kwenye uchaguzi mkuu ujao ambavyo vimepigiwa kelele bila mafanikio na vimetafuna hazina za nchi bila huruma na bila tija ni vifuatavyo:-
1. NIDA.
2. BIMA YA AFYA.
3. TOZO...
Nyie Chadema hizi ni siasa za wapi za kupiga watu wasio na hatia Hadi kuwavunja miguu? Ndio upinzani mnaotaka Kuijenga?
Na nyie ccm kama mnatelekeza kada wenu na Mwanachama aliyekuwa anafanya...
Hakika naona utendaji kazi mzuri sana.
Huna kelele lakini hupumziki na kazi zako zinaeleweka.
1. Hapo nyuma kukatika kwa umeme kulikuwa hakuna formula, sasa hivi angalau - japo kaza tena ili...
Tanzania inatarajia kuwa mwenyeji wa mkutano wa Mawaziri wa Afrika wanaohusika na Masuala ya Fedha na Jinsia kutoka nchi 22 wanachama wa Jukwaa la Usawa wa Kijinsia (UN Women) na Shirika la Fedha...
Kama kichwa cha habari. Naona huu utaratibu wa mbunge kupiga kelele ' taarifa, taarifa, taarifa' una distract anayeongea.
Yaani mimi huwa hata siwaelewi, unavuruga kabisa flow ya mchangiaji na...
Na Daniel Mbowe (Kilimanjaro)
Hapa kuna baadhi ya viashiria vya kawaida vinavyoweza kupelekea kuanguka kwa chama cha siasa:
Utendaji wa Uchaguzi:
Matokeo duni katika chaguzi, ikiwa ni pamoja na...
MWENEZI MAKONDA ABAINISHA KUWA SERIKALI YA CCM CHINI YA RAIS SAMIA YAIELEKEZA WIZARA YA UJENZI KUJENGA BARABARA ZA NJIA NNE - MWANZA
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi, Uenezi na...