Mwenezi Makonda awatibua wasaka Urais ndani ya CCM

Tao

Member
Nov 10, 2018
95
157
MAKONDA ANAWADISTURB WASAKA URAIS NDANI YA CCM NA HILI NI JAMBO JEMA

Watu wengi huwa hawajui kwanini huwa tunawachapa wasaka urais.Pale tunapobaini pasi na shaka kuwa kiongozi fulani ndani ya serikali na Chama anatengeneza mtandao wa kusaka urais huwa hatumuachi salama.

Wasaka urais ni watu wenye tamaa ya madaraka na kwasababu wana tamaa wanaweza kufanya jambo lolote ilimradi wafanikishe mkakati wao

Hawa ndio wale wasipodhibitiwa vilivyo wana uwezo wa kucreate crisis ndani ya nchi ili huyo Rais aliyeko madarakani haonekane hafai.

Kuutaka uongozi katika siasa siyo kosa na kumuondoa Rais kama itathibitika ameshindwa kuongoza nchi nayo ni jambo muhimu sana kwa ajili ya ustawi wa taifa lakini hawa wasaka urais huwa wanaongozwa na tamaa zao binafsi na siku zote wana jambo lao la kibinafsi wanalolipigania.

Wasaka urais kama ilivyoelezwa hapo juu wanaweza kutengeneza majanga kama haya yanayotokea hapa nchini mfano ukosefu wa Dollar,mfumuko wa Bei ,tatizo la upungufu wa mafuta na petroli na kadhalika.

Paul Makonda anafanya kazi kubwa ya kuwaharibia hawa jamaa na kwakweli hawa ndio maadui zake namba moja.

Nchi inaoongozwa na Dkt. Samia Suluhu Hassan na Makonda kama Mwenezi wa taifa nwenye jukumu la kueneza sera, itikadi na misingi ya CCM ana jukumu yeye pamoja na viongozi wenzake ndani ya Chama kukilinda Chama, kukijenga na kikisemea hivyo kiongozi yeyote anayekwenda visivyo kushughulikiwa ni haki yake.
 
Hata UBUNGE wasakaji Wameanza tayari

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
 
Hua nawashangaa mboga mboga mtu anataka kutumia haki yake ya kuchaguliwa kwa mujibu wa katiba ya nchi na katiba ya chama lakini mnamuona eti ni msaliti, si upumbavu huo 🤔🤔 kati ya anaetaka kutumia haki yake kuchaguliwa na ambae hataki mpinzani yupi ana uroho wa madaraka 🤔🤔
 
Nchi inaoongozwa na Dkt. Samia Suluhu Hassan na Makonda kama Mwenezi wa taifa nwenye jukumu la kueneza sera, itikadi na misingi ya CCM ana jukumu yeye pamoja na viongozi wenzake ndani ya Chama kukilinda Chama, kukijenga na kikisemea hivyo kiongozi yeyote anayekwenda visivyo kushughulikiwa ni haki yake.
Naunga mkono hoja, the dividing line between Rais wa nchi na Mwenyekiti wa CCM is very thin. Mwenezi ni ofisa wa chama CCM na sio ofisa wa nchi, serikali, hivyo anaweza kumsemea Mwenyekiti wa CCM kwa maagizo ya chama kuhimiza kutekeleza ilani ya CCM, lakini Mwenezi hawezi kuwaamuru wateule wa rais na kuwapa ultimatum kama ile ya Waziri Mkuu, that is for the president.
Enzi za Nape na Kinana waliwahi kulalamikia mawaziri mizigo, none of them summoned them, waliwashitaki kwenye chama. Mwenezi wa CCM hawawezi kuwakoromea wateule wa rais akiwemo PM, that is overstepping kujifanya rais!. Pongezi Paul Makonda kuifufua CCM kwa amsha amsha. Twende mdogomdogo ngoma ikivuma sana inakaribia kupasuka!

P
 
Back
Top Bottom