Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Balozi wa kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, Geneva, Dkt. Abdallah Possi, ameeleza kuwa taswira ya Tanzania kimataifa bado ni nzuri, licha ya matukio yaliyojitokeza nchini tarehe 29...
3 Reactions
10 Replies
109 Views
Mr Mapanga amesema Tanzania si nchi masikini, bali Watanzania ndio wanaoishi katika hali ya umasikini, akidai kuwa rasilimali na vitega uchumi vya nchi viko mikononi mwa Serikali huku wananchi...
1 Reactions
5 Replies
122 Views
CCM na Serikali yake washakata pumzi. Wana CCM wanategemea kula kupitia kwenu. Nawashawishi Wafanyabiashara wote Tanzania kuiunga Mkono CHADEMA. Watanzania tushikamane tusaidiane CHADEMA ili...
14 Reactions
28 Replies
217 Views
Wakazi wa wilaya ya Temeke ni waathirika wakubwa wa msongamano unaosababishwa na malori ya bandari kavu zilizozagaa mitaani wilaya ya Temeke. Barabara za Temeke na Mbagala hazipitiki kutokana na...
2 Reactions
5 Replies
46 Views
Kazi nzuri ya TARURA Longido Badala ya kuangazia mapungufu pekee, wakati mwingine ni muhimu pia kutambua na kupongeza pale ambapo taasisi inafanya vizuri. Ningependa kuitambua TARURA Longido kwa...
1 Reactions
1 Replies
22 Views
Mwanasheria maarufu nchini, Peter Madeleka amesema matukio yaliyotokea baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025 yana masuala ya jinai yanayopaswa kushughulikiwa kwa mujibu wa sheria, akisema...
4 Reactions
10 Replies
348 Views
Rais wa Tanzania ni wewe kwa sasa ni mda wa kuweka mizani sawa na kuacha kusikiliza hao machawa na kwenda kwenye maridhiano. Wachukulie hatua wote waliosababisha...
1 Reactions
7 Replies
47 Views
Wakuu, Katika mahojiano yaliyofanyika kwenye kipindi cha Kume Pambazuka cha Radio One, Afisa kutoka BOT Henry Joseph amesema kuna tabia iliyokithiri kwa wananchi na wafanyabiashara kutumia mfumo...
7 Reactions
32 Replies
636 Views
Algerian firm to invest in cashew nut factories in Tanzania Algerian cashew nut processor, Sarl Anacard’Or cashew, is looking to expand its investment by establishing three factories in Tanzania...
0 Reactions
0 Replies
68 Views
Kampuni ya Algeria kuwekeza viwanda vya korosho Tanzania Kampuni ya ubanguaji wa korosho ya Sarl Anacard’Or ya Algeria inatarajia kutanua uwekezaji wake kwa kujenga viwanda vitatu nchini Tanzania...
1 Reactions
0 Replies
27 Views
Kampuni ya Algeria kuwekeza viwanda vya korosho Tanzania Kampuni ya ubanguaji wa korosho ya Sarl Anacard’Or ya Algeria inatarajia kutanua uwekezaji wake kwa kujenga viwanda vitatu nchini Tanzania...
0 Reactions
0 Replies
18 Views
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara Mhe. Ghati Zephania Chomete anawakaribisha katika Kongamano la Bima la Afya kwa wote, Mgeni rasmi ni Mkuu wa Mkoa wa Mara Mhe. Kanali Evans Mtambi Kongamano...
0 Reactions
0 Replies
24 Views
"Kuku mmoja anayetaga mayai ya dhahabu ni bandari ya Dar Es Salaam. Unachotakiwa kufanya ni kuhakikisha hakuna usumbufu kwenye mizigo, kwanza unawatengenezea watu barabara za uhakika kutoka...
3 Reactions
9 Replies
238 Views
Mama mjamzito aliambiwa na Hospital atoe 50,000 kununua vifaa vya kujifungulia baada ya kuambiwa havipo Hospital. Chalamila akapigiwa simu na Mama huyo, Chalamila akamjibu huyo mama arudi...
18 Reactions
119 Replies
5K Views
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Mzee Stephen Wasira, amesisitiza kuwa dhana ya maridhiano ya kisiasa nchini haipaswi kutumika kama kinga au kisingizio cha kuwatakasa...
4 Reactions
21 Replies
260 Views
Hii ni taarifa ambayo imekuwepo kwa muda kupitia Asasi zisizo za kiserikali. Ukiwa na elimu unashindwa kuamini haraka kwamba kweli tunaongozwa na watu wadhaifu kichwani kiasi hiki? Yaani huu ndo...
0 Reactions
6 Replies
78 Views
Gazeti hili la Jamvi La Habari, linalomilikiwa na Habibu Mchange haligusiki. Limekuwa likichapisha mambo ya ovyo, na hakuna anayeligusa. Hili gazeti kwa Awamu ya 6 nalifananisha na ‘Tanzanite’...
3 Reactions
11 Replies
229 Views
Baada ya kuangalia hii picha ya ujio wa Rais Tshekedi nimejiuliza maswali mawili, 1.Yuko wapi Makamu wa Rais wa JMT? 2.Nini kinaendlea Tanzania nyuma ya pazia.
9 Reactions
55 Replies
1K Views
Mke wa kigogo Ikulu atajwa Kampuni ya uwakili nayo imo Takukuru yaingia kazini MAJINA ya baadhi ya watu walionufaika na fedha za akaunti ya Escrow zilizowekwa katika akaunti ya Benki ya Stanbic...
4 Reactions
77 Replies
19K Views
𝗕𝗔𝗥𝗔𝗭𝗔 𝗟𝗔 𝗠𝗔𝗔𝗦𝗞𝗢𝗙𝗨 (𝗧𝗘𝗖) 𝗠𝗡𝗔𝗧𝗨𝗞𝗢𝗦𝗘𝗔 𝗦𝗔𝗡𝗔 𝗪𝗔𝗞𝗔𝗧𝗢𝗟𝗜𝗞𝗜. Tumsifu Yesu Kristo. Jina langu ni Joseph Simon Mapunda, Muumini wa Kanisa Katoliki Jimbo la Mbinga Mkoani Ruvuma ambaye kwa mapenzi ya Mungu...
8 Reactions
263 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…