Terrible Teen
JF-Expert Member
- May 1, 2017
- 1,241
- 3,554
Mheshimiwa Kituo chako cha kazi ni DODOMA, kuna ofisi kubwa na Serikali ipo huko, lakini kila siku misafara uwanja wa ndege kwenda Dar na kisha pwani. Gharama hizi wanabeba wanyonge walipa kodi. Tunachoka sisi, kaa utulie upate muda wa kutafakari mambo makubwa ya kuendeleza familia.