Vipi chadema wakienda na No reforms no Election 2030 .

Vipi chadema wakienda na No reforms no Election 2030 .

baz kaiza

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2015
Posts
15,033
Reaction score
18,740
Huyu aliyekuja na hii hakuna mabadiliko hamna uchaguzi huyu naweza kusema alikuja kabali kali sana zama hizi ambazo vijana wengi ambao mnawaponda Ge Z japokua naona wanauelewa mkubwa sana hawa vijana wanajua ila walikosa mtu sahihi kuaelimisha wengi wamemaliza kidato cha nne kwa hiyo sio wajinga wengi kama wanavyodhania wanajua kuchambua mambo mengi kuzidi watu wanavyodhania . Chadema wakiendelea na hii mpaka 2030 nini kinaweza kutokea ? Maana no reforms no Election hii naweza kusema ni timeless. Bila hata chama huu msimamo umejengeka kwenye akili za watu toka October 29 watu wengi wamejua chaguzi huwa kiini macho za Tanzania hata ile imani iliyokua imebaki imepotea kwa watu wengi kuhusu chaguzi zetu 2030 sidhani kama watu watajitokeza kupiga kura kama kweli hakutafanyika reforms watu niwaelewa siku hizi
 
Huyu aliyekuja na hii hakuna mabadiliko hamna uchaguzi huyu naweza kusema alikuja kabali kali sana zama hizi ambazo vijana wengi ambao mnawaponda Ge Z japokua naona wanauelewa mkubwa sana hawa vijana wanajua ila walikosa mtu sahihi kuaelimisha wengi wamemaliza kidato cha nne kwa hiyo sio wajinga wengi kama wanavyodhania wanajua kuchambua mambo mengi kuzidi watu wanavyodhania . Chadema wakiendelea na hii mpaka 2030 nini kinaweza kutokea ? Maana no reforms no Election hii naweza kusema ni timeless
itapendeza zaidi gentleman,

but uchaguzi mkuu huru, wa wazi na wa haki TANZANIA, utafanyika kwa amani kwa mujibu wa sheria na katiba ya nchi kama kawaida Oct 2030.

wajulishe na wafuata mkumbo wenzako bila kificho kuhusu hili 🐒
 
Hello again you little simian

Your empty political rhetoric and pathetic attempts to sound authoritative are getting embarrassing.
You seem to confuse blind arrogance with political intelligence.

Stop hiding behind recycled slogans and acting like you own the truth.

Bring facts, meaningful arguments and intellectual substance, or spare everyone your pointless lectures.

Relax tumbili
 
itapendeza zaidi gentleman,

but uchaguzi mkuu huru, wa wazi na wa haki TANZANIA, utafanyika kwa amani kwa mujibu wa sheria na katiba ya nchi kama kawaida Oct 2030.

wajulishe na wafuata mkumbo wenzako bila kificho kuhusu hili 🐒
Huu ni ukweli mtupu, hatuhitaji mabadiliko wapige kura wasipige tume yetu ya uchaguzi usalama na jeshi la polisi wamejipanga vizuri. Ushindi ni wetu. Hatutaki nonsense zenu gentleman 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
CCM itaendelea kuongoza nchi mpaka ichoke. Maana ukisusa yenyewe inagawana majimbo na machache inawapa vyama vile 10+ kisha maisha yanaendelea.
 
Back
Top Bottom