CCM, LOVE THY NEIGHBOR

CCM, LOVE THY NEIGHBOR

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
52,840
Reaction score
104,008
Angalia uchaguzi wa USA, kila mmoja yuko Happy. Aliyeshinda, aliyeshindwa all are happy, maana HAKI IMETENDEKA. Hakuna anayelelamika maana haki imetendeka
Kweli hamna la kujifunza?

WASIRA, HUNA LA KUJIFUNZA, ASHO ROSE MIGIRO, HUNA LA KUJIFUNZA....

FARIS HUNA LA KUJIFUNZA BALI KUWAPOTEZA WAPINZANI!
 
Gentleman,
katika kila nyakati za uchaguzi wa ndani ya chadema,
wanachadema huuana kwa hila za uchaguzi wao kwa wao.

Lakini zaidi sana,
katika kila uchaguzi mkuu Tanzania, chadema ama hususia uchaguzi kwasababu wanajua watashindwa vibaya au watasingizia kuibiwa kura ambazo wanajua wazi hawana kwasababu haaminiki wala kukubalika kwa wapiga kura, au watajaribu kuvuruga uchaguzi husika ingawa mara zote wameambulia patupu.

Kwa kiburi,
sidhani kama chadema wana la kujifunza kupitia uchaguzi huo wa Marekani, kwasababu wao wakishindwa hua ni kutukana na kuporomosha matusi tu 🐒
 
Ukisha lewa damu za watu huna kipya cha manufaa cha kujifuza zaidi ya kutamani kuua tena na tena ili utamalaki
 
Gentleman,
katika kila nyakati za uchaguzi wa ndani ya chadema,
wanachadema huuana kwa hila za uchaguzi wao kwa wao.

Lakini zaidi sana,
katika kila uchaguzi mkuu Tanzania, chadema ama hususia uchaguzi kwasababu wanajua watashindwa vibaya au watasingizia kuibiwa kura ambazo wanajua wazi hawana kwasababu haaminiki wala kukubalika kwa wapiga kura, au watajaribu kuvuruga uchaguzi husika ingawa mara zote wameambulia patupu.

Kwa kiburi,
sidhani kama chadema wana la kujifunza kupitia uchaguzi huo wa Marekani, kwasababu wao wakishindwa hua ni kutukana na kuporomosha matusi tu 🐒
Hey Gentlewoman, are you crazy again?
 
Attachments

  • IMG-20261016-WA9715.jpg
    IMG-20261016-WA9715.jpg
    214.8 KB · Views: 1
lady!
remember,
no fear no hate hypocrisy 🐒
Hey tumbili

Your deliberate attempt to mislead the community is both disgraceful and intellectually dishonest. Stop treating people as fools who cannot distinguish facts from your fabricated narratives. If you have nothing truthful or constructive to contribute, spare the community your misinformation. We need facts, not shameless propaganda from people desperate for attention.
 
ok.🐒
 
Attachments

  • 550D3528-9DFB-430A-8BD8-CFEB53C06683.jpeg
    550D3528-9DFB-430A-8BD8-CFEB53C06683.jpeg
    218 KB · Views: 1
Gentleman,
katika kila nyakati za uchaguzi wa ndani ya chadema,
wanachadema huuana kwa hila za uchaguzi wao kwa wao.

Lakini zaidi sana,
katika kila uchaguzi mkuu Tanzania, chadema ama hususia uchaguzi kwasababu wanajua watashindwa vibaya au watasingizia kuibiwa kura ambazo wanajua wazi hawana kwasababu haaminiki wala kukubalika kwa wapiga kura, au watajaribu kuvuruga uchaguzi husika ingawa mara zote wameambulia patupu.

Kwa kiburi,
sidhani kama chadema wana la kujifunza kupitia uchaguzi huo wa Marekani, kwasababu wao wakishindwa hua ni kutukana na kuporomosha matusi tu 🐒
You are obsessed with CHADEMA, he is only reffering to fair and free elections. Uchawa bhana
 
Gentlewoman
Your pathetic attempt to mock someone only exposes your own intellectual poverty, insecurity and lack of basic maturity.
You clearly mistake arrogance for intelligence and cheap ridicule for superiority.
Before attempting to belittle others, take a serious look at your own shortcomings. You are in no position to look down on anyone.

Try to relax gentlewoman
 
Gentleman,
katika kila nyakati za uchaguzi wa ndani ya chadema,
wanachadema huuana kwa hila za uchaguzi wao kwa wao.

Lakini zaidi sana,
katika kila uchaguzi mkuu Tanzania, chadema ama hususia uchaguzi kwasababu wanajua watashindwa vibaya au watasingizia kuibiwa kura ambazo wanajua wazi hawana kwasababu haaminiki wala kukubalika kwa wapiga kura, au watajaribu kuvuruga uchaguzi husika ingawa mara zote wameambulia patupu.

Kwa kiburi,
sidhani kama chadema wana la kujifunza kupitia uchaguzi huo wa Marekani, kwasababu wao wakishindwa hua ni kutukana na kuporomosha matusi tu 🐒
Hoja zenu zimejaa chuki za kisiasa kuliko uhalisia. Mkurugenzi anayesimamia uchaguzi anateuliwa na nani? Inakuwaje mtu anayeteuliwa na serikali asimamie uchaguzi ambao chama kilichopo madarakani kinashiriki?
Pia, wakuu wa mikoa na wilaya wanateuliwa na nani? Kuna wanajeshi wanaoteuliwa kushika nafasi hizo, halafu wanakuwa wajumbe wa kamati za ulinzi na usalama. Hayo hamuyaoni au mnajifanya hamuyaelewi?
Demokrasia haiwezi kuwa ya upande mmoja. Huwezi kutaka wapinzani wakubali matokeo wakati kuna maswali mazito kuhusu uhuru na uadilifu wa wasimamizi wa uchaguzi. Kama kweli mnaamini demokrasia, anzeni kujibu hoja hizi badala ya kukimbilia matusi na kuwashambulia CHADEMA. Kushinda uchaguzi hakumaanishi kila kitu kilikuwa sawa, na kupinga kasoro siyo uadui kwa taifa.
 
"washikaji wafanya mabaya,na siku hizi nawaita INTROVERT, juu wanaogopa hata KUTOKA pale walipo, maana ni MSALA!!akiingia JIRANI possibly wote wakaishia JELA."
 
Hoja zenu zimejaa chuki za kisiasa kuliko uhalisia. Mkurugenzi anayesimamia uchaguzi anateuliwa na nani? Inakuwaje mtu anayeteuliwa na serikali asimamie uchaguzi ambao chama kilichopo madarakani kinashiriki?
Pia, wakuu wa mikoa na wilaya wanateuliwa na nani? Kuna wanajeshi wanaoteuliwa kushika nafasi hizo, halafu wanakuwa wajumbe wa kamati za ulinzi na usalama. Hayo hamuyaoni au mnajifanya hamuyaelewi?
Demokrasia haiwezi kuwa ya upande mmoja. Huwezi kutaka wapinzani wakubali matokeo wakati kuna maswali mazito kuhusu uhuru na uadilifu wa wasimamizi wa uchaguzi. Kama kweli mnaamini demokrasia, anzeni kujibu hoja hizi badala ya kukimbilia matusi na kuwashambulia CHADEMA. Kushinda uchaguzi hakumaanishi kila kitu kilikuwa sawa, na kupinga kasoro siyo uadui kwa taifa.
kususia uchaguzi au kusingizia kuibiwa kura hakuwezi kufanya uchaguzi mkuu wa kikatiba TANZANIA usifanyike gentleman.

waambie na wenzako kuhusu hili 🐒
 
Gentlewoman
Your pathetic attempt to mock someone only exposes your own intellectual poverty, insecurity and lack of basic maturity.
You clearly mistake arrogance for intelligence and cheap ridicule for superiority.
Before attempting to belittle others, take a serious look at your own shortcomings. You are in no position to look down on anyone.

Try to relax gentlewoman
Lady!,
calm down plz 🐒
 
Attachments

  • images (2).webp
    images (2).webp
    18.8 KB · Views: 1
Hey tumbili

Your deliberate attempt to mislead the community is both disgraceful and intellectually dishonest. Stop treating people as fools who cannot distinguish facts from your fabricated narratives. If you have nothing truthful or constructive to contribute, spare the community your misinformation. We need facts, not shameless propaganda from people desperate for attention.
U nailed it,I couldn't agree more!
The guy has some lose screws!
 
Lady!,
calm down plz 🐒
Hey Gentlewoman

Your inability to construct a meaningful argument is painfully obvious.
Instead of presenting facts, challenging ideas or offering intellectual substance, you hide behind cheap mockery and childish provocations.
That is what happens when someone has more arrogance than intelligence and more insults than ideas.
Politics is about reasoning, not displaying intellectual bankruptcy.
If you cannot challenge an argument, at least have the decency to stop embarrassing yourself with your empty rhetoric.

Relax tumbili, your head is empty now
 
Back
Top Bottom