Itoshe kusema Kimya kina mshindo.
Katika ujumla wake, upinzani nchini umepoaza sana, tena sana..
Vipi?
Ni kishindo cha Makonda?
Au ni mipango tu?
Ni ukata wa fedha au pumzi?
Hoja, dira na...
Serikali imesema Wananchi 2,400 wanaopisha uendelezaji Bonde la Msimbazi tayari wameanza kulipwa fidia zao leo, hatua hii inakuja baada ya jana Waziri wa TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa kuongea na...
Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dkt. Jakaya Kikwete ameipongeza Serikali kwa kufanikiwa kupunguza vifo vya akinamama wajawazito kutoka vifo 556 mwaka 2016 hadi kufikia vifo 104 mwaka 2022.
Dkt...
Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tamisemi, Deogratius Ndejembi amesema Serikali kupitia mradi wa kubadilisha miundombinu na ushindani wa miji nchini (TACTIC) imetenga Sh14.5 bilioni kwa ajili ya ujenzi...
Ni muda sasa nchi yetu imekuwa katika adha ya upatikanaji wa nishati itokanayo na umeme. Kwa maoni yangu nafikiri ili tuepukane na tatizo hili kama nchi tunatakiwa kufanya yafuatayo:
1) Kwanza...
Spika aliyeondolewa kwa uonevu ndugu Job Yustus Ndugai amelitupia lawama Shirika la umeme la Tanzania kwa kuwa ndilo hasa linalo kwamisha maendeleo ya Watanzania kwa desturi yake ya kukata umeme...
Tatizo la Nishati Tanzania sio tatizo la mgao pekee bali ni janga la taifa. Hatuwezi kuwa ma maendeleo kwenye nchi yetu bila kutatua tatizo la nishati.
Raisi wa Nchi anatakiwa kukaa na wahusika...
Jeshi la Polisi Tanzania kupitia Kamisheni ya Polisi Jamii, Novemba 15, 2023 katika Ukumbi wa Mikutano wa Saccos uliopo Kata ya Majengo, Wilaya ya Songea Mkoa wa Ruvuma limeendesha mafunzo ya...
Wadau nawasalimu.Naomba kila mwenye UONGO MKUBWA uliopata kutokea hapa Nchini auseme.
Binafsi UONGO mkubwa uliopata kutokea ni:
1. Tiba ya Kikombe ya Babu wa Loliondo
2. Trilion 360 za Makinikia...
Wanabodi,
Nimekaa na kufatilia ziara za Alieyekuwa RC DSM na Mwenezi Makonda, Anatoa Maagizo kila wakati, Napenda kujua Hadi Sasa Kuna mtu anaushuhuda wa agizo lipi lililotekelezwa au Ni Maigizo?
Pamoja na mbinyo wa kidemokrasia tangu kuanza kwa awamu hii ya tano, Oktoba haitabiriki. Oktoba inaweza kwenda mrama na kukiacha chama tawala kikilalama. Oktoba inaweza kuleta kivumbi cha...
Kimbelembele changu kiliwahi kuniponza. Niliwahi kwenda ofisini kwa Paul Makonda, alipokuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam kwa ajili ya mazungumzo. Mazungumzo yenyewe yalitakiwa na yeye mwenyewe...
Jana nilikuwa na safari ya kutoka Tarime kuja Mwanza na njiani nikashuhudia buses mamia kwa mamia yakielekea pande zote za Wilaya ya Rorya na Tarime yakisomba watu kuja kwenye mkutano wa Makonda...
Nisikilize kwa makini mwanangu Chalamila, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam. Jana nimekuona na kukusikia, ukiwa Stendi ya Makumbusho, ukiongea na wafanyabiashara wadogowadogo stendi pale.
Kuna mambo...
Wakuu juzi tu hapa wameongeza kodi ya mita za luku kutoka 1000 hadi 1500 inamaana kwa siku za tarehe 1 ukinunua umeme wa 5000 unapata unit 9, inamaana inakua umenunua umeme wa 3500.
Kinacho...
Akiwasilisha Muswada wa Bima ya Afya kwa Wote Bungeni baada ya kukwama mara mbili, Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema baada ya Serikali kutakiwa kueleza chanzo cha Fedha zitakazoendesha Bima ya...
Kinachoendelea inabidi kifanyike kuanzia ngazi ya mtaa kwa wanajamii, Kinachoendelea inabidi kifanywe na wabunge majimboni kwao kwa kukusanya kero za wananchi,
Kinachoendelea kufanywa na CCM...
Tanzania inahitaji Viongozi wenye upeo wa aina ya Said Mtanda. Tukiendelea na biashara ya kusubiri vikao kutatua kero za Wananchi kwa visingizio vya demokrasia wanayotaka kina Kagasheki (Wazee...
Mhe. Mwenyekiti wa CCM Ndugu Samia Suluhu. Kwanza nikupongeze kwa kumpa nafasi Makonda. Umefanua jambo kubwa pengine zaidi ya kile ulichokilenga.
Ndugu Paul Makonda
Wengi wanaamini kuwa...
Wadau hamjamboni
Mheshimiwa Rais amefanya uteuzi.
---
Rais Samia amemteua Mohamed Malick Salum kuwa Mkurugenzi Mkuu wa
Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC).
Kabla ya uteuzi huu
Salum...